tuache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tuchukue lipi, Tuache lipi kwa mistari hii ya Joh Makini

    TUCHUKUE LIPI, TULIACHE LIPI? STIMU ZIMELIPIWA (COPY MY MOTION) Hii ni segment mpya ambayo itakuwa inaangazia wasanii waliotamka kauli zinazokinzana. Tuanze na John Simon "Mwamba wa Kaskazini, Joh Makini" kwenye wimbo wake uliotajwa hapo juu. "I'M BIG FISH IN THIS OCEAN" DAKIKA ya kwanza...
  2. Ifike mahala vijana wenzangu tukue na tujifunze kuvikubali vilivyo vyetu na tuvipende

    Juzi nimesikitika mnoo. Koloz wameolewa lakini kiunaume, mnajidanganya wazee kuolewa kuolewa tu. Hongereni pia kuiwakilisha Afrika Mashariki ma kati na kwa hatua ile mliyofikia Kyle Moroko. Nina hakika hata hili la NbC hapa kwetu mtalisikia kwenye Bomba. Leo nina machache sana ya kushea, Moja...
  3. Tuache ujinga

    Nimejiuliza sana tena sana, kwanini tunadanganyagwa na wanasiasa tusiowapenda kwa kupewa vijizawadi visivyo na tija maishani? Wanasiasa hao huja na vijizawadi vya kipuuzi kama vile chumvi ya mawe, kofia, tisheti na sabuni za vipande na kuwapa wapiga kura ili wawachague na wakishapewa kura...
  4. Kama nchi, ushoga tumeukataza na kuuadhibu kisheria. Kilichobaki ni utashi wa kuisimamia sheria husika, tuache porojo!

    Nimechukua muda wa kutosha kuisoma Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Sura Na. 16 iyofanyiwa mapitio mwaka 2019) na kujiridhisha pasi na shaka kuwa, kama nchi-Tanzania, ushoga umekatazwa na kuadhibiwa vikali kwenye sheria hiyo. Ni vifungu vya 154 na 155 vya Kanuni ya Adhabu. Wahusika wote wa ushoga...
  5. Tuache Uchale, Chaplin, taifa ni letu sote

    Takribani week 3 hivi, toka Godbless Lema atoe maoni yake juu ya bodaboda! Wapo waliompongeza na wapo waliomkebehi. Suala hili liliwahi pia kuongelewa na Edward Ngoyay Lowassa (waziri mkuu mstaafu) lakini yy alieenda mbali zaidi ila ujumbe ni uleule. Tuache Uchale Chaplin, taifa ni letu sote...
  6. Alichokifanya huyu jamaa, kweli tutafute pesa sana na usimwache Mungu

    Amani kwako. Ramadan Mubarak. Hakuna haja ya maneno mengi, huyu ni raia wa nchini Nigeria, aliamua kubadilisha mfumo mzima wa maisha ya kijijini kwao na kujenga (satellite city) kwa fedha zake bila kumdai mwanakijiji apeleke yai au kilo ya mahindi. Kijiji hiki cha Nigeria kiligeuzwa kuwa mji...
  7. Harmonize hajakosea kuhusu Madam Ritha, tuache mitazamo hafifu katika imani

    Wasalaam JF, Mambo ya imani ni binafsi, hicho wanachoita kusujudu ni dhana ya tafsiri tu, kitendo cha Harmonize kina wigo mpana hasa. Mfano, appreciation, kumsalia mtu aliyekusaidia aongezewe zaidi, kumwombea mtu maisha marefu, kuomba juu ya awaye yeyote Mungu amuepushe na majanga, amjalie heri...
  8. Ndugu zangu Wahaya, tuache upotoshaji, Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris hana asili ya Kanyigo, Bwanjai wala Kanyangereko

    Baada ya nchi kupata taarifa za ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani, ndugu zetu wahaya wameanza propaganda kwamba huyu mama ana asili ya mkoa wa Kagera, natumia fursa hii kuweka wazi kwamba hana nasaba yoyote na Mkoa wa Kagera.
  9. Wanaume tuache Ubinafsi

    WANAUME TUACHE UBINAFSI! Anaandika, Robert Heriel Kuhani Nilikuwa natoka Mashariki kuelekea Magharibi, sasa nitatokea Magharibi kurudi Mashariki. Kaskazini kwenda kusini kisha , kusini kurejea Kaskazini kama pepo za Kusi. Hivyo ndivyo safari yangu ilivyo. Niite Taikon wa Fasihi, Kutoka Nyota...
  10. Mkuu wa Wilaya Jokate Mwegelo: Tushirikiane tulete maendeleo, tuache alama ya kudumu Korogwe

    DC JOKATE MWEGELO - TUSHIRIKIANE TULETE MAENDELEO, TUACHE ALAMA YA KUDUMU KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo ameshiriki Siku ya Wnawake Duniani iliyoadhimishwa tarehe 08 Machi, 2023 Ulimwenguni kote ikiwa na Kauli Mbiu: "Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia, Chachu Katika...
  11. K

