tumbo

Tumbo is a locality situated in Eskilstuna Municipality, Södermanland County, Sweden with 292 inhabitants in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Nina tatizo la tumbo kujaa sana kila ninapokuwa nimekula chakula

    Ndugu zangu naomba msaada Mimi nina tatizo ambalo Lina ni sumbuwa Saana siku izi sijui Nini chanzo hasa Yaani nafanya ni kila tumbo ina jaa saana chakula mpaka inafika kipindi naona kama vile cha kula kinapanda mpaka kwenye kifuwa ndo Sakia kama vile tumbo imebanana Na kifuwa ivi. Yaani Na...
  2. B

    Nimeamua Kupunguza Matumizi ya Intaneti kwa angalau 50%

    Kama vile tozo walizoweka hazitoshi, wameamua kuchukua tozo zingine kwa kupunguza ukubwa wa vifurushi vya intanet. Hivi huko serikalini wanafikiri kwa kutumia kiungo kipi cha mwili. Walivyo mazuzu nasikia wamepiga pin mitandao ya ngono!! Sijui wanamkomoa nani wakati ni wao wenyewe ndo wanakosa...
  3. S

    Halahala wadada. Mikanda ya kubana tumbo itawaletea dysfunctional and/or malfucnctional disorders

    Kuna mtindo umeingia hivi Sasa hapa mjini wa wadada kutengeneza shepu na kupungiza tumbo kwa kufunga mikanda tumboni. Mtindo huu siyo mzuri ndugu zanguni maana mikanda hii inabana sana tumbo. Kumbukeni viungo vyote mwilinj vinahitaji hewa na damu, lkn mikanda hii inabana kiasi cha kuvifanya...
  4. Tumbo la mwezi kwa vigoli (Dysmenorrhoea) iwe sababu maalum ya kukosa mahudhurio ya darasani siku mbili kwa mwezi

    Wanawake na mabinti wengi walipitia ama wanapitia maumivu ya tumbo la mwezi Dysmenorrhoea kila mwezi. Maumivu haya yana athiri uwezo wa mwili kisaikolojia, fizikia hata kujichanganya na wenzako inakuwa shida. Wengi hasa hupata maumivu haya siku moja au mbili ambazo wengine hutapika na tumbo...
  5. Mwenye kujua hizi dalili za tumbo naomba anisaidie remedies zake. I think am dying

    Nina maumivu sehem za tumbo upande wa kushoto wa tumbo na kupanda Hadi sehem karibu na moyo. Please mwenye kujua tatizo anisaidie Hata ushaut nini cha kufanya
  6. BITTER KOLA NUTS: Meek Mill amepona maradhi ya tumbo baada ya kutumia Bitter Kola nuts

    Kwenye account yake ya Twitter, Meek Mill ameandika kuwa amepona maradhi ya tumbo yaliyokuwa yakimtesa kwa kipindi kirefu (miaka miwili) mara baada ya kutumia dawa za asili kutoka Afrika "bitter Kola nuts", Meek Mill anasema amezunguka kwa madaktari wengi lakini walishindwa kutibu maradhi yake...
  7. M

    Ipi tiba ya tumbo kuwa kubwa baada ya uzazi?

    Habari wana ndugu kwa ujumla, natumaini wote hamjambo na mnaendelea shughuli zenu za kila siku! Naomba kujua tiba, ushauri au maelezo yakinifu kuhusu mwanamke aliyetoka kujifungua na tumbo lake likabaki kama awali ya ujauzito au kupungua kidogo tuu!🤤
  8. N

    Audio: Ridhiwani Kikwete asema Manara ni mchumia tumbo, Yanga hawako serious

    kaongea mengi msikilize mwenyewe ,audio ina dakika tatu, kwa kifupi anasikitika sana team yake ya utopolo fc haipo serious zaidi ya propaganda za media na mitandaoni kuongelea jezi za machampion wa nchi na klabu bora afrika mashariki Team iko bize na mambo ya kiutopolo hata matayarisho ya...
  9. Kwa wanawake tu: Jinsi ya kuboresha na kufurahia tendo la ndoa

    Malalamiko yamekuwa mengi kina mama hatutaki kutoa unyumba visingizio kibao. Mara nyingi wanawake watu wazima from 35 hamu inakuwa hakuna .yaani tuseme upungufu wa nguvu za kike au nyreege Sasa Kama wewe Una tatizo la kukosa hamu au south pole kunakuwa kukavu Fanya hili jambo rahisi tu utakuja...
  10. M

