tumia

Tumiã River is a river of Amazonas state in north-western Brazil.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba yenye chumba kimoja self sebule na jiko inaweza tumia tofali ngapi wadau

    Nyumba yenye chumba kimoja self sebule na jiko inaweza tumia tofali ngapi wadau
  2. JamiiForums Tanzania Friji la Kisasa Linalo Tumia umeme Kidogo (Hotpoint)

    👉🏻Lina mfumo wa OXYGEN unaofanya vyakula, mboga na matunda n.k visipoteze LADHA yake halisi hata ukiviweka kwa mda mrefu. 👉🏻Lina Touch Display inayo onyesha Temperature unaweza chagua ligandishe Kwa mda mfupi, mrefu au kupoza 🙏Bei yake 495,000/= Naliuza kwa sababu na shida Piga simu leo 0713...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta machine ya kufanya voice over ( kama zile wanazo tumia ma Dj wanao tafsiri movies kwa kiswahili)

    Anae jua nitapata wapi hii machine pamoja na bei yake anijulishe tafadhali. With much thanks in advance
  4. JamiiForums Tanzania Incubator zinazo tumia nishati mbadala,Gas na Solar,Mafuta ya taa

    TUNAONGEZA AU KUFUNGA MFUMO WA GAS AU MAFUTA YA TAA KWENYE MASHINE ZA KUTOTORESHEA AMBAZO ZINATUMIA UMEME KAMA MFUMO MKUU AU "BACK-UP" Kwa mahitaji ya kubadilishiwa au kuongezewa mfumo wa kutumia gas katika Incubator yako wasiliana nasi,gharama inategemeana na ukubwa wa. mashine Pia tunaunda...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wale tunaotumia akaunti zaidi ya moja tukutane hapa

    Inakuwa ngumusana kuzikontroo. Mana inahitaji muda uongo mwingi kutosahau kumbukukumbu nk Nilitongoza demu na akaunti tofauti akaomba picha nikampa tukazinguana kwenyehela anapenda sana hela nikamblock Nikamfata kwa akaunti nyingine kakubali freshi tuu alivyo niomba picha nikaachana nae mana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwako Waziri wa Nishati, Tumia mkakati huu kama mpango wa dharula kipindi hiki cha uhaba wa mafuta

    Kwa kuwa Waziri wa Nishati umepewa na jukumu la kuratibu shughuli za serikali ukiwa kama Naibu Waziri mkuu, ninaamini jukumu hilo limekuja kipindi sahihi na linaweza kukusaidia katika majukumu yako kama Waziri wa nishati hususani kipindi hiki cha uhaba wa mafuta. Kwanza ninakushauri, katika...
  7. JamiiForums Tanzania Nilivyogeuza imani hii ya kishirikina kuwa fursa ya biashara na kutengeneza mamilioni

    Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema there is a positive thing in every negative thing. Mwaka 2011 nilienda kijijini kwao na mama yangu mzazi (Homboza karibu na Chanika) Nilipanga kukaa kwa mwezi mzima. Nikiwa huko mishe zangu nyingi nilikuwa nazifanyia Chanika center. Nikiwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli maisha magumu, lakini tumia kanuni hii 50%+30%+20 kuyalainisha

    50% ya kipato chako fanya matumizi ya muhimu / ya lazima mfano kulipa kodi au ada ya mtoto. 30% ya mshahara au kipato chako tumia kwa matumizi yasiyo na ulazima, mfano kukunua nguo, radio, saa, kwenda beach, kwa kifupi mwagilia moyo, hivyo ni vitu ambavyo sio vya lazima yaani usipovifanya...
  9. JamiiForums Tanzania Unataka Kupewa Penzi Tamu na Totoz? Tumia Password hii Utanishukuru

    Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu. Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi. 1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume...
  10. JamiiForums Tanzania Silaha ambazo unaweza tumia

    Nikuambie kitu wewe usiyemwamini Mungu, kwa kweli Mungu anazo silaha nyingi sana za kumnyamazisha mwanadamu mkorofi... Maji (mafuriko) Hewa(kimbunga) Chakula(sumu) Njaa(ukame) Nk... Zote hizi ni silaha zake, aligeuza bahari ya sham ikawameza Wamisri. Sasa basi unapaswa uwe makini, hata kwikwi...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume mnao tumia english kutongoza

