tukutane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    Wakuu mambo ni aje. Maisha yana mambo mengi sana ya kufurahisha na kuumiza.. Najua ni wengi tumeshawahi kukumbwa na situation ya kuchapiwa japo wanasemaga ni siri ya ndani. Katika jambo hili kila mmoja ana namna yake ya kuyabeba au kuyatolea maamuzi, hatuwezi kufanana. Binafsi kuna mke...
  2. JamiiForums Tanzania Mafundi na Watalaamu wa Generator tukutane hapa

    Husika na kichwa cha Habar hapo juu. Mimi n Mtalaaam(Mechanical Engineer). Nimejikita zaid kwenye upande wa power yaan generator na Solar System. Kwa miaka 18 sasa hv Nmekuja hapa mbele yenu tuwe tunapeana uzoefu na kutatua matatizo madogo madogo na makubwa ya Generator. Pia hata Spare mbali...
  3. JamiiForums Tanzania Ambao tunaweza kuunga bao tatu tukutane tupeane mbinu za kufikisha nne

    Heshima ya mwanaume ni kuweza kumudu kuhudumia familia. Watoto na mke wale, watibiwe na kupata stahiki zingine kwa wakati. Pia heshima ya mwanaume ni kumt.... MBA mke au MICHEPUKO mpaka aseme tayari inatosha. Hakuna raha kama kuweza kupiga show kwa ufasaha. Mwanamke ukiweza kumpa mahitaji yake...
  4. JamiiForums Tanzania Tulioifanya JF kama ajira ya kudumu tukutane hapa

    Mimi ni boss wa Jf kazi yangu ni kutoa assignment and get things done. 1.Nitapost kitu nisubirie responses kwa watu(Business plan in action) 2.Maudhui yangu ndiyo yataamua wachangiaji(Business marketing) 3.More responses will sell you in business industry and get profit 4.The more profit you...
  5. JamiiForums Tanzania Tunaotegemea ulozi katika maisha yetu tukutane hapa

    Huu ni Uzi maalumu kwetu sisi vigagula , kwa ajili ya kupeana update za dawa mpya na michanganyo yake kwa lengo la sisi kupandishwa vyeo makazini, kuwaroga mabosi zetu watuachie Mali , kuroga wazungu, kujipatia Mali za kilozi n.k Binafsi tayari Nina mchanganyo mpya wa jinsi ya kuwavua na...
  6. JamiiForums Tanzania Marvel’s Spiderman: Brand New Day! Tukutane Cinema July!

    Peter Parker ndani Hulk ndani Punisher. Trailer imeachiwa na Sony leo. Unataka nini cha ziada? 31st July. Screen Kubwa.
  7. JamiiForums Tanzania Quality Assurance Pro, tukutane kwenye huu uzi

    I hope this thread finds you well. Mimi ni mzima wa afya kabisa sijui ninyi huko Leo nimekutana na kijana mwenzangu anauza vitu kama mafuta, sabuni, perfumes etc. makolo kolo mengi mengi wazungu wanaita cosmetics products sijui ni hivyo au nachanganya mafile. Tumekutana tumesalimiana vizuri...
  8. JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kuku wa kisasa tukutane hapa

    Habari wakuu, Khalysh investment tusambaza chakula cha kuku cha aina zote kwa bei ya kiwandani—ubora wa hali ya juu, bei rafiki, na uhakika wa matokeo shambani. 🐔 AINA ZA CHAKULA TUNAZOTOA: 🔹 Kuku wa Nyama (Broilers) ✔️ Starter – kwa vifaranga (ukuaji wa haraka) ✔️ Grower – kuku wanaokua ✔️...
  9. JamiiForums Tanzania Wazazi tunaochapa watoto under 3 years tukutane hapa

    Wataalamu tunaomba mwongozo wa kudispline watoto maana waziri amecharuka huko. Kumbe tunafanya uhaini
  10. JamiiForums Tanzania Wataalam wa kuunda BOT za macasino online Tukutane hapa tupeane utaalam

    Wakuu wataalamu wa python na selenium, na JS playwright Tukutane hapa. Tupeane uzoefu na utaalamu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa Kama uliwahi ‘kuopoa’ kwa kutumia mistari ya wasanii

    N:B Ilikuwa enzi hizo pesa ilipokuwa ikipewa uzito mdogo kwenye mapenzi Uopoaji una mbinu nyingi sana ikiwemo kutumia mbinu hii adimu ya kutumia mistari ya wasanii walioumiza vichwa vyumbani hadi wakakamilisha kazi zao studio. Wengine hutumia mistari hii kucopy na kupaste kwenye suala zima la...
  12. JamiiForums Tanzania Programmers wabongo tukutane hapa tubadilishane mawazo.

    Hello programmers, Tujuane kwa: • Skills zetu • Tech stack • Years of experience • Fursa zilizopo hasa hapa bongo. 🫴🫴Uwanja ni wetu.
  13. JamiiForums Tanzania Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria

    Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria. Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa mauwaji kuwajibishwa. Mwambieni aliye tengeneza kesi hii ya uongo inafaida kwa umma kwani tunapata...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kama we ni mkali wa kucheza DLS football game la simu njoo tuzichape

    Kama we ni mkali wa kucheza DLS football game la simu njoo tuzichape, niko bored huku kijijini.
  15. JamiiForums Tanzania Wale tuliowahi kucheza chandimu tukutane hapa tujuane

    Sina mengi ya kusema zaidi ya kuwaambieni tu kuwa mimi ndiye GOAT wa Mpira wa chandimu. Hii ndo kusema kuwa wakati wengine walikuwa wanatamba pande zao mimi nilikuwa natamba pande zangu. Huku mesi akiwa GOAT wa professional football secretarybird naye ni GOAT wa chandimu. Ni hayo tu.
  16. JamiiForums Tanzania Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa

    Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa
  17. JamiiForums Tanzania Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri

    Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri.. Hii inajimuisha tunaosimamisha lege lege, kama utumbo, tunao mwaga ndani ya dk moja , tusio weza kurudia kabao kapili na hata tunao simamisha Kwa misimu kama mvua ya masika . Tupeana ushauri namna ipi tutoke kwenye hizi...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Oyaa nimeuza coin za GVC tukutane bar

    Habari zenu. Ni muda mrefu nimekuwa nikikusanya GVC coins kupitia referral na rewards mbali mbali. Lengo langu lilikuwa kufikisha coins 1100+ ili kuuza kwa GalaxyMarket kama wanavyoonekana hapo kwenye picha, kwani kipindi cha mwanzo nimeisha wahi kuuza coins 347 kwa QuantamFx ili kujaribu...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali na Polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikomo - aah! Tukutane Ikulu

    Serikali na polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikoma aah, tukutane ikulu
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wameua watu wengi hadi wanaogopa kutaja idadi wa watu. Tukutane ICC

    Walianza na singeli kuwa waandamanaji ni watu wa nje Wakaja na singeli kuwa waliahawishiwa Wakamalizia na singeli kuwa wamelipwa. Mara eti wamechoma mali, mara wameua polisi. Wanaulizwa swali moja tu. Mmeua wangapi ? Wanashindwa kujibu. Uzuri mshaelekea kibra na ICC wanawasubiri kwa hamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…