WapiVipi uko kwenu huku hadi vibanda vimefungwa sana.
Sasa. Shida nini watu wanaanza biashara wengine mitaji michanga ukirogwa ukaingia kwenye frame na mtaji madogo unaumia
KwetuWapi
GSM wa Utopolo amulikwe.Mizigo mikubwa inapita bure Bandarini wapo busy kusumbua Wasaka nyoka...