tukumbushane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    Wanaume tukumbushane tu mambo machache tunapochagua mke wa ndoa

    Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kumfanya mwanamke kuwa mke wako wa ndoa. Kwa leo tuangazie matatu tu kwa kifupi ili tuendele na shughuli za ujenzi wa taifa. Iko hivi, unapotaka kuoa kwanza usijifikirie wewe tu, ni kweli chagua mwanamke ambaye anakuvutia lakini ukumbuke hujichagulii...
  2. Tukumbushane: Unavyonunua TV mpya, unaangaliaga vigezo gani?

    Kwa wapenzi wa TV, ushauri namba moja naweza kukupa, usinunue TV used. Never. Pambana na jikusanye ununue mpya. Sasa unavyonunua TV dukani au unaangalia online unaangaliaga vigezo gani? Najua wengi tunanunua TV moja ila ina matumizi mengi kama vile kuangalizia movies, kuunganisha na ving'amuzi...
  3. Ikitokea Umepata Mil 180 leo, Haitoshi kulipa Ushuru wa Range Rover ya 2024

    Tuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse? Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi. Tukipishana nayo njiani tuwe tunaacha space. Tusije pasua taa.
  4. M

    Ujumbe kwa viongozi na watu wote kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani

    Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani. Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani. Pia...
  5. Tukumbushane kisa cha mwamba aliyejinyonga kwa bahati mbaya uwanja wa golf Morogoro

    Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale Morogoro akiitwa Hamisi Kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga. Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf Morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga...
  6. B

    Tukumbushane mambo ya ovyo yanayorudi kwa kasi

    Miongoni mwa mambo ya hovyo ni; 1. Abiria kusimama kwenye basi kuwa kitu cha kawaida 2. Malori kupaki barabarani na kuziba njia 3. Kuuza na bidhaa na kutokutoa risiti 4. Watumishi wa Serikali kutojali wananchi
  7. Ukimaliza kutumia computer ya public futa vitu vyako na logout kwenye akaunti yako

    Ni muhimu kukumbuka kuacha computer inayotumiwa na wengi ikiwa safi na vilevile taarifa zako zikibaki kwenye account yako bila kujulikana kwa wengine. Nimetoka kwenye stationery moja mitaa ya Ubungo karibu na hostel za chuo kikubwa zilizojengwa kwa matofari ya kuchomwa. Kuna mdau ameacha kila...
  8. Kwa watoto wa mjini tu: Tukumbushane SPM kiwanda cha karatasi Mgololo, Sawala na Site!

    Wakuu heshima kwenu! Kwa wale watoto wa mjini tuu tulio jua taa za barabarani miaka ya 90... tulio kuwa tunapiga misele kwa kupanda gari la kazini bure. Watoto wa mesi... watoto wa mason club watoto wa senior club. Mpo wapi wakazi wa BQ, Construction house, H5 watoto wa kimasikini H3 na H1...
  9. TBT: Need For Speed 2, Tuipakue tukumbushane enzi na Tufurahi, inakubali windows 7, 8, 10, 11.

    Kumbukizi ya moja ya Games za zamani zilizochezwa sana na watoto na vijana miaka ya 2000 ni Need for speed. Unakumbuka kuicheza? Ulikuwa na umri gani? ipakue hapa chini ukumbushie enzi 🙂 Dah ebhana ee!! mi nime cheza tangu 2002 hadi 2009, ilikuwa inapigwa knockout ya kufa mtu. Nilikuwa...
  10. Wale tuliopigwa fix mbalimbali zamani wakati bado tupo zama za giza bila internet tukumbushane fix mbalimbali

    Kitambo hiyo zama za mwamba Mwalimu Nyerere Rais wa kwanza wa Tanzania Filling station zilikuwa na majina maalum kutoka nchi za mabeberu, SHELLY, CALTEX, AGIP, BP, ESSO, TOTAL, peke yake sio sasa hivi hata mimi naweza kuanzisha filling station yangu na nikaipa jina la mwendawazimu yeyote kati...
  11. T

    Vijana tukumbushane, tusisahau kupima, Kaswende, Kisonono viko nje nje

    Mimi kanuni yangu ni moja, lazima tupime, haijalishi nitatumia condom ama lah lakini lazima tupime. Jana nimechukua mtoto mzuri innocent kabisa, sio malaya(inawezekana ni malaya underground ) nikampima majibu ndio haya ana kaswende. Hakuamini macho yake.
  12. R

