Tuliokwama Iran, tunahitaji ndege Ije kutuchukua

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,229
Reaction score
39,714
Kupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike utaratibu tutoke Iran kwa njia ya Barabara hadi nchi jiran mtakayoichagua
 
Kobazi na akili ni sawa na maji na mafuta; Bakwata hapo inahusikaje?
😁😁😁😁
image-8.jpg
 
Kupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike utaratibu tutoke Iran kwa njia ya Barabara hadi nchi jiran mtakayoichagua
Ulikwenda kujifunza ugaidi ,,sasa unalia nini ...hivi tz kwa nini tuna angaika na nchi za kiarabu ..mimi nadhani hata barozi zao zisiwepo nchini . Nchi tunayo ihitaji zaidi ni China tu
 
Hakuna ndege inayoingia iran wala kutoka hata Qatar na saudia ndege zimepungua haziendi na watu wamekimbia makombora, angala la iran limejawa na makombora jaribu kutokea mipakani
 
Kupitia BAKWATA na mamlaka husika tunahitaji Msaada wa haraka ndege yetu ya ATC ije Tehran kutuchukua maana hali si hali huku ndugu zangu. Kama kuingia anga la Iran Itakua mtihani basi ufanyike utaratibu tutoke Iran kwa njia ya Barabara hadi nchi jiran mtakayoichagua
Umekosea hapo alipoweka bakwata,kwani walioko huko Iran wote ni kobazi kama wewe?

Kobazi siku mkiacha ubaguzi na kujihesabia haki ndo wakati akili zenu zitaanza kufanya kazi
 
Back
Top Bottom