Kupata "TIN certificate" ni mpaka uende TRA?

Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
3,161
5,664
Wakuu naomba kuuliza, ikiwa mtu tayari unayo TIN ili kupata kile cheti cha TIN mpaka uende physcally TRA? Kama ndiyo mbona TRA wanajipa usumbufu wa bure.kwa nini wasiweke utaratibu kwamba mtu mwenye namba ya mlipa kodi anaweza pata cheti chake kwenye mtandao.

Kama upo huo utaratibu wa kupata cheti cha TIN kwa njia ya mtandao naomba kujuzwa tafadhali.

NB: Ni cheti cha TIN siyo namba ya TIN
 
Wakuu naomba kuuliza ,ikiwa mtu tayari unayo TIN ili kupata kile cheti cha TIN mpaka uende physcally TRA? Kama ndiyo mbona TRA wanajipa usumbufu wa bure.kwa nini wasiweke utaratibu kwamba mtu mwenye namba ya mlipa kodi anaweza pata cheti chake kwenye mtandao.

Kama upo huo utaratibu wa kupata cheti cha TIN kwa njia ya mtandao naomba kujuzwa tafadhali.

NB:Ni cheti cha TIN siyo namba ya TIN
Kama utahitaji cheti original lazma uende TRA ila kama utahitaji nakala ya cheti(online copy) utadownload mtandaoni then uende uprint

Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliipataje. Kama ulipata kwa online unaweza print. Ila kama zile za kwenda kujaza fomu lazima uende ofisini.
Hapo TRA ndipo wanapofeli.Wameshindwa kuupload taarifa za wateja wa zamani mtandaoni,mpaka tuende wote kule tukaweke foleni huko wakati issue ni kuprint tu cheti.Ni kweli mkuu,inaonekana ni wale wanaoregister online ndiyo wanaoweza kupata certificates zao online.nimejiregister,nimeambulia kupata account tuu, lakini siwezi pata certificate ,sababu tayari ninayo TIN niliyoipata manually.
 
Back
Top Bottom