Team,
Salaam!
Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 inaonesha Tanzania ina kaya 14,152,803. Sasa kama tungekuwa na bei ya kununua mtungi wa gesi wa 10kgm kwa tzs 2,000 kama ilivyo nchini Cuba basi kaya zote hapa nchini tungetumia tzs 28,305,606,000/=.
Sasa kwa kuwa na gesi inayouzwa...
Waafrika ni jamii tuliyokwisha ithibitishia Dunia na hata kujithibitishia wenyewe kuwa kuna tija ndogo sana kutoka Viongozi wao.
Chaguzi zimekuwa vichaka tu, ndio maana leo utashangaa nchi iliyotawaliwa na Kiongozi mmoja miaka 40 siku anapinduliwa ndio utawasikia wananchi wanashukuru kwamba...
https://youtu.be/vtxezmGOgQI?si=MUyi4Mzqdi4Mnb-v
Sikiliza kilichotokea kwenye kikao cha Viongozi wa AU kule Addis Abeba. Rais kijana mwanapinduzi bila kupepesa macho wala unafiki alimlipua Rais Rutto wa Kenya kuhusu mauaji ya Gen Z huko Kenya.
Aliiungwa mkono na Cyril Ramaphosa wa A. Kusini...
Viongozi wetu huwa na washauri katika MASUALA ya kikazi katika katika MASUALA BINAFSI hawana washauri hivyo hujikuta wanafanya makosa anvayo huwaumiza wao binafsi, wananchi na hata majukumu Yao ya kikazi.
Unadhani NI ushauri UPI binafsi ungependa kiongozi yupi aupate kama pangekuwa na chombo...
Baada ya Gen Z kumtukana Rais Samia mtandaoni,Wakenya wamefungiwa biashara.
Hiyo ni trade war. Tumeona balaa iliyotokea kati ya USA na China.
Hasira ni jambo baya.
Kiongozi anawaangusha Watanzania na Wakenya pia.
Katuni ya kipanya isiruhusiwe kubadili economic policy
Huko mbeleni nikifanikiwa kuwa Rais wa Nchi, jeshi langu la ulinzi litafanya kazi kuu 4.
1. Kulinda mipaka ya Nchi.
2. Kulinda rasilimali za Nchi yetu.
3. Kulinda HAKI za Watanzania kwa kuhakikisha hakuna mhimili au chombo chochote kinatumia mabavu na vyombo vyake kupora HAKI za Watanzania...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa Serikali ya awamu ya sita na Chama Cha Mapinduzi Kinathamini uwepo wa Vyombo vya habari imara, katika kukuza uwajibikaji na kuimarisha utawala bora nchini.
Akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari na...
Wizi..., Wizi..., Wizi na Rushwa... hilo limekuwa janga tangu enzi na enzi hata walipokuwa hawaibi kulikuwa hakuna sababu ya kuiba; kwahio cha kujiuliza moja..., Je tunachotaka kitapita tukikaa kwenye majadiliano ?
Meza ya Majadiliano
Kuna pande zaidi ya tatu zinataka mabadiliko tofauti...
Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria.
Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
bunge
jeshi
jeshi la wananchi
jinsi
kuchukua
kufanya
kufanya maamuzi
maamuzi
mfumo
mfumo wa utawala
mtoto
mtoto wa
muda
nafasi
raisi
tunahitaji
udhaifu
utawala
wananchi
wazi
Kwakweli hii mechi Mimi nikiwa kama mshabiki wa Yanga na Al masry pamoja na wenzangu wengi, tunaisuburi mechi yetu ya pili ya kufuzu dhidi ya makolo aka Simba ambayo itachezwa Kwa Mkapa. Tuna uhakika mkubwa tutapita,
Sasa naomba wauzaji wa jezi hasa wa dar es salaam watuletee haraka sana jezi...
Binafsi naona tunaishi kwenye Nchi ambacho hata ukiulizwa utaje shule zilizoko wilaya uliyotoka huwezi kuzijua;
Nashauri; Kuwe na ukurasa (Data base) ukiingia unapata Shule zote kwa kila mkoa na kwa kila Wilaya
1. Mfano: Kuwepo na shule za A-level (mnaweza kwenda mbali na kuweka combination)
2...
=========UPDATE========
NAFASI ZIMEKWISHA JAA, NA HILI TANGAZO LIMEFUNGWA, ASANTE.
================
Hello bosses and roses...
Anahitajika binti wa kufanya majukumu yafuatayo kwenye kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa software. Ataanza majukumu hayo remotely (kufanyia kazi popote alipo)...
Tanzania ni nchi yenye historia ndefu na utajiri wa tamaduni mbalimbali, zinazochangia umoja wa taifa. Hata hivyo, kuna hoja inayozidi kujitokeza kuhusu ufanisi wa mfumo wa utawala wa sasa wa nchi, hasa kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Ni suala la wazi kuwa Muungano huu umeleta...
Kila ninapofikiria taswira ya mkulima, mara nyingi namwona mtu aliyechoka, akiwa na mavazi yaliyochakaa. Hii inatokana na jinsi kilimo kimekuwa kikichukuliwa kama kazi ya watu wa kipato cha chini. Hata matangazo ya pembejeo za kilimo mara nyingi huwahusisha watu wenye lafudhi nzito za vijijini...
Tunahitaji MAFUNDI wa Kushona CHEREHANI
1. Sifa za Kitaaluma
Uzoefu wa angalau miaka mitatu katika kazi ya kushona cherehani.
Uwezo wa kushona na kukata vitambaa kwa usahihi na uangalifu, kulingana na mahitaji ya kazi.
2. Sifa za Kimsingi
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Umri kati ya miaka 20 hadi...
LISU WA CHADEMA ATASABABISHA ATOKEE LISU MWINGINE WA CCM. NDIO MAANA TUNAHITAJI LISU AWE MWENYEKITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa Sisi Watibeli ambao kiasili ni wanafalsafa, wanasaikolojia, wanasosholojia, na kama haitoshi Majasusi wa kuzaliwa. Tunajua kuna kanuni za vita, mapambano na...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akihojiwa na Kituo cha NTV cha Kenya amesema “Upinzani unahitaji kuwa na Uongozi wenye maono makubwa na yasiyokuwa na mawenge tofauti na ilivyokuwa hapo Katikati.”
Aidha, Lissu amezungumza kuhusu nafasi ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.