tukio

Arto Tukio (born April 4, 1981) is a Finnish professional ice hockey defenceman, currently playing for Ilves in the SM-liiga.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga mnahujumiwa. Tukio la jana liliniumiza moyo sana

    Kuna watu walichukua jezi nyingi sana badara ya kugawa wakapeleka majumbani kwao mimi nliona mtu kwa macho yangu Temeke kachukua jezi kama 5 ivi kaweka kwenye kibegi. Hii si sawa inashangaza kwa nini mtu anataka kila kitu afaidi yeye tu kuuna watu wanatuujumu na jana walituujumu pakubwa sana...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Polisi wakanusha tuhuma za Abdul kuua mtu Jangwani

    Kuna taarifa inasambazwa kwenye mitandao ya Kijamii yenye kichwa cha habari kinachosomeka "ABDUL NA KUNDI LAKE WAMTEKA MWANDISHI WA HABARI WAMNYONGA NA KUMTUPA MTO JANGWANI". Maandishi hayo yanaonekana kama ilivyo hapo kwenye kiambatisho na pia kinaonekana kitu kinachoelea. Jeshi la Polisi...
  3. JamiiForums Tanzania Tukio la Kupatwa Kwa Mwezi Leo Septemba 7, 2025

    Habari Leo kuanzia mida ya jioni jua linapozama hadi saa 6 usiku tutashuhudia tukio la kupatwa kwa mwezi Ni vizuri kuwaonesha watoto wetu wawe wanapata uzoefu wa matukio haya Itawasaidia hata wanapokuwa wakifundishwa kujua ni kitu gani wanafundishwa Walimu wametutumia nikaona sio vibaya kushare...
  4. JamiiForums Tanzania KWELI Picha halisi imetumika kutengeneza video isiyo halisi kwa Akili Unde

    Wakuu Hili tukio kwenye video hii ni la kweli?
  5. JamiiForums Tanzania Mindset mbovu ya Muafrika ilijidhihirisha katika tukio hili miaka kadhaa iliopita na ever since bado tunaendelea na ubovu wetu ule ule.

    Mnamo Oktoba 15, 1987, Sankara alikuwa akikutana na washauri huko Ouagadougou wakati kikosi cha wauaji, kikiongozwa na askari watiifu kwa Compaoré, walivamia majengo. Na kushangaza compaore huyo alikuaa rafiki mkubwa sana wa sankara ambaye sankara alimuamini sana. Sankara, akifahamu hatari...
  6. JamiiForums Tanzania Tukio lililobadili sheria za ndondi kwenye muda

    Katika historia ya ndondi, mechi ndefu zaidi ilikwenda raundi 110, iliyochukua zaidi ya masaa 7. Andy Bowen na Jack Burke, miamba miwili ya ndondi Wawili hap , walipigania taji la ubingwa mnamo Aprili 6, 1893, huko New Orleans. Kuanzia katikati ya usiku , mapigano yaliendelea hadi asubuhi...
  7. JamiiForums Tanzania Tukio la Kutekwa kwa Ndugu wa Mgombea Udiwani CCM Sirari

    Sirari, Tarime – Mara Tarehe 11 Agosti 2025, majira ya saa 8:27 usiku, tukio la kutisha liliripotiwa kutokea katika makazi ya aliyekuwa mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Sirari, wilayani Tarime. Mashuhuda wanasema kundi la watu wasiojulikana, wakiwa na silaha za moto...
  8. JamiiForums Tanzania Una deal vipi na tukio kama hili au nilipotezee ni kawaida tu?

    Jana niko zangu home nimetulia, nje namsikia jirani yangu ambaye anafanya kazi na mke wangu.(walimu) Alikuwa akimuita mke wangu aende amfuate alipo na jibu la wife lilikuwa njoo wewe, jirani akawa analazimisha wife aende na yeye anamuambia njoo ww huko siwezi kuja lkn jirani alikuwa anaendelea...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana m'meona tukio la binti wa UDSM kupigwa na mchumba wake?

    Nazungmzia tukio hili ambalo hadi sasa bado tunasikilizia mrejesho wa kamanda wa jeshi la polisi huko morogoro atupe kisa kizima cha mchumba wa binti huyu kufanyiwa mashambulizi kadhaa ya kimwili. Kwanza niweke bayana kuwa violence dhidi ya wanawake ambao physically ni dhaifu kwa mwanaume si...
  10. JamiiForums Tanzania Madalali wa Dar walikupiga tukio gani...? Mdau katika utafutaji nyumba au chumba.

    Dalali dalali sheria gani inakupa mamlaka kuchukua service charge 20,000 hadi 30,000 kuona chumba au nyumba na hapo hapo unataka hela ya mwezi mmoja ya kodi yangu bila kutoa jasho yaani unachukua hela kiulaini bila stress na mtu akikuomba umsaidie hiyo mwezi iwe free tayari unampiga service...
  11. JamiiForums Tanzania Kitabu cha The Animals Are Innocent: "The Search for Julie's Killers" kinaonyesha majibu rahisi ya viongozi afrika mfano tukio la Julie's kule kenya.

