tra

  1. JamiiForums Tanzania Madai ya TRA kukamata akaunti za Benki na hata kuchukua kilichomo, Serikali iangalie tena, huenda hiyo Mamlaka ikatumika vibaya

    Serikali hii nguvu ambayo mmeipatia TRA kuwa na uwezo wa kushirikia account za bank za wateja (wafanya biashara) na hata kuchukua pesa, muingalie, huenda hiyo nguvu (Authority) wanaitumia vibaya. Kama mnawapenda wafanya biashara na mnapenda waendelee mtawalinda 🌽🌽🌽 #Uzi tayari #maendeleo haya chama
  2. C

    JamiiForums Tanzania Lini Tovuti ya TIN ya TRA itafanya kazi?

    Kila nikijaribu kuingia kwenye tovuti ya TIN ya TRA napata error messages. Hii inakera sana tena sana! Cha ajabu, leo asubuhi kupitia Richard Kayombo, TRA wanajinadi kwenye EFM Radio eti kila kitu kuhusu TIN kimerahisishwa kupitia tovuti ya TRA? Lakini siyo kweli hata kidogo. Tovuti ya TIN...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania na TRA wametufikisha hapa. Aibu

    Kuna email inasambaa mtandaoni ya kuogopesha. Tunavuliwa nguo uchi. Hebu soma huu waraka. Wawekezaji wanavyotuchukulia. Kwa mtindo huu, Tanzania inazama
  4. JamiiForums Tanzania TRA yazindua kodi ya kitanda kutoka kwa Watalii

    Kamishna Mkuu wa TRA Dkt. Edwin Mhede amepokea orodha ya huduma za malazi iliyoboreshwa 2020 kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki ili kuiwezesha TRA kukusanya tozo ya Kitanda Siku kutoka kwa Watalii wanaotumia huduma za malazi. Hii ni katika harakati za...
  5. JamiiForums Tanzania Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

    Wazazi Maskini zaidi ya 2000 ambao watoto wao wanafadhiliwa kimasomo katika shule ya St. Jude iliyopo Arumeru Mkoa wa Arusha, wameandamana Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakitaka shule hiyo yenye mchepuo wa Kiingereza ifunguliwe ili Watoto wao waliosimamishwa masomo kwa zaidi ya wiki mbili...
  6. JamiiForums Tanzania Watawala wamebariki hizi faini za kionevu zinazofanywa na TRA mabarabarani?

    Kinachoendelea Tanzania kwa Sasa kinafikirisha kiasi cha kujiuliza hivi hao wanaoitwa wanyonge na watawala ni wakinanani? Ndugu zangu kunadereva wa lorry kubwa(semi) amepigwa faini ya milioni tatu(3000,000/=) na TRA kisa amepakia gunia 25 za parachichi na walipomtaka risiti za kielekroni za...
  7. JamiiForums Tanzania Maji ya kunywa ya Canadian yameanza kubandikwa nembo ya TRA kama kilevi toka nje, yapanda bei

    Nilishtuka baada ya kuona maji ya kunywa ya Canadian pure (1.25ltrs) yakipanda bei toka shs.500/= hadi 700/=. Pia nimeshangaa kuona maji yakibandikwa label ya TRA kwa kuu kwenye kizibo kama inavyokuwaga kwenye pombe kali toka nje ya nchi. Swali, mbona maji mengine hayawekewi hizo nembo? Au...
  8. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

    Wakuu kwema? Sasa kila Mwajiriwa atatakiwa kuwa na TIN, hii itatumika kumtambulisha kama mlipa kodi pale anapokatwa PAYE kwenye Mshahara wake.
  9. JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa TCRA kudhibiti Simu feki ni ushahidi kuwa TRA na TBS zimesinzia Kabisa

    Wana JF, Vyombo muhimu vya serikali vyote kwa pamoja vimeshindwa kudhibiti Simu feki hivyo kuongezeka kwa uharifu pamoja nakuikosesha serikali mapato. Kazi ya kudhibiti bidhaa feki ni ya TBS kazi ya kukagua uingiaji bidhaa halali kutoka viwanda vinavyotambulika na kutoza kodi ni TRA. Tra...
  10. JamiiForums Tanzania Nembo ya TRA inamaanisha nini?

