toyota

  1. R

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Chaser GX81 ipo Arusha kwa bei ya 1.98m

    Gari hiyo hapo. Bei ni milioni moja laki tisa na elfu themanini (1,980,000). Whatsapp 0656388678
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Premio 2010

    Kama kichwa kinavyo eleza hapo yeyote anae uza gari ya aina hiyo aje pm.
  3. JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa eliyewahi kutumia Toyota Noah generation ya 2008

    Habari ya majukumu wadau. Nimejaribu kutafuta humu taarifa kuhusu Toyota Noah generation ya 2008 sijaweza kupata. Naomba mwenye uzoefu wa hili gari anisaidie ili nifanye maamuzi. Nahitaji gari ya familia sasa nimepata machaguo mawili ambayo ni Toyota Noah na Toyota Alphard. Taatifa za Toyota...
  4. JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

    #BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu device hii kwenye Toyota Raum

    Naomba anayejua hiki kifaa ni Nini na kinafanya Kazi Gani? Kiko kwenye Raum katikati ya siti ya dereva na abiria. Ukiwasha gari kinawaka.
  7. JamiiForums Tanzania 2024 Toyota LandCruiser 70 Series inapata injini ya dizeli ya lita 2.8, lakini V8 inabaki

    Bei za Toyota LandCruisers zenye uwezo wa 1VD zimepanda hivi karibuni wakati Toyota ilipotangaza aina ya 2024 LandCruiser 70 Series itakayoendeshwa na injini ya dizeli ya 1GD 2.8-lita yenye cylinder nne inayoungwa automatic gear box, lakini habari njema ni kwamba V8 inabaki kwa ajili ya wakati.
  8. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Kluger For Sale

    Kluger 2002 model CC 2360 Mileage 83,000km Bei 18.5m Highly Negotiable
  9. JamiiForums Tanzania Toyota Crown Japan Ni taxi

    Tunakumbushana tu kuwa Toyota crown Japan ni taxi tu. So tupunguze shobo na kuvimba bila sababu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota wish 7M

    Nataka kununua Toyota wish namba D aya mwanzoni iwe nyeusi kwa 7M kama unayo naomba namba tufanye biashara hata ikiongezeka laki tatu ya dalali sio mbaya
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota Brevis 5M

    Nataka kununua Toyota Brevis nina 5M mwenye nayo nipe namba tufanye biashara hata ikiongezeka laki tatu ya dalali sio mbaya
  12. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  13. JamiiForums Tanzania Inahitajika Toyota corolla

    Wakuu nimeambatanisha na picha hapa chini, mwenye nayo naomba tuwasiliane. Njoo na offer yako
  14. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Passo

    Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Passo Naomba kufahamu ubora na changamoto za Passo. Picha: Toyota Passo
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Tsh. Milioni 5 nifungue Uwakala wa Benki ama ninunue Toyota Probox niipeleke ruti za vijijini?

    Wasalaam. Title yajieleza. Tsh 5M nataka kuizalisha. Nawaza hizo ideas mbili, aidha (a) Kufungua Uwakala wa Bank ama (b) Kununua Toyota probox (mkononi mwa mtu) na kuipeleka route za vijijini. Location: Ndani ya Mkoa wa Geita. NB: Ideas hizo zote mbili ni mgeni nazo, sijawahi kuzifanya...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni wazo zuri kubadili gari kutoka Toyota Vanguard 2011 kwenda Nissan Extrail Third Generation ya 2016?

    Wakuu naomba kufahamu wataalamu wa magari, je ni wazo jema mtu kutaka kuuza Vanguard ya mwaka 2011 na kutaka kununua Nissan Extrail ya mwaka 2016. Naomba uzoefu na ujuzi wenu wakuu. Gari zote hizi hapa chini.
  17. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Brevis Used Inauzwa Mwanza

    Toyota Brevis Used Inauzwa Mkoani Mwanza. Inatembea vizuri haina kipengele Bei 2,500,000. Mazungumzo ya Simu ndiyo mwafaka SOLD☑️
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Toyota Raum steering wheel ina vibrate

    Majuzi nilipata Pancha kwenye barabara ya lami yenye mashimo tairi ikachanika. Tairi ilikuwa tubeless. Kwa kuwa Nilikuwa kwenye mji mdogo sikupata tairi tubeless hivyo nikaweka yenye tube. Baada ya hapo usukani hautulii. Kabla ya hapo kwenye barabara iliyonyooka ningeweza kuachia usukani na...
  19. JamiiForums Tanzania Toyota Coaster - Special Hire

    Ndugu zanguni natafuta Coaster ya abiri 29, gari itasafiri na watoto wa shule kwa siku tano mbugani Serengeti, baada ya kumaliza ziara gari itarudi kwa kupitia Bunda, Mwanza, Dodoma mpaka Dar, mafuta, huduma za gari na huduma za dreva itakuwa juu yako, naomba tufanye maelewano kupitia - 0734 933...
  20. JamiiForums Tanzania Car4Sale Unatafuta gari zuri la kuagiza nje ya nchi? Pita hapa

    Kupitia uzi sasa unaweza kuagiza gari yoyote kutoka; Japan✔ UK✔ Singapore✔ Dubai✔ China✔ Thailand✔ Korea✔ n.k NB: Ukiagiza gari nasi tunakupa full package; yaani kuagiza, ku-clear bandarini na kusajili. Pia ukihitaji delivery popote ulipo tunakuletea. Tunapatikana Rita towers, ghorofa ya 11...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…