tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tozo mpya kwenye simu zitaua soko kwenye kampuni za simu

    Habari za kusikitisha sana ni kuwa zile tozo kubwa Sana za simu zilizopitishwa kwenye bajeti na Bunge letu, zilizotangazwa na waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, zinaanza kutumika rasmi leo na kuwaumiza sana wananchi wanyonge wa nchi hii Kwa hakika ni kilio kikubwa kwa mamilioni ya wananchi...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

    KUMBUKA • Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa • Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako • Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili yasitisha tozo za Loji, kambi za huduma za kitalii katika Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa miezi mitatu

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk.Damas Ndumbaro amesitisha tozo ya pango ya ardhi kwa loji na kambi za huduma za kitalii katika Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa kipindi cha muda wa miezi mitatu kwa lengo la kutoa ahueni kwa Wadau wanaotoa huduma hizo kukabiliana na athari za ugonjwa wa UVIKO 19...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tozo Mpya Kutuma fedha kwa simu kufa, Watanzania walia

    Baaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge "Iddi zungu" [asiye na utu wala kujali wananchi] Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali] Ukiitizama hii kwa jicho la 3. Ni kama inaua soko la mobile Money. Na kukuza soko la Benki. [Imagine Nataka nimtumie Bibi yangu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sasa tuhamasike, kuwa na akaunti za Benki ni rahisi. Miamala ya simu gharama hazivumiliki

    Sasa ni wakati wa benki kujitanua zaidi na kila mmoja ajitahidi kuwa na akaunti ya benki, japo na wao wana makato Ila haya ya simu ni makubwa mno, yaani kusafirisha milioni wanakata 31,000 kutuma na kutoa. Sasa nitahamia Benki, au nitasafirisha pesa kwa Gari yaani basi, pia tujitahidi kujiunga...
  6. Robot la Matope

    JamiiForums Tanzania Rais, Makamu wake na Waziri wa Fedha wamepata sup kwenye Uchumi

    Bunge "dhaifu la Ndugai" limekubali kwa kauli moja maombi ya serikali ya kuongeza kodi ya TSZ 100/= kwenye kila lita moja ya mafuta kama chanzo kipya cha mapato. #SWALI: Je, kulikua na ulazima wowote wa kuongeza TZS 100/= kwenye bei ya mafuta katika bajeti ya mwaka huu? #Jibu ni HAPANA kwa...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Tutafuta tozo zote kandamizi katika Tehama

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndugulile amesema watafuta tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana vijana katika kujiajiri kwa kuendesha YouTube channels au blogs. Amesema vijana walikuwa wanapata shida kutokana na kodi na tozo zilizowekwa ktk uendeshaji wa blogs na YouTube...
  8. michibo

    JamiiForums Tanzania Kwanini benki hutoza wateja ada kwa kutoa pesa zao wenyewe?

    Habari za leo wakuu, Leo tujadili hizi tozo za mabenki [withdrawal charges] kwa wateja ambao kimsingi ndio wamiliki wa fedha hizo. Mteja anatunza pesa yake benki, na benki zinaifanyia biashara [kukopesha] kwa faida. Kisha mmiliki akihitaji kutoa kiasi chochote kwa matumizi yake hutozwa 'ada'...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Nyangasa karibu Kigamboni anza na kupatikana Huduma ya Maji ya DAWASA na Tozo Daraja la Kigamboni

    MHESHIMIWA NYANGASA KARIBU KIGAMBONI ANZA NA UFUMBUZI WA KUPATIKANA HUDUMA YA MAJI NA PILI TENGENEZA MIKAKATI YA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA DARAJA LA KIGAMBONI KWA WANANCHI Nianze kwa kuipongeza mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, yaani Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kukuchagua wewe...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Mwigulu atoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu na kuleta mkanganyiko kwa wananchi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha bungeni wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 na kuleta mkanganyiko kwa wananchi ikiwemo makato ya miamala ya simu, kodi ya majengo kwa njia ya...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nauliza kuhusu tozo ya 6% na 10% iliyokua inatozwa na bodi ya mikopo

    Naombeni msaada kwenye mchanganuo wa tozo ya 6% na 10% iliyokua inatozwa na bodi ya mikopo ambayo Mheshimiwa rais alizisamehe siku ya Mei Mosi. Nataka kujua utofaut wake upoje na zilkua zinatozwaje?
  12. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Tozo ya Tsh. 100 hadi 200 kila siku kwenye line za simu: Mitandao ya simu isitishe uuzwaji wa Vocha

    Kwanini nasema hivyo? Kwa sababu hakuna mtu ataenda kununua vocha ya Tsh. 1000 dukani wakati anajua kabisa atakatwa kiasi cha Tsh. 100 au zaidi wakati huohuo hakuna kifurushi cha sh 900. Hayo yanajiri katika marekebisho ya sheria kama kiambatanisho hapa chini kitakavyo onesha. Majibu ya wadau
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania TASAC yafuta tozo saba zilizokuwa kero, yawezesha unafuu bandarini

    Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) katika kipindi cha miaka minne limefanikiwa kufuta tozo saba nyanyaso zilizokuwa ni kero kwa wadau katika sekta ya maji, hivyo kuleta unafuu wa utoaji wa mizigo bandarini. Mafanikio hayo ya TASAC yametangazwa leo jijini Dar es Salaam na Afisa...
  14. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Benki kutangaza imepata faida kwa kuongeza tozo

    Kuna Benki Maarufu hapa nchini. Kila ikikaribia kipindi cha kutoa report ya mwaka wao hupandisha kila tozo na kuongeza tozo mpya na hivyo kusomea wadau wake kuwa imepata faida ya mabilioni. Ningetaraji Benk ifanye biashara na sio kufungua matawi kila meta kadhaa ambayo unaweza kuona tu kwa...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hotuba Wizara ya Elimu: Tozo ya 6% kwenye mikopo ya Elimu kuondolewa Julai 1. Pia Serikali itaondoa tozo ya 10% kwa wanaochelewa kulipa mikopo yao

    Serikali itaondoa tozo ya asilimia sita ya kulinda thamani ya fedha katika urejeshaji wa mkopo kuanzia 1 Julai 2021, iliyokuwa inatozwa kwa wanufaika wa Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, ikiwa ni agizo la Rais Samia Suluhu Hassan Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichakob ameeleza bungeni kuwa...
  16. ibradebo

    JamiiForums Tanzania Tozo ya kodi posta Tanzania unapoagiza bidhaa kutoka Aliexpress China

    Nimekuwa nikiagiza bidhaa nyingi kutoka Aliexpress, na mara zote nimekuwa nikitozwa kodi kubwa na posta ninapoenda kuchukua mzigo zaidi ya bidhaa bei ninazoagiza. Nataka kujua kwa wenzangu ambao mnaagiza kama nyie mnatozwa hivyo au mimi nakosea sehemu! Mnielekeze nifanyaje ili kupunguza kodi.
  17. BAK

    JamiiForums Tanzania Council demands Sh 4bn levy from gold company

    By Elisha Magolanga Dar es Salaam. Nzega District is demanding Sh4 billion in local government levy from a gold mine closing down this year. Council officials and the area MP maintain that Resolute Mining Limited, which owns the Golden Pride Gold Mine, should pay up or face unspecified...
Back
Top Bottom