tuanze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoldDhahabu

    Kama Tulivyochangishana Michango ya Sherehe, Sasa Tuanze Kuchangishana Michango ya Maendeleo

    Katika maeneo ambayo Watanzania wameonesha ushirikiano wa hali ya juu mno, ni kwenye masuala ya sherehe. Wengi wanaoshirikishwa wamekuwa wakitoa ushirikiano murua kuanzia kwenye uuandaji kamati, kuchangisha michango na hata kula na kunywa. Miongoni mwa shughuli za sherehe ambazo zimekuwa...
  2. K

    Hivi hatuwezi kufanya kama Nigeria, Rais kuweza kujiteua nafasi ya Uwaziri?

    Rais Buhari alipoingia madarakani alifanya baadhi ya maboresho kwenye uongozi na moja ya mabadiliko aliyofanya ni kujiteua kama waziri wa nishati wa Taifa hilo lenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika. Lengo kubwa ni kuhakikisha usimamizi unakuwa mkubwa katika sekta hiyo kubwa kwenye uchumi wa...
  3. Hemedy Jr Junior

    Tuanze na Wasanii maana asilimia kubwa yao wanapotosha Jamii na serikali inatoa macho

    Iko wapi maana ya Msanii kuwa ni kioo cha jamii, Wasanii wa kileo ndo basi tena tena hawa wabana pua ndo kabisa. Ndo maana wabana pua sijaona hata mmoja ambaye anaweza kuingia hata kwenye siasa maana wakiingia kwa siasa muda wote ni kuzungumzia mapenzi. Serikali mbali na kuweka wizara ya...
  4. P

    Kwani polisi wanafeli wapi mpaka tuanze kulipa hela ya sungu sungu

    Nagongewa mlango kufungua wadau wanataka Hela ya ulinzi shirikidhi a.k.a sungusungu,na juzi wakati narudi usiku waliwweka limiti ya mtu kutembea usiku,hii SI sawa ,polisi wafanye majukumu Yao, ninalipa Kodi, haiwezekani kwenye nchi ambayo tunalipa Kodi zetu washindwe kudumisha usalama wetu...
  5. Samia atosha tukutane2030

    Umaskini na ufukara ni hatari kuliko ushoga na usagaji. Tuanze na vita ya umaskini na ufukara kisha tukatae ushoga

    Binafsi naona umaskini na ufukara mkubwa ndani ya Tanzania ndio viwe adui nambari moja kabla hatujahamishia magoli kwenye issue ya ushoga na usagaji. Leo hii mtu analala kwenye nyumba ya nyasi na udongo pamoja na kuku ndani lakini watu hawaoni ajabu kwasababu umaskini na ufukara umerasimishwa...
  6. G

    Wazazi tunaofanya biashara tuwaandae watoto mapema wafike mbali kutuzidi, shule ipewe nafasi lakini iwe kwajili ya maarifa ila sio ndoto za kuajiriwa

    Hata mimi mwenyewe tangu mtoto naaswa, soma sana mwanangu uje upate kazi nzuri, elimu ndio ufunguo wa maisha, n.k. misemo yote hio inapindishwa ili mtoto adhani kwamba njia pekee ya kutoboa ni kuja kuajiriwa wakati kuna alternatives far more better, elimu inatupa maarifa muhimu lakini...
  7. K

    Ushauri: Webmaster wekeni katiba mpya tuanze kuijadili

    Haya ni mawazo yangu wengi wetu hatuna nakala ya katiba ya sasa. Ili tupate katiba mpya wekeni hapa katiba ya sasa tuweze kujadili mazuri, mabaya na mapendekezo. Najua topic inasema katiba mpya lakini ni katiba ya sasa ili tuweze kujadili katiba mpya
  8. J

    Peter Msaki: Tuanze kuwaza tofauti juu ya dhana ya mkopo Kwanza tukubaliane Mkopo ni Maendeleo

    “Kuhusu hoja ya deni la Taifa Nafikiri kama watanzania tuanze kuwaza tofauti juu ya dhana ya mkopo Kwanza tukubaliane mkopo ni maendeleo sio Kwa sababu nyinginezo kama kusema hata nchi tajiri zinakopa bali ni ukweli ili ufanye maendeleo Kwa wakati na ukubwa wake lazima Uwe na fedha nyingi za...
  9. Kollebundle

    Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

    Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu...
  10. T

    Nashauri tufute vyama vya upinzani vilivyopo tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kweli

    Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita. Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo wa chama kimoja. Kwa maoni yangu ikiwa tunahitaji upinzani utusaidie kweli kweli lazima tuanze upya...
  11. M

    Tumeshamaliza Sensa ya 'Mibichwa' yetu, na sasa Sensa hizi zinafuata ili Watanzania tuanze kuwekewa Tozo mpaka ya huu Upumuaji Wetu

