tumeshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. cupvich

    SoC03 Pale ambapo mimi na wewe tumeshindwa kumlinda mtoto wa kike, teknolojia ya habari na mawasiliano haina budi kuingilia kati

    Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la watoto wa kike hususan wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kunyanyaswa kingoni ikiwa ni pamoja na Kuingiliwa kimwili (KUBAKWA) hadi kupelekea kukatisha masomo yao kutokana na kubeba Mimba na kuathirika kisaikolojia jambo ambalo...
  2. Exorcist

    Watanzania milioni 60 tumeshindwa kununua Crane za kushusha mizigo kwa ufanisi bandarini?

    Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa kama za DPWorld? Zinauzwa trillion ngapi kwani hizi mashine?
  3. Mapambano Yetu

    Vitambulisho vya NIDA vinaandaliwa wapi? Watanzania tumeshindwa na hili?

    Nimemsikiliza VIZURI waziri wa mambo ya Ndani wakati akitolea maelezo suala la VITAMBULISHO VYA TAIFA kuchelewa. Lakini katika maelezo yake nimebaini kwamba Kuna uwezekano hata VITAMBULISHO tuligawa tenda kwa makampuni ya nje. Sasa Je, watanzania na hili tunashindwa?
  4. D

    Kuna baadhi ya nchi duniani washaufuta ugonjwa wa maralia, sisi tumeshindwa hata kufuta kelele tu mtaani

    Kusema ukweli! Mambo mengine siyo utajiri! Bali ni uthubutu tu! Baadhi ya nchi duniani walishasahau kama kuna ugonjwa wa malaria! Yaani wadudu warnezao malaria hivi kweli kama taifa tumeshindwa kuwaondoa? Zamani kulikuwepo ugonjwa wa kichocho sijui ulipotelea wapi! Lakini sahivi kuna hii kitu...
  5. Mparee2

    Hivi tumeshindwa kushawishi TOYOTA ilete kiwanda Tanzania?

    Kwa takwimu zisizo Rasmi 75% ya magari yote Tanzania ni aina ya TOYOTA. Suala lililobaki ni kuchukua takwimu kutoka TRA ndani ya miaka 10 ni magari mangapi aina ya TOYOTA yaliingia Tanzania (mapya na yaliyotumika) jumlisha na mengine yalikuwepo ambayo bado yapo barabarani + yale yaliyoagizwa...
  6. dyuteromaikota

    Kwa hiyo sisi Watanzania ndio tumeshindwa kabisa kutunza muda?

    Eti kwani hatuwezi kabisa kuzingatia muda? Nini kifanyike? Au mpaka rais aingilie kati ndipo tubadilike? Karibuni. Uzi tayari.
  7. Lycaon pictus

    Hivi kama nchi tumeshindwa kabisa kutengeneza mbolea?

    Katika utengenezaji wa mbolea kitu kigumu kupata ni Phosphate. Hii haiwezi tengenezwa kama material zingine za mbolea, Nitrates nk. Phosphate huchimbwa. Duniani nchi inayoongoza kwa kuwa na phosphate nyingi ni Morocco. 75% ya phophate yote duniani ipo Moroco. Tani bilioni 50. Mazao yanapokua...
  8. Daimler

    Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

    Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe...
  9. Sky Eclat

    Tumeshindwa kuitumia ardhi yetu itukomboe tofauti na ma settler katika kilimo kabla ya uhuru

    Tanganyika ilikuwa eneo la kilimo katika utawala wa Uingereza. Walitangaza uwekezaji katika kilimo na waliopenda kuwekeza iliwapasa kuonyonyesha uwezo wao wa kuiendeleza ardhi kabla ya kupatiwa eneo. Baada ya kuonyesha hati ulipewa miaka mitano uwonyeshe uwekezaji wa kudumu uluoufanya kabla ya...
  10. F

    Amb. Kijazi Interchange, Mchina arudi kufanya usafi na ulinzi? Tz tumeshindwa?

    Kuna usemi wa Kijaluo kwamba "Solution to One Problem Carries the Seeds for the Next Problem" yaani "ufumbuzi wa tatizo moja hubeba mbegu za kuotesha tatizo jingine, tafsiri isiyo rasmi" Daraja-kavu la Amb. Kijazi Interchange katika Manispaa ya Ubungo jiji Dar es Salaam ambalo mwanzoni...
  11. S

    Kama tumeshindwa kuiondoa CCM kwa kura sasa tufanyeje?

    Baada ya kuishinda CCM katika kura na matokeo kuwa mazuri kwa upinzani na yaliyojaa ushindi,bado CCM wametumia uchaguzi huo huo kujitangaza washindi? Je, kuna ushauri wowote ,maana uchaguzi wapinzani waliudhibiti kisawasawa na ushindi ukawepo mezani imebaki kutangazwa tu ,Lakini bado CCM...
  12. Sky Eclat

    SoC01 Nafasi za biashara zipo nyingi lakini tumeshindwa kufungua macho na kuziona

    Katika mawazo ya biashara ya kufanya, weka mawazo yako katika kutoa huduma katika jamii inayokuzunguka. Mawazo yako yakijikita hapa ni rahisi kugundua kitu kinachohitajika sana katika jamii yako. Fikiria jinsi utakavyozalisha kwa wingi bidhaa ile itakavyo okoa maisha au usumbufu katika jamii...
  13. May Day

    Tumeshindwa Wapi? Olympic Games Tokyo 2021

    Kama kuna Medali ambayo Taifa tunastahili basi ni Medali ya vipaji vya kuamini miujiza ya kuvuna tusichokipanda. Kama tunavyofanya kwenye tozo, badala Mamlaka kuandaa kwanza Wananchi wenye uwezo wa kulipa 'tozo' wao wanaanza na tozo kwanza wakiahidi uwezo wa kulipa utakuja huko mbeleni. Na...
  14. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA tumeshindwa kujisimamia, hatuwezi kuikosoa CCM

    Tuna maamuzi ya ajabu ambayo yanaonyesha kuwa chama hakipo makini. Jambo dogo tu utasikia michango ya kila aina. Na michango yenyewe haipitii akaunti ya chama. Mbowe kaswekwa ndani, kila mtu anataka kuanzisha michango. Tena haipitii kwenye akaunti ya chama. Hii dalili tosha kuwa chama...
  15. E

    Kama ni miujiza, Tanzania ya viwanda inawezekana; kama ni mpango mkakati, tumeshindwa kabla ya kuanza

    Rais Magufuli anaweza kuwa na ndoto nyingi sana juu ya Taifa hili lkn naamini ameshindwa kabla ya kuanza. Tuanze na hiki ninachokisikia mara kwa mara kikitamkwa na rais na watendaji wake Tanzania ya viwanda. Je Tanzania ya viwanda yaweza kufikiwa? Jibu ni Hapana. Sababu ni zifuatazo: 1...
Back
Top Bottom