Vitambulisho vya NIDA vinaandaliwa wapi? Watanzania tumeshindwa na hili?

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,121
2,064
Nimemsikiliza VIZURI waziri wa mambo ya Ndani wakati akitolea maelezo suala la VITAMBULISHO VYA TAIFA kuchelewa. Lakini katika maelezo yake nimebaini kwamba Kuna uwezekano hata VITAMBULISHO tuligawa tenda kwa makampuni ya nje. Sasa Je, watanzania na hili tunashindwa?
 
Enzi za Masha, lakini vitambulisho vya wapigakura mashini ziko fasta asilimia kubwa ya Watanganyika wote wana vitambulisho vya kupigia kula.

Huu mkwamo wa NIDA ni wa kutengenezwa.
 
Ni aibu sana kwa taifa ambalo linazalisha wataalam katika sekta mbalimbali lakin washindwe kwenye vitambulisho!!!!!!
Nimemsikiliza VIZURI waziri wa mambo ya Ndani wakati akitolea maelezo suala la VITAMBULISHO VYA TAIFA kuchelewa. Lakini katika maelezo yake nimebaini kwamba Kuna uwezekano hata VITAMBULISHO tuligawa tenda kwa makampuni ya nje. Sasa Je, watanzania na hili tunashindwa?
 
Wakipigwa chini akipewa mchina hapa kila mtu atapewa kitambulisho ndani ya wiki 2..
Shida ni Mentality ambayo kila siku inakuwa sugu..

Mentality kwamba hatuwezi kufanya chochote mpaka tuwape kina fulani watufanyie; wakati tatizo sio kwenye kufanya bali ni wafanyaji (na wafanyaji wanafanya wanachofanya bila checks and balances kwahio wanafanya wanachotaka)

Unadhani akipewa mchina bei itakuwa kiasi gani (sababu anayempa mchina ni yuleyule ambaye alikula pesa na hakufanya; hivyo ataongea na mchina bei iwe mara mbili ili ya kwake ibaki palepale); Tuna safari ndefu sana, we have a long way to go, mbaya zaidi mentality zetu zimerudi zama za kale (Evolution kwetu inakwenda backawards)
 
Hata hao waarabu wanawapa wazungu vitu ambavyo hawawezi...
Airport ya Dubai wazungu wanaendesha.... wizara ya mafuta Saudia Arabia imejaa wazungu...n.k...

Sisi yapo ambayo tunaweza....lakini mengi Sana hatuwezi
 
Yaani hii nchi aisee, tangu 2017 nilipojiandikisha, picha ikaja ofisi ya S/mtaa, HADI wa leo!....kitambulusho malinjilinji...

Unabaki kucheka tu....aisee hata ID Card tu inatushinda!!?

Nilisemaga humu huu ni mradi endelevu wa upigaji wa wakubwa...

Ndio maana hawahangaiki kabisa...

Kupata Nida imekuwa zaidi ya kufuatilia Passport!!? Kweli tuko serious!?

Aibu iliyoje hii!....60+ years of independence!!? Really!?
 
Nimemsikiliza VIZURI waziri wa mambo ya Ndani wakati akitolea maelezo suala la VITAMBULISHO VYA TAIFA kuchelewa. Lakini katika maelezo yake nimebaini kwamba Kuna uwezekano hata VITAMBULISHO tuligawa tenda kwa makampuni ya nje. Sasa Je, watanzania na hili tunashindwa?
Watanzania tunachoweza ni ngoma, ulevi, uasherati, uzinzi, uhasidi, ujuba, wizi...

Tuwape DP World uone kama ndani ya miezi sita Watanzania wote hawakuwa na kadi za NIDA, tena smart cards.
 
Nimemsikiliza VIZURI waziri wa mambo ya Ndani wakati akitolea maelezo suala la VITAMBULISHO VYA TAIFA kuchelewa. Lakini katika maelezo yake nimebaini kwamba Kuna uwezekano hata VITAMBULISHO tuligawa tenda kwa makampuni ya nje. Sasa Je, watanzania na hili tunashindwa?
Hivi hakuna kampuni toka Uarabuni ikapewa tenda? vitambulisho limekuwa janga! hakuna waarabu waliobobea ktk hili?? :cool:
 
Back
Top Bottom