pandex bawasiri
Member
- May 18, 2026
- 24
- 6
π’πππππππ πππ πππππ ππππ.
______________________________________
π» Vidonda vya TUMBO SUGU vinakadiriwa kuwa chanzo kikubwa sana cha Bawasiri katika njia zifuatazo. Kwanza
πMgonjwa wa vidonda vya tumbo tafsiri yake huwa chakula hakisagwi vizuri tumboni na Vimengβenya kama vile amylase, protease n.k hivyo chakula hulazimika kutembea bila kusagwa vizuri.
π Na wakati mwingine mtu mwenye vidonda vya tumbo huwa anahisi Dalili kama zifuatazo mara kwa mara, Kiungulia kikali sana ama cha kawaida hasa akila vyakula vyenye gesi kama vile Dagaa,, Maharage,, Chinese, nyama yenye mafuta mengi n.k. kwahiyo Kiwango cha asidi nyingi tumboni huchoma tumbo na kuhisi maumivu makali kama moto vile,, na matokeo yake mtu huyu hupata choo Kigumu sana na chenye harufu kali.
π’Lakini pia,, baadhi ya Vimeng'enya kadhaa Huwa ni Sumu Kali sana inapokutana Moja Kwa Moja na Tishu za kwenye seli kama vimeng'enya hivyo havikuisha nguvu kwa sababu ya Asidi nyingi tumboni. Mfano Amylase enzyme pamoja na *hyaluronidase enzymes hivi aina ya Vimeng'enya huweza kutafuna na kudhoofisha Tishu za mishipa ya Damu sehemu ya haja kubwa Kwa sababu kinyesi Huwa kimegusana na mishipa ya damu hii iliyopo pembezoni mwa Kuta za utumbo mpana. ( Mucosa wall).Kwa hali Hii ikitokea umepata choo kigumu mara Kwa mara na kusababisha mgandamizo sehemu ya haja kubwa, mwishoe mishipa ya Damu hupasuka au kupelekea kuvimba kwa mishipa ya damu eneo la haja kubwa na KUSABABISHA Bawasiri
Tips from #pandex Herbal Clinic 0743 549 126