tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. BAK

    JamiiForums Tanzania Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wakatwa tozo la miamala katika picha

  3. S

    JamiiForums Tanzania Ukiitisha maandamano kupinga Tozo za Simu na Kodi za Majengo kupitia LUKU, watu wengi wanaweza kujitokeza

    Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi. Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi...
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Vituo gani vya Afya vilivyopewa pesa ya Tozo?

    Tuna muda mfupi sana tangu "tozo" ianze kukusanywa, napenda kufahamu ni wilaya zipi zimepokea hio pesa ya Ujenzi wa vituo vya Afya? Tuanziee hapa
  5. Ms Billionaire

    JamiiForums Tanzania Sheria za Tozo

    Hivi sheria za tozo mpya kila siku nani anatunga? Wabunge wanachojua wao ni kupandisha bei za vitu na kutupa maisha magumu kila Siku. Nani ataliongelea hili. Mtu ana mshahara wa millioni 11 kwa mwezi ila hatusikii wao wakikatwa. Kodi za nyumba zao zinalipwa na serikali, mafuta kwenye magari yao...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tozo za miamala ni njia ya kufidia pesa zinazokujenga miradi kama Burigi National Park na Ikulu Dodoma?

    Ingekuwa sawa kama ongezeko la tozo za miamala na mafuta kwa wanyonge lingelenga kwenda kununua meli kubwa za uvuvi ili tuvue kisasa kwenye kina kirefu, kununua matrekta kwa wakulima ili walime mashamba makubwa, kuchimba madini ya kimkakati kama chuma au kusambaza nishati ya gesi nchini ili watu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Watanzania na maumivu ya tozo za miamala

    Tanzania ni taifa lenye watu wa hali mbali mbali, wengi wao wakiwa ni wavuja jasho, walala hoi, kula kwao ni kwa mahangaiko, wanachokipata kwa siku huishia mdomoni mwao huku walio juu hawakumbuki hisani ya wanaowazunguuka na wakiziba masikio yao kunenepesha matumbo yao na familiya zao tu. Watu...
  8. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Thesis ya Mwigulu Nchemba phd

    Tasnifu ya Mh. Nchemba iliyompa phd pale UDSM
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

    Wakuu, Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri ========== Mwigulu Nchemba-Waziri wa Fedha na Mipango =▷ Itakuwa aibu mtanzania yoyote alie hai...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa Chuo Kikuu afungua kesi dhidi ya Bodi ya mikopo akidai tozo zinachelewesha maendeleo ya Wahitimu

    Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira Arusha, Alexanda Bakunguza, amefungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali akipinga elimu ya juu kugharamiwa na serikali kwa njia ya mikopo. Katika kesi hiyo namba 16 ya mwaka...
  11. OLS

    JamiiForums Tanzania Nategemea tozo zipunguze kiwango cha mikopo ya nje ya Serikali

    Katika utafiti nilioufanya kwa kutumia data za kuanzia 2010 hadi 2020( Monthly) nikitumia VECM model, zimeonesha deni la taifa linaiweka nchi katika hali ya kuingiza Economic Shocks kutoka nje ya nchi ambayo huathiri utekelezaji wa sera ya fedha. Aidha, Benki Kuu ya Tanzania(BoT) imeziandika...
  12. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Zanzbar pia kuna tozo la miamala?

    Naona matatizo ya Muungano na hasa tunapokuwa na Rais kama huyu anayetokea Z'bar. alipoingia alianza ku-balance mambo; Meli nyingine itapelekwa Z'bar, kila kitu akisema pesa nyingine ipelekwe Z'bar. Sasa hili la tozo na malengo yake tunataka kujua kama hata Z'bar kuna makato ya miamala. Kama...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tozo Miamala ya Simu bado kimeumana

    Alisikika Mh. Rais kuwa tozo kwenye miamala ya simu zimeridhiwa na wananchi kwa maslahi yao. Mapema aliwahi kusikika Dkt. Mwigulu akisema tozo zenyewe ni ndogo tu. Bila shaka msomi huyu alisahau kuwa chochote cha zaidi kwenye nyingi zilizopo, hakuufanyi mzigo wa tozo zote kwa watu kuwa...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnapinga tozo kisha mnaomba michango yenu ipitie kwenye tozo

    Wanaukumbi. Chadema mnaaminisha watu na kuhamasisha wagomee miamala kwa sababu ya tozo Harafu hapo hapo mnunaomba michango ya kufungua kesi itumwe kwenye MPESA kwenye tozo. Cha kushangaza wanawambia watu watume kwenye account yake binafsi kwa nini wasitume kwenye account ya chama. Huu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tozo kupitia miamala ya simu ikiendelea itakuja kuigharimu Serikali ya CCM

    Wananchi wametoa malalamiko yao kwa Serikali lakini bado kimya, watu wengi wameacha biashara ya miamala ya simu na hii inapelekea familia zao kupata shida, hata malengo ya Serikali yaliyotarajiwa hayatafikiwa kwa sababu watu wengi wameacha kutumia huduma hii. Mfano mimi leo nimetuma Tshs.1m/=...
  16. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ulitaka wananchi tukataaje tozo za miamala ya simu?

    Rais na Mwenyekiti wangu wa CCM Taifa, umenifikirisha na kunisikitisha sana. Nimekusikiliza na kukutazama kwenye mahojiano yako na mwandishi na mtangazaji nguli Salim Kikeke. Nimekufuatilia hadi nikalia ulipokuwa ukijibu maswali bila kujali athari. Juu ya tozo za miamala ya simu, nimekusikia na...
  17. Thailand

    JamiiForums Tanzania Serikali inawahamisha wananchi wasahau na wasiongelee tena TOZO ya miamala ya simu. Wananchi tuendelee kuwalaani viongozi wetu waliotuletea huu wizi.

    Huo hapo juu ni wizi na hujuma za waziwazi tunaofanyiwa na serikali yetu. Cost of living imekuwa kubwa, uchumi wetu wa kusuasia unazidi kuwa hoi hasa wazazi na ndugu zetu wanaotegemea mpesa, tigopesa, airtel money kufanyiwa miamala yao. Fikiria ndani ya ada za miamala kuna 18% kodi inayoenda...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Gharama za maisha kupanda kutokana na ongezeko la tozo

    Kuanzia Oktoba Mosi vitu ambavyo vipo katika orodha ya kulipa tozo zitaongezeka bei nchini #Kenya kutokana na ongezeko la tozo kwa asilimia 4.97 Mamlaka ya Mapato ya Kenya(KRA) imetangaza kuongeza tozo ili kufidia mfumko wa bei uliojitokeza mwaka wa fedha 2020/21 Vitu zinazotarajiwa kupanda...
  19. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ni Watanzania gani hao waliokubali hizo tozo?

    Nimeshangaa na kufadhaishwa sana naa kauli ya raisi kuwa eti watanzania hawajakataa tozo na wapo tayari kuchangia hizo tozo ila tu zipunguzwe. Hii kauli imenifanya nijiulize sana kuwa either amechoka kuongoza au hajui afanye nini. Watanzania gani hao wanaokubali tozo hizi? Mmekaa wenyewe...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ipunguze Tozo kwa Mbadala huu hapa...

    Story of Change kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Naanza kwa nukuu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Aliwahi kusema ili tuendelee tunahitaji mambo manne. Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora. Katika haya nachagua Ardhi na Watu kukusanya fedha ya kutosha ikiwa ni mbadala wa Tozo...
Back
Top Bottom