    Tukumbushane hesabu kidogo! We need mathematics in our daily life

    Can all the laws of physics be expressed as a set of mathematical equations? Yes, Mambo ya kufikirika :D :D :D :D :D :D :D :D :D Albert Einstein giving a lecture on relativity at a historically black university in 1946. His peers scrutinized him for it and the press ignored it...
  13. Wanaume tukumbushane mapema, kabla jua halijazama

    Bro, Wanaume wa UWABATA wanaangamia kwa kukosa maarifa, wanapotea, wanaenda kwa mkumbo, hawajui hata lengo la maisha yao ni lipi, wanapeperuka, wamekosa uzito, wameshindwa kukaza, wamekuwa kama bendera. Tuwashutue au tuwaache? Hachana nao bro, acha wapotee, hawajielewi, acha wajipalie mkaa...
  14. Tuliojilea wenyewe uswahili maisha magumu tukumbushane maisha tuliyopitia

    INTRODUCTION Nawasalimu kwa jina la chama kubwa YANGA basi jibuni "Ubingwa uendelee"" Naanza Mimi. Mimi nilizaliwa mjini Daslam! Miaka ya 1990. Wakati nazaliwa tulikuwa tunaishi Mwananyamala B Na nikiwa mdogo nilifiwa na wazazi nikachukuliwa na ndugu kwenda kuishi mwananyamala Komakoma. Hapo...
  15. Kama ulianza kutumia Internet mapema miaka ya 1990 na 2000 njoo hapa tukumbushane Internet Cafe tulizoenda, Vimbwanga, Kero na Kumbukumbu

    MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo 😂 . Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na DarHotwire, baadae zikaja Jamboforums (kwa sasa jamiiforums), Hi5, Bongo 5, tulikuwa tunalipia kwa...
  16. Wanaume tukumbushane katika suala hili

    Bro, Kikao cha hiki kijiwe sio kama kile cha wanaume wa UWABATA, Hachana na wanaume wasiojielewa, hatuna haja ya kuunda 'hashtag' hizo pigo waachie wanawake.! Hachana na wanaume wasiojielewa, wao na wake zao wanalumbana kila siku, Unajua kwa nini.!? Kwa sababu hawajielewi.! Hawavai kilemba cha...
  17. TUKUMBUSHANE: Tukio gani la hatari uliwahi kufanya utotoni?

    Hope ni wazima wana JF, Je, uliwahi kufanya tukio gani la hatari kipindi unakua? Sitosahau siku moja ilikuwa ni likizo ya Pasaka siku ya Ijumaa tukiwa group la watoto kama 6 hivi, mmoja alikuwa wa kike Jesca, tulienda porini sio mbali sana na maeneo tunayoishi. Baada ya kutembea tembea kidogo...
  18. Tukumbushane Marekani alivyopambana na Taiwan. Urusi na Ukraine sio hoja

    Vita vya Vietnam vilikuwa vita vya muda mrefu, vya gharama kubwa na vya mgawanyiko vilivyoikutanisha serikali ya kikomunisti ya Vietnam Kaskazini dhidi ya Vietnam Kusini na mshirika wake mkuu, Marekani. Mzozo huo ulizidishwa na Vita Baridi vinavyoendelea kati ya Marekani na Muungano wa...
  19. R

    Tuliofundishwa na walimu hawa tukumbushane brains za walimu hawa

    1. Profesa Ndaalio- Chemistry dept CH114 and CH 220 2. Dr. Tibanyendera CH114 and CH220 3. Prof Khan Organic chemistry 4. Dr. MtotoMwema.......................Botany 5. Dr. Chamungwana.... DSS 6. Prof Ishumi....Education endelea
  20. Tukumbushane kulipa kodi

    Habari zenu, Kwanza nianze kwa kusema kuwa sijatumwa wala sina chembe ya uanachama wa itikadi yeyote ya chama cha siasa,mimi ni Mtanzania halali ambaye nimeamua kwa dhati na mahaba kwa nchi yangu kukumbusha wananchi wenzangu. NCHI HAIJIJENGI Ipo nadharia moja kwa waliosoma DS vyuoni inasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…