    Ya Watu ( Mibichwa ) yetu inamalizika rasmi ( Kikanuni ) leo na leo hii hii tena inaanza ya Nyumba zetu ( zenu ) na baada ya hapo jiandaeni kwa Sensa za haya yafuatayo..... 1. Sensa ya Walio na Akili na Wasionazo 2. Sensa ya Wanaotumia Condoms na Sisi Wazee wa Kugongesha Besela ( Tulioapa...
  12. M

    Tuanze Maombi Maalum Kwa ajili ya Ben Saanane na Watesi wa Tundu Lisu

    Shalom! Wapendwa tunapoelekea, kukamilisha kipindi Cha Kwaresma, nawasihi wanamaombi tuingie KATIKA Maombi Maombi Maalum ya kuitafuta ukweli Juu ya Mpendwa wetu Ben Saanane! Mpaka Sasa haijulikani yupo wapi, alikufa au yupo hai! Watoto wake, mke wake wazazi wake wemepitia Magumu sana! Hivo Kwa...
  13. Chagu wa Malunde

    Kama kweli tunahitaji kufanyia marekebisho Katiba Mpya, tuanze na tume Huru ya Uchaguzi na kupunguza madaraka ya Rais

    Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa. Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani. Mahakama ziwe huru na...
  14. Superbug

    Mama umesema tuanze upya na tusameheane lakini.......

    Nani waliompiga lisu risasi? Azory Gwanda na Ben Saanane wako wapi? Walio haribu uchaguzi wa 2020 wanaachwa hvhv? Tuanzie hapa kwanza.
  15. Kipenzi Changu

    Mizengo Pinda: Tuanze mchakato wa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi

    "Kuna mambo ambayo sisi CCM kama chama tawala lazima tubebe dhima. Tutoe uongozi. Kwa, mfano hili la Tume Huru ya Uchaguzi kizuizi ni nini? Hili ni jambo ambalo lazima tukubaliane na wenzetu wa upinzani na tuanze mchakato wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi" Mzee Mizengo Pinda Hii inatoka...
  16. Lycaon pictus

    Gharama za vifurushi zimepanda kwa asilimia 100

    Hili suala kwakweli limekuwa baya sana. Kadri siku zinavyosonga, maisha ya watu yanazidi kutegemea mtandao. Na kwa kawaida teknolojia inavyozidi kukua ndivyo bei inapozidi kushuka. Sasa inakuwaje hawa jamaa wanaongeza bei kwa asilimia 100. Kwa Tsh 1000 nilikuwa napata GB 1 ya tigo. Sasa napata...
  17. K

    SoC01 Tuanze kupambana na machinga raia wa kigeni, tunawaogopa?

    Kama tunataka kupambana na machinga tujifunze kupambana na ulanguzi wa bidhaa unaofanywa na wananchi kwa KUSHIRIKIANA na raia wa Kigeni. Serikali inaona machinga wa Kariakoo na maeneo mengine wanakosea kupanga bidhaa barabarani lakini hakuna anayethubutu kukemea kundi la raia wa kigeni...
  18. comte

    CHADEMA-huenda wakatutangazi tuanze kususia bidhaa za airtel na Tigo kisa kesi ya Mbowe

    Upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhujumu uchumi umesema unakusudia kutumia mashahidi 24 katika kesi hiyo akiwemo mfanyakazi wa Mtandao wa Airtel na Tigo.Pia utatumia vielelezo vya nyaraka 19 na vielelezo halisia.
  19. Pascal Mayalla

    Wito kwa WanaJF: JF Member anapokufa, je, tuanze kuonesha solidarity yetu kama msiba wa Regia, au tuache tu kila mtu na bahati yake na hadhi yake?

    Wanabodi, Kiukweli mimi ni follower mzuri wa Jukwaa la Siasa, halafu majukwaa mengine kutembelea mara moja moja. Sasa jana, kutokana na Tanesco kutufanyia vitu vyake toka asubuhi, kwa wengine umeme ndio kila kitu, hivyo leo nikazianzia mapema tuu ile saa 10 tayari niko viti virefu, by saa...
  20. Cvez

    Wanasimba tuanze safari pasina kutegemea hamasa ya msemaji, hata Mwijaku hatufai

    Uongozi wa Simba wekezeni nguvu katika benchi la ufundi na maslahi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba. Tusianze kutafuta mtu wa kuanza kushindana na Haji Manara, era yake ishapita. Tumpe mkataba wa muda mrefu Ezekiel Kamwaga. Kutafuta mtu dizaini ya Haji Manara kama Mwijaku au Dr Kumbuka ni...
Back
Top Bottom