tukutane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tukutane hapa Kama uliwahi ‘kuopoa’ kwa kutumia mistari ya wasanii

    N:B Ilikuwa enzi hizo pesa ilipokuwa ikipewa uzito mdogo kwenye mapenzi Uopoaji una mbinu nyingi sana ikiwemo kutumia mbinu hii adimu ya kutumia mistari ya wasanii walioumiza vichwa vyumbani hadi wakakamilisha kazi zao studio. Wengine hutumia mistari hii kucopy na kupaste kwenye suala zima la...
  2. Davidmmarista

    Programmers wabongo tukutane hapa tubadilishane mawazo.

    Hello programmers, Tujuane kwa: • Skills zetu • Tech stack • Years of experience • Fursa zilizopo hasa hapa bongo. 🫴🫴Uwanja ni wetu.
  3. Genius Man

    Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria

    Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria. Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa mauwaji kuwajibishwa. Mwambieni aliye tengeneza kesi hii ya uongo inafaida kwa umma kwani tunapata...
  4. L

    Kama we ni mkali wa kucheza DLS football game la simu njoo tuzichape

    Kama we ni mkali wa kucheza DLS football game la simu njoo tuzichape, niko bored huku kijijini.
  5. secretarybird

    Wale tuliowahi kucheza chandimu tukutane hapa tujuane

    Sina mengi ya kusema zaidi ya kuwaambieni tu kuwa mimi ndiye GOAT wa Mpira wa chandimu. Hii ndo kusema kuwa wakati wengine walikuwa wanatamba pande zao mimi nilikuwa natamba pande zangu. Huku mesi akiwa GOAT wa professional football secretarybird naye ni GOAT wa chandimu. Ni hayo tu.
  6. youngkato

    Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa

    Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa
  7. Thesonboy

    Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri

    Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri.. Hii inajimuisha tunaosimamisha lege lege, kama utumbo, tunao mwaga ndani ya dk moja , tusio weza kurudia kabao kapili na hata tunao simamisha Kwa misimu kama mvua ya masika . Tupeana ushauri namna ipi tutoke kwenye hizi...
  8. N

    Oyaa nimeuza coin za GVC tukutane bar

    Habari zenu. Ni muda mrefu nimekuwa nikikusanya GVC coins kupitia referral na rewards mbali mbali. Lengo langu lilikuwa kufikisha coins 1100+ ili kuuza kwa GalaxyMarket kama wanavyoonekana hapo kwenye picha, kwani kipindi cha mwanzo nimeisha wahi kuuza coins 347 kwa QuantamFx ili kujaribu...
  9. Genius Man

    PostGE2025 Serikali na Polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikomo - aah! Tukutane Ikulu

    Serikali na polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikoma aah, tukutane ikulu
  10. Lord Denning

    PostGE2025 Wameua watu wengi hadi wanaogopa kutaja idadi wa watu. Tukutane ICC

    Walianza na singeli kuwa waandamanaji ni watu wa nje Wakaja na singeli kuwa waliahawishiwa Wakamalizia na singeli kuwa wamelipwa. Mara eti wamechoma mali, mara wameua polisi. Wanaulizwa swali moja tu. Mmeua wangapi ? Wanashindwa kujibu. Uzuri mshaelekea kibra na ICC wanawasubiri kwa hamu...
  11. Abraham Lincolnn

    Mpaka sasa Polepole hajulikani alipo na waliomuua Mzee Kibao hawajachukuliwa hatua, Unadiriki kuzungumza Maridhiano? Tukutane Barabarani DEC 9

    Serikali ILIYOMWAGA DAMU za watanganyika, Serikali iliyoua maelfu ya Watanganyika, ili tu kulazimisha mtu mmoja na chama kimoja kisalie madarakani, LEO wanajitokeza hadharani wakijifanya hawajui chanzo cha ndugu, jamaa zetu na wapendwa wetu kuuawa! hii ni DHARAU KUBWA SANA. Haijawahi kutokea...
  12. The Burning Spear

    PostGE2025 Waliahidi siku 100 za kwanza, wakumbusheni leo ni siku ya 14 kimya bado wamejifungia ndani tukutane D9!

    GT Mfikishieni salamu bibi ya kizimkazi leo ni siku ya 14 kati ya zile mia alizosema aha aha a nachoka mimi mtoto wa mzee mwandambo, dalili zinaonyesha serikali iko paused na hawajui waanze na gia gani ya uongo kudadadeki. Mungu wa mbinguni azidi kutupa uhai tushuhudie maajabu ya TANZANAI ya...
  13. darautobroker

    Car4Sale 2018 Audi Q5 Quattro iko sokoni - car enthusiast tukutane hapa

    Bei/Price TSH 85M Call+255 747 999 927 AUDI Q5 QUATTRO(S-LINE) Year: 2018 Engine: 1,980Cc Mileage: 62,000+ Fuel Used: PETROL Transmission: AUTO 100% Duty Paid Free Registration Exchange Possible Paddle Shifters Apple Carplay Equipped Driveway Assistance System
  14. Mshana Jr

    Tunaomngojea Humphrey tukutane hapa

    Kwa saa za hapa kwetu Malawi itakuwa saa 21:00 kamili na kuendelea Darasa huru sehemu ya nne sasa kati ya kumi! Ni kupitia HP online TV Sisi Wamalawi hatuna nongwa na mtu kikubwa elimu! Kisha tukisha elimika sasa! Haba na haba hujaza kibaba wahenga walisema! Lakini sasa za kuambiwa zichukue...
  15. Nikola24

    Tuliowahi kukaa mahabusu/jela tukutane hapa!

    Mimi binafsi nimewahi kuwekwa mahabusu mara 6 kwa vipindi tofauti.Sababu ni ugomvi ugomvi. Nimeanzisha huu Uzi tu share stori za mikasa na uzoefu uliopata ukiwa lock up. Mimi naanza: Nikiwa mahabusu woga mkubwa ni wafungwa wenzangu.Unakuta watu kibao humo, wapo walioua,kubaka,wezi, na hata...
  16. SSH2025_2030

    Wenye NIDA tukutane Uwanja wa Mkapa - Uapisho (November 2025)

    Wenye kitambulisho cha NIDA tuna furaha zaidi hivyo basi tukutane kwenye uapisho Uwanja wa Mkapa
  17. Z

    Tukutane uwanja wa Taifa, naaza kuelekea huko nimepiga uzi wangu wa Taifa stars

    Jamani eeeeeee!!!!! twendeni tukapate burudani, twendeni tukaishangilie timu yetu ya Taifa. Leo ni kufa au kupona, Ushindi ni lazima.
  18. IKEKERA

    Tunaosubiri namba “F” za magari tukutane hapa. T001 FAA

    Wadau namba zinakimbia sana ..sasa hivi wapo kwenye EMZ ..sasa tunaosubiri namba za herufi "F" tukutane hapa
Back
Top Bottom