    Tanzania hakuna Chama cha Upinzani bali wachumia tumbo

    Wananchi wengi wa kawaida na hata viongozi wa kada ya chini ya vyama wanaamini kuwa wanaviongozi wa upinzani mbele yao kumbe wanawasindikiza wachumia tumbo sikuzote hapa Tanzania. Kwanini basi: Tangia kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini mwaka 1992 makanjanja kibao walitokea CCM na...
  11. Je, vidonda vya tumbo vinasababisha hernia? Kuna dawa ya hernia bila upasuaji?

    Je, vidonda vya tumbo vinasababisha hernia? Na kuna dawa ya hernia without surgery
  12. B

    Kibatala na Somo kwa Wachumia tumbo

    Wakili Peter Kibatala ameweka wazi nini maana ya mtu kusimama na anachokiamini: Wako wapi kina Kabudi na kina Pole pole wa tume ya Warioba? Yuko wapi Bashiru wa kabla ya kuteuliwa? Uzalendo wa ndugu hawa ni kwenye matumbo yao tu? Baba wa Taifa mwalimu Nyerere (rip) aliwaona vyema watu...
  13. Libarikiwe sana tumbo lililomzaa Messi

    Huyu njiti kutoka kule Rosario Argentina, tarehe kama Ya Leo alizaliwa. Katimiza miaka 34 leo, ni majonzi sana Kwa wapenzi wa Kabumbu kuona Vijana hawa wataalamu wa huo Mpira Umri unawaaga. Na kuwatupa mkono, Lakini Aghlabu Tumeshuhudia kilichomo kwenye Miguu yao. Nyavu zinacheza singeli...
  14. Vyama vya Upinzani vinamsakama Zitto kabwe kwa kushiriki uchaguzi mdogo Muhambwe na Buhigwe

    Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondoni Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Sababu haukuwa na manufaa yoyote kwa mbowe na genge lake...wakaja kushiriki uchaguzi Mkuu ili kupata...
  15. Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

    Mambo vp jamiiforums. Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja (mama yao mmoja). Mama wa kambo ambaye ni ndugu wa mama mzazi anatunza watoto wa dada yake kwa roho ya upendo sana kuliko mama wa kambo ambaye si ndugu. Wale mliolelewa na...
  16. Mdee, Gekul, Silinde, Nassari, Butiku, Bulaya, Katambi, ndio wamenifanya niamini kwamba siasa Tanzania ni kuchumia tumbo tu sio kuwatumikia wananchi

    Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!! Halafu leo utakuja kuniambia kuna...
  17. Msaada jamani kuhusu abnornal hernia (ngiri ya tumbo)

    Habari ya weekendi wana jamvi. Naombeni mnisaidie kuhusu tiba ya huu ugonjwa wa ngiri ya tumbo yani nakosa adi raha tumbo launguruma na miushuzi kibao kila dakika nashindwa adi ku perform activity zangu kwa ufasaha ofisini kila dakika toilet kutoa ushuzi
  18. Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kuwaka moto

    Habarini wakuu, Kwa muda mrefu nimekuwa na hili tatizo la tumbo kujaa gesi na kama kuwaka moto...Niliwahi kupima huko nyuma nikaambiwa nina tatizo la vidonda vya tumbo. Nimetumia dawa na dawa ila bado hili tatizo linanisumbua. naomba wataalamu mnishauri nifanye nini ili kumaliza hili tatizo la...
  19. H

    Nilichoelewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu

    Nilicho elewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu Ukiigawanya hiyo pesa kwa Watanzania milioni 60 Trillion 1.28 ÷ milioni 60 1,280,000,000,000 ÷ 60,000,000 = 21333 Kila mtanzania atapata elfu 21. Sasa kazi kwenu mziuze ndege zetu au mtafute bodi ya wakurugenzi yenye wataalamu wa...
  20. Stress za maisha hazisababishi vidonda vya tumbo

    Kumekuwa na imani kuwa vidonda vya tumbo husababishwa kwa kiasi fulani na stress za maisha na msongo wa mawazo . Hili jambo si kweli. Stress zinazosababisha vidonda vya tumbo ni pyhsiological stress, hii ni stress inayotokea pale mwili unaposhindwa kufanya kazi vizuri. Mara nyingi hii hutokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…