    Tuache unafiki kipato cha tsh 7,000 kwa siku ni umasikini wa kutupa

    Watanzania tutafute suluhisho na sio kuwa wanafiki. Kipato cha tsh 7,000 kwa siku hakitoshi na ni umasikini. Tunaweza kutofautiana kwenye siasa lakini sio ukweli hili. Badala ya kujidanganya tutafute mbinu bora. Vilevile boda boda hazija tengenezwa kwasababu ya usafiri wa abiria na inatakiwa...
  12. Wananchi tuache kuihusisha Serikali na mambo ya kipumbavu kama ushoga na mengineyo

    Wananchi wa Tanzania tuache kuihusisha Serikali na mambo ya kipumbavu kama ushoga na mengineyo. Tukumbuke kuwa Serikali inajadili mambo ambayo yana maslai makubwa katika taifa letu ikiwemo afya, elimu, usalama na mengineyo mengi. Hakuna siku Serikali itasimama hadharani kuzungumzia mambo ya...
  13. G

    Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

    Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala. Mtu mwenye ajira...
  14. Tuache minyanduo na mahitaji ya mbususu kipindi hiki cha Kwaresma na mfungo wa Ramadhan.

    Ibada ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Nichukue fursa hii kutoa Rai na kuomba mabaharia wote na kauli mbiu zetu tugutuke kuelekea kwenye crisis ya upatikanaji wa mbususu. Tuchukue sample zetu kadhaaa walau nne na kuweka fungu la pesa kwa ajili ya kuwasitiri na kuwatunza kama...
  15. Tupendane humu tuache majungu

    Tupendane wadau wa humu tuache majungu. Maisha haya ni mafupi tupeane faraja na kushauriana mambo yakujenga sio kubomoa . Unaweza kuwatag watu Fulani ila ukiwa nashida wao wanakuacha Matani wachache ulio watag ndio wanakusaidia hii sio fresh tusiishi kiunafiki tupendane ,tusaidiane ...
  16. Mama wa kambo hawezi kuwalea sawa watoto wake na wa mwengine, tuwaache watoto waishi na mama zao ama kwa ndugu wa karibu ila sio vinginevyo

    MUHIMU: Ndugu wa karibu awe ni bibi (mama yako) au shangazi (dada yako) unaemwamini. Kulazimisha mtoto aje kuishi kwako wakati unaishi na mwanamke mwengine ni kumuingiza mtoto huyo uliemleta kwenye tanuri la moto, hii ni nature ndivyo tulivyoumbwa. Tena hali itakuwa mbaya sana mtoto uliemleta...
  17. Wanawake punguzeni kuomba omba hela

    Hello. Watoto wa kike punguzeni tamaa ya hela. Hela tuliyopanga kununua kiwanja kweli unataka kununua iPhone macho matatum? Tunajua hela hakuna ila hadi vocha ya buku ya kuomba jamani? Dhiki tunajua ipo jamani sio kitu cha kukiendekeza kabisa. Now days imekuwa ngumu kumtofautisha ombaomba na...
  18. Tuache kunyonya vitendea kazi vya mnyanduano kuepuka cancer hatarii sanaa.

    Hello, Siwatishi na wala siwabembelezi nawajibika kusema kuokoa taifa na jamii kwa ujumla. Ongezeko la watu wenye rangi za midomo kama ugonjwa wa ukoma wa midomo unapaa kwa kasi. Kuna wimbi kubwa sana la watu wadada, wakaka, mabinti, vijana, wenye fungus za koromeo, fungus za midomo, homa za...
  19. Tuache kuwatahini watoto ili kujua mwenye uwezo wa kukariri, hakuna mtoto aliye-fail, bali serikali ndiyo ina-fail

    Wasalaam wana JF Naomba nikiri katika pita pita zangu za kielimu nimegundua mambo yafuatayo: 1. Elimu inapaswa ifundishe watu kutatua matatizo yao na siyo yenyewe kugeuka kuwa tatizo. 2. Siyo kila tatizo la kidunia linatatuliwa na mfumo rasmi wa kielimu ambao unapima uwezo wa kukariri na si...
  20. Simba SC tuache kulialia wachezaji wetu Kuchezewa rafu, na wao hawajazuiwa kulipizia ili heshima ipatikane

    GENTAMYCINE najuta ni kwanini wakati nacheza Mpira kwa Ngazi za Shule O level na A level achilia mbali Ligi Daraja la Tatu Mkoa pamoja na Ndondo hasa nafasi yangu ya Beki wa Namba Mbili, Beki wa Kati Namba Nne na Kiungo Mkabaji Namba Sita sikuwa najjrekodi ili iwe Somo kwa Wachezaji lonyo lonyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…