    Kitabu hiki ni hadithi ya kweli kuhusu Julie Ward, msichana wa Kiingereza aliyeuawa nchini Kenya mwaka 1988. Julie alikuwa mpenzi wa wanyama na alifanya kazi ya kupiga picha za wanyama katika Hifadhi ya Masai Mara. Siku moja, aliondoka Nairobi kwenda kufanya kazi yake, lakini hakurudi tena...
  12. JamiiForums Tanzania Tukio la ajabu Kwa Mtogole linaninyima usingizi

    Nilitoka Posta kwenye mishe zangu nikawa naelekea Sinza.. Na njia ambayo ingenifikisha kwa urahisi ni kupitia pale Magomeni Morroco then Tandale Basi nikachukua njia hiyo, Ukiingia hiyo njia kwa mbele kuna shule ya msingi upande wa kushoto na mbele kulia kwenye kona kuna makaburi Pembezoni mwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini account za Ikulu zinarusha tukio la Mgombea Samia kuchukua fomu ya kugombea? Watarusha na wagombea wa vyama vingine?

    Wakuu, Hili ni tukio la kichama, katika shughuli ambayo kama atafanikiwa basi acc hizo za ikulu ndio zitatumika kirusha matukio yake. Kwanini zinatumika leo Samia akienda kuchukua fomu kama mgombea wa CCM, ni kwamba wameshapitisha kwamba yeye ameshakuwa Rais? Vyama vingine vikienda kuchukua...
  14. C

    JamiiForums Tanzania "The Seismic Myth of Matthew" ni tukio lilio kosa ushahidi wa kigiolojia.

    " "Hadithi ya Kutikisika kwa Ardhi isiyokuwa ya kweli katika Mathayo 27:51. Wanasayansi wa geolojia* hawajapata ushahidi wa tetemeko kubwa la ardhi linalo lingana na hilo katika historia ya Yerusalemu mnamo karne ya kwanza. Tacitus, Josephus, au Pliny the Elder ndo wana historia wa kubwa wa...
  15. JamiiForums Tanzania Heshima kwa wageni kuendelea kuwepo eneo la tukio

    Wanandoa nchini Filipino wamewashangaza watu wengi ulimwenguni baada ya kuendesha shughuli za harusi yao katika kanisa ambalo limejaa maji kutokana na dhoruba na mafuriko. Bwana Newlyweds Jade Rick na Jamaica kiss - wanaeleza Maamuzi hayo kwao ni kama kujitoa sadaka katika jambo Lao, lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kufanya mapenzi na namna ilivyokuwa mpaka kufikia huko

    Mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya hili tukio jana, nimeacha pombe mazima

    Moderator wiki jana sio jana. Wiki iliopitia Wife kanipigia simu saa kumi umeme umekata na gesi imeisha, ila akili yangu ilikuwa settled katika kutuliza koo kidogo koo kwa dakika 10 alafu nikimbie home ninunue umeme fasta Ebwana eeh, si raha ya maji ikazidi mixer nyagi nikasahu kila kitu...
  18. JamiiForums Tanzania Dunia itasimama na kama haitoshi itarudi kinyumenyume

    Tukio la ajabu/kushangaza litakalo leta mijadala mipya ya kisayansi ulimwenguni. Chukulia mfano; Mida ya jioni kijua cha usoni uko katika harakati zako zahapa na pale gafla jua linazama giza linaanza kuingia kama kawaida lakini ghafla tena baada ya dakika 3,4 hivi unaona mwangaza wa jua na una...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea kati ya Serikali ya Chama tawala ,vyombo vya ulinzi,dola na mfumo kuna siri au tukio zito sana tulitarajie kabla ya Agosti 3.

    Wakuu natumai mnaendelea vyema.kwa wale wanaofuatilia matukio mbalimbali ya kisiasa na kijamii nchini mnakubaliana nami kwamba kuna mambo hayako sawa kabisa. Kuna matukio ya wazi mfano kutovunjwa kwa Bunge,mvutano wa Vyombo vya ulinzi na Taasisi za kidini(shambulio la kitima,kufungiwa kanisa la...
  20. JamiiForums Tanzania Sativa: Bila video kusambaa mtandaoni mngekaa kimya na hii taarifa ili mfanye vile mnafanyaga siku zote?

    Anaandika Edgar Mwakalebela (Sativa) kupitia ukurasa wake wa X: Kwamba bila video kusambaa mtandaoni mngekaa kimya na hii taarifa ili mfanye vile mnafanyaga siku zote kwasababu waliofanya huu ukatili ni WATUMISHI WENZENU WA SERIKALI. Tunaongozwa na WATU waliojaa Damu Za watanzania wasio na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…