    ✌️ Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni. Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
  12. JamiiForums Tanzania Tumia njia zako binafsi kutatua changamoto zako, usipige kampeni wote tutumie njia zako

    Kama wewe binafsi umeona CHANGAMOTO ZA NDOA zinakwepwa kwa kutokuoa...basi BAKI HIVYO HIVYO NA UFUSKA WAKO USIOE... Sio kutwa kushinda kusambaza kampeni ya KISHETANI usioe...eti kisa ndoa ina changamoto nyingi... Mkimaliza kukimbia changamoto za ndoa kwa wanawake...mtakuja kupiga kampeni juu...
  13. JamiiForums Tanzania Mods futeni tena na huu uzi: Tumia dawa hii utapona ugonjwa wa sickle cell ndani ya miezi 3

    Mkipenda futeni mods! Mahitaji nunua chungu na kuku jogoo kisha mchinje huyo jogoo halafu toa vitu vyote vya ndani(utumbo, maini, firigisi, mapafu) maana ndiyo tiba na uvipike kwenye hicho chungu bila kuweka maji mpaka viungue kabisa kama mkaa kufikia hatua ya kusaga na kupata unga wake, baada...
  14. JamiiForums Tanzania Utabiri wa Tumia Akili uliishia wapi?

    Huyu alijiita member wa Deep State na alileta uzi hapa akidai kuna rais ataibuka Tanzania na kutawala kuanzia 2022 Hadi 2032. Utabiri huo uligonga mwamba. Happy New Year. https://www.jamiiforums.com/threads/franklin-d-roosevelt-fdr-na-uongozi-wa-miaka-12-kujirudia-tanzania.1950132/
  15. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Sugu 2025 tumia bajeti ya kile unachoweza kuhimili ukipoteza

    Ndugu yangu sugu mwaka 2025 usipoteze pesa nyingi kwenye kampeni, maana uwezekano wa kupita ni finyu sana kutokana na maendeleo anayoyaleta Dr.Tulia.Mfano bara bara,vijana na akina mama kupewa mitaji n.k.Pona pona yako ni kuundwa kwa jimbo jipya la uchaguzi la uyole.Hakuna haja ya kukasirika ni...
  16. JamiiForums Tanzania Tumia lugha ya Hospitali Kuelezea Mahusiano yako ya Kimapenzi kwa sasa.

    Mimi:👉👉 ''Jana alikula vizuri Kabisa na Akacheka na sisi pale, Ila Ya Mungu mengi jamani" Also👇👇 Mimi:👉👉 ''Tunajaribu Kila Liwezekanalo'' Status yako na mpenzi wako ipoje kwa sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Nape: Bando ni huduma ya ziada, ukitaka lisiishe tumia salio la kawaida. Mbunge ataka liwe kisheria

    Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla. Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe uko utaratibu wa kutumia 'Main Tarrif' akitolea mfano tiketi za kusafiria za mwezi ambayo hauwezi...
  18. JamiiForums Tanzania Dk. Mwaka, tumia busara kidogo, namshauri RPC au RC wamuite na kumtaka aombe radhi, hii amani imepatikana kwa gharama

    Namshauri Dk mwaka aombe radhi tu, hakuna atakachopungukiwa. Analeta malumbano yasiyo na msingi. Namshauri Mkuu wa Mkoa amwite na kumnasaha aombe radhi, ikishidikana RPC amwite kwa mahojiano, maana analeta viashiria vya uvunjifu wa amani nchini. Ahojiwe,labda anatumika na kundi ambalo...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Unashindwa Kuweka Akiba Ya Kipato Chako Kidogo? Tumia njia hizi

    “Kweli natafuta na napata… lakini fedha hazitoshi kabisa…”. Hizo ni kawaida kuzisikia kauli hizi katika maisha ya kila siku ya watanzania wengi hususan huku uswahilini kwetu ambapo wengi tunafanya kazi za kipato cha chini. Ingawa kuweka akiba ni mtihani mkubwa kwa watanzania wengi, lakini ni...
  20. JamiiForums Tanzania Tumia Logical Framework kuimarisha andiko lako la Mradi

    Bao la Mantiki (Logic Framework) ni jedwali ambalo huonyesha uhusiano kati ya Lengo Kubwa la Mradi (Project Overall Objective), Malengo Mahsusi ya Mradi (Project Specific Objectives), Matokeo ya Mradi (Project Outputs) na Shughuli za Mradi (Project Activities) ili kuleta mtiririko wenye mantiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…