tuanze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Gharama za vifurushi zimepanda kwa asilimia 100

    Hili suala kwakweli limekuwa baya sana. Kadri siku zinavyosonga, maisha ya watu yanazidi kutegemea mtandao. Na kwa kawaida teknolojia inavyozidi kukua ndivyo bei inapozidi kushuka. Sasa inakuwaje hawa jamaa wanaongeza bei kwa asilimia 100. Kwa Tsh 1000 nilikuwa napata GB 1 ya tigo. Sasa napata...
  2. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tuanze kupambana na machinga raia wa kigeni, tunawaogopa?

    Kama tunataka kupambana na machinga tujifunze kupambana na ulanguzi wa bidhaa unaofanywa na wananchi kwa KUSHIRIKIANA na raia wa Kigeni. Serikali inaona machinga wa Kariakoo na maeneo mengine wanakosea kupanga bidhaa barabarani lakini hakuna anayethubutu kukemea kundi la raia wa kigeni...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA-huenda wakatutangazi tuanze kususia bidhaa za airtel na Tigo kisa kesi ya Mbowe

    Upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhujumu uchumi umesema unakusudia kutumia mashahidi 24 katika kesi hiyo akiwemo mfanyakazi wa Mtandao wa Airtel na Tigo.Pia utatumia vielelezo vya nyaraka 19 na vielelezo halisia.
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito kwa WanaJF: JF Member anapokufa, je, tuanze kuonesha solidarity yetu kama msiba wa Regia, au tuache tu kila mtu na bahati yake na hadhi yake?

    Wanabodi, Kiukweli mimi ni follower mzuri wa Jukwaa la Siasa, halafu majukwaa mengine kutembelea mara moja moja. Sasa jana, kutokana na Tanesco kutufanyia vitu vyake toka asubuhi, kwa wengine umeme ndio kila kitu, hivyo leo nikazianzia mapema tuu ile saa 10 tayari niko viti virefu, by saa...
  5. Cvez

    JamiiForums Tanzania Wanasimba tuanze safari pasina kutegemea hamasa ya msemaji, hata Mwijaku hatufai

    Uongozi wa Simba wekezeni nguvu katika benchi la ufundi na maslahi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba. Tusianze kutafuta mtu wa kuanza kushindana na Haji Manara, era yake ishapita. Tumpe mkataba wa muda mrefu Ezekiel Kamwaga. Kutafuta mtu dizaini ya Haji Manara kama Mwijaku au Dr Kumbuka ni...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wananchi tuanze rasmi kususia bidhaa na huduma za wasiolipa Kodi.

    Ndugu zangu wananchi wabunge hawalipi Kodi kwenye mishahara yao na ni mikubwa kwelikweli Sasa swali linakuja kwanini upande Basi lake? Kwanini ulale kwenye hoteli yake? Kwanini ununue chochote kwenye duka lake au hardware yake? Tena Bora lingekuwa lile bunge lililochaguliwa na wananchi la kina...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tuanze na hoja ya kuondoa kinga kwa mihimili yote

    Kwa mfumo uliopo in ngumu kupata katiba mpya na bora kabisa kama hatutakuwa na ajenda ya kwanza kupeleka mswada wa dharula bungeni kuondoa vipengele vya KINGA. KINGA zikiondolewa hata hii katiba iliyopo itaheshimika.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanaume tuache kutongoza, tuanze kununua wadada wanaojiuza barabarani

    Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa mahusiano yanakufa, ukimpa hela mahusiano yanakua kama ofisi ya mikopo kila Wiki shida za hela haziishii...
  9. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Tuanze moja: Tuachie wafungwa wote walio magerezani na walio rumande bila masharti

    Nina wazo. Wazo linaloendana na uwezo wa kiakili wa mbeba maboksi. Ni hivi: tuanze moja. Tuachie wafungwa wote walio magerezani na walio rumande bila masharti yoyote yale. Au tufanye hivi: tumuulize kila mfungwa aliye gerezani na aliye rumande kama yupo humo kwa kuonewa na kubambikiwa kesi...
  10. Bams

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ni sawa kutaka tuanze upya lakini lazima tuwe na pa kuanzia

    Rais Samia mara baada ya kuapishwa alisema, tuanze upya. Sentensi ile ilibeba maana nzito iliyofichika kwa wasiotaka kutafakari. Unaanza upya pale ambapo unaamini ulikosea, na ili uanze upya ni lazima ufahamu ulipokuwa, ulipokosea na namna ulivyokosea, ili unapoanza upya usiingie kwenye makosa...
Back
Top Bottom