Dunia itasimama na kama haitoshi itarudi kinyumenyume

Dunia itasimama na kama haitoshi itarudi kinyumenyume

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
1,016
Reaction score
1,762
Tukio la ajabu/kushangaza litakalo leta mijadala mipya ya kisayansi ulimwenguni.

Chukulia mfano;
Mida ya jioni kijua cha usoni uko katika harakati zako zahapa na pale gafla jua linazama giza linaanza kuingia kama kawaida lakini ghafla tena baada ya dakika 3,4 hivi unaona mwangaza wa jua na una angalia lilikozamia jua unaliona jua lile linakalibia kuzama tena kwa mara ya pili.

Hii itawaathiri afya ya akili baadhi ya watu.

Nimeona taarifa za kutokea kwa eclipse na zinasemaje safari hii itakua ya kipekee.

MIMI NIMESHAONA JUA LIMEZAMA KISHA LIKARUDI TENA KUANGAZA KISHA KUZAMA TENA.

Nina mitazamo mitatu kwa nilichokiana.

1.Kwakua dunia ni pana sana basi pande tofauti tofauti duniani wataliona jua katika position tofauti,
Hivyo basi kwa upande niliopo mimi kijiografia eclipse itatokea wakati wa jioni pindi jua linapokaribia kuzama, tutaona kama jua limezama kawaida kumbe sio na pindi eclipse inaishia tutaona mwangaza ghafra na kuzani jua au dunia imepiga reverse.

2. Huenda eclipse itakapo tokea italeta nguvu kinzani zitakazo athiri mjongeo wakawaida wa Dunia na kuifanya dunia itikisike na pengine irudi kinyume nyuzi kadhaa ktk ratation yake inamaana kama yalikuwa majirani ya jioni jua limezama basi linaweza likaibuka tena.

3.Inawezekana haitahusiana na eclipse bali Dunia tu itasimama na pengine kurudi kinyumenyume.
 
Wana sayansi mnaonaga kila mtu Ni kilaza nadhani mnayayaongeaga hata mkikaa wenyewe hua mnajicheka".
Sayansi ndio inayoumbua /inatoa siri za uumbaji, mwanasayansi akijua siri hizo anaboresha na kuzitumia kwa tija zaidi.

Kwahiyo taarifa za kisayansi ni za kuaminika zaidi ya tunavyofikili.
 
Back
Top Bottom