    Za mida? Niende kwenye lengo thubuti, hivi hii nembo ya TRA huwa inamaanisha ninj yani kama kuna mizani yenye mabano Alie ifikiria alilenga nini hasa? Kwa wale wazee wa picha twende sawa picha iyo apo chini Tunajua bendera na rangi zake ni nini kinamaaisha. Pia tunajua nembo ya taifa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kucalculate kiasi cha kodi kinachozidi endapo CIF ya gari itakuwa kubwa zaidi ya CIF ya kwenye calculator ya TRA.

    Habari za muda wakuu, Naomba kupata ufafanuzi ni jinsi gani TRA wanacalculate kodi endapo itatokea gharama za CIF uliyonunulia gari imekuwa kubwa kuliko ya kwenye calculator yao.
  12. JamiiForums Tanzania Mtanzania ateuliwa kuiongoza Mamlaka ya Mapato ya Sudan Kusini (NRA)

    Kichwa cha habari chahusika Is this not funny? 😅😅😅😅 ============== Oct 7, 2020 (Thessherald)–The South Sudanese government has appointed an expatriate to lead the National Revenue Authority with the hope of formulating and implementing tax reforms in the country. Dr. Patrick Mugoya, is a...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA. Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa. Chanzo: ITV habari. My...
  14. P

    JamiiForums Tanzania TRA na kampeni mpya ya ku-block Tansad za Walipa kodi

    Naona kuna policy mpya ya TRA imetokea takriban wiki 2 au 3 zilizopita za ku block Tansads za wananchi walipa kodi, ambao wanaingiza mizigo yao bandarini au kupitia airport. Hii sera kwanini ianze sasa wakati wa kampeni za uchaguzi? Kuna nini kilichojificha nyuma yake na TRA ya CCM? Kwanini...
  15. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mtapata kura za watumishi wa TRA na BOT na familia zao tu, ambao mliwapandishia mishahara kwa zaidi ya 300%

    Toka serikali ya awamu ya 5 imengia watumishi wa umma zaidi ya laki 5 hawakuwahi kupandishiwa mishahara wala madaraja lakini kuna kundi la watumishi wachache sana nchi hii wameneemeka na serikali ya awamu ya 5, watumishi hao ni wa Mamlaka ya Mapato Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania. Serikali ya...
  16. JamiiForums Tanzania Urasimu mwingine, Afisa wa TRA anakukadiria kodi akiwa ofisini bila kutembelea biashara yako

    Huu ni upumbavu mwingine mwingine wa maafisa wa TRA anakukadiria kodi akiwa ofisini bila kutembelea biashara yako, makadirio yanakuwa makubwa, ukilalamika anakwambia andika barua ya kuomba kupunguziwa kodi. Baada ya hapo anakwambia kodi haipungizwi kwa kuandika barua tu, mpaka tufike tuone...
  17. JamiiForums Tanzania TRA Arusha wametumwa na CHADEMA?

    Tangu jana TRA Arusha,wanasambaza massages kwa wafanyabiashara wote wa Jiji hili la Arusha. Mwisho wa mwezi September 2020 wafanyabiashara wanatakiwa kulipa SDL,VAT & kodi ya mapato awamu ya 3 na kodi za wafanyakazi vinginevyo adhabu kali ikiwemo riba zitatozwa. Biashara ktk mji huu...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania TRA, NEC na Msajili wa vyama watuambie hili bango kama limesajiliwa na kulipiwa kodi

  19. T

    JamiiForums Tanzania TRA mnachangia kumchonganisha mgombea wetu na wafanyabiashara. Mikoa yote mnatangaza mitaani kwa vitisho Sept. 30 mwisho kulipa kodi bila faini

    Ukimsikiliza Tundu Lissu anavyowasema TRA kubambikizia wafanyabiashara kodi zisizolipika. Halafu TRA hao hao mikoa yote wanapita na magari ya matangazo wakitoa mkwara mzito wa kuanza kwa faini baada ya Septemba 30 bila shaka utajua wako kazini kwa kuongeza kuni kwenye chuki iliyotengenezwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Mtu mmoja amefikishwa mbele ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu akikabiliwa na makosa manne ikiwemo ya uhujumu uchumi

    Mtu mmoja amefikishwa mbele ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu akikabiliwa na makosa manne ikiwemo ya uhujumu uchumi kwa kuisababishia hasara mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ya shilingi milioni 48. Geoffrey Kilimba, amesomewa mashitaka hayo mbele ya hakimu mkazi mfawidhi Godfrey Kusaya na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…