Acha kuteseka, dawa za vidonda vya TUMBO ZIPO!

Acha kuteseka, dawa za vidonda vya TUMBO ZIPO!

Keyboard_Warrior

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
6,310
Reaction score
10,999
Habari!?

Eeeeh bwana eeeh, nimeteseka sana aisee.

Nimesumbuliwa na shida ya vidonda vya tumbo kwa zaidi ya miaka 10.

Katika kipindi hicho chote nimetumia dawa nyingi sana, kuanzia dawa za hospitali mpaka dawa za asili. Dawa zote zilishindwa kunisaidia.

Hivi karibuni nilikutana na jamaa fulani eneo fulani, katika kupiga stori mbili tatu, nikamchomekea kuhusu shida yangu ya vidonda vya tumbo. Jamaa akaniambia hata yeye alishakuwaga na hiyo shida kipindi cha nyuma, lakini alishapona.

Aliniambia kuna mzee alimtibu kwa kutumia dawa za asili, bahati nzuri alikuwa na mawasiliano ya huyo mzee.
Nilimuomba jamaa mawasiliano ya huyo mzee, jamaa akanipatia.

Siku hiyohiyo nilimpigia simu huyo mzee kumuambia shida yangu. Mzee alinielekeza nyumbani kwake, akaniambia niende nikafuate dawa.

Siku inayofuata nilienda nyumbani kwa huyo mzee, akanipatia dawa pamoja na maelekezo.

Mwisho aliniambia, nikimaliza kutumia dawa, nitampigia simu kumpa mrejesho.
Hizo dawa nilitumia kwa muda wa wiki moja.

Tangu nimetumia hizo dawa mpaka leo sijawahi kusumbuliwa na vidonda vya tumbo tena!!!

Oyaaaah, nimeteseka sana aisee, vidonda vya tumbo sio poa, visikie tu kwa mwenzako.

Namba za huyo mzee hizi hapa chini.

MZEE MUARABU: 0796368846
 
Dawa alizonipatia ndio hizi.

IMG-20260702-WA0000.jpg
IMG-20260702-WA0001.jpg
IMG-20260702-WA0002.jpg
 
Ukweli mchungu dawa za hospital hazitibu vidonda vya tumbo.. naongea kama mhanga niliyeshuhudia haya ..mitishamba nili-dharau kabla sijaumwa ulcers...yaliponikuta nimetoboka hela kinoma hospital kubwa zaidi ya mbili, nimetumia Milion na point vipimo vya kutumbukiza tumboni +dozi za bei ndefu kwenye pharmacy ila nimekuja kupona kwa elfu 60 tu kwa dawa za asili. Aisee hulazimishwi kumuamini aliyetoa uzi huu ila amini moyo wako na hali uliyonayo.
 
Dawa sh ngapi mpaka umepona
Sikia, siku ya kwanza navyoenda mzee alikataa nisimpe pesa, aliniambia baada ya siku tatu za kutumia dawa, mimi mwenyewe nitamtafuta.
Aliniambia nikipona nitampa zawadi/pesa, kiasi cha hiyo zawadi nichague mwenyewe kulingana na uwezo wangu Mungu alivyonijalia.
Nilimpa kiasi gani cha pesa/zawadi, hiyo siwezi kukuambia.
 
Ukweli mchungu dawa za hospital hazitibu vidonda vya tumbo.. naongea kama mhanga niliyeshuhudia haya ..mitishamba nili-dharau kabla sijaumwa ulcers...yaliponikuta nimetoboka hela kinoma hospital kubwa zaidi ya mbili, nimetumia Milion na point vipimo vya kutumbukiza tumboni +dozi za bei ndefu kwenye pharmacy ila nimekuja kupona kwa elfu 60 tu kwa dawa za asili. Aisee hulazimishwi kumuamini aliyetoa uzi huu ila amini moyo wako na hali uliyonayo.
Ni mitishanba ipi ulitumia?
 
Back
Top Bottom