toyota

  1. Magari Aina Zote

    Car4Sale Unatafuta gari zuri la kuagiza nje ya nchi? Pita hapa

    Kupitia uzi sasa unaweza kuagiza gari yoyote kutoka; Japan✔ UK✔ Singapore✔ Dubai✔ China✔ Thailand✔ Korea✔ n.k NB: Ukiagiza gari nasi tunakupa full package; yaani kuagiza, ku-clear bandarini na kusajili. Pia ukihitaji delivery popote ulipo tunakuletea. Tunapatikana Rita towers, ghorofa ya 11...
  2. muuza ubuyu

    Sensor za Toyota Harrier 1998

    Habari wakuu, Nilinunua gari langu tangu mwaka 2016 ilipofika mwaka 2017 lilianza tatizo lakuwa linakomea gear namba 3. Nilikaa nalo kwa muda karibia miezi sita ndiyo kuja kupata ufumbuzi ni knock sensor. Nilitafuta used zikawekwa na tangu siku hiyo gari likapona na kurudi uhalisia wake...
  3. Chizi Maarifa

    Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Wish New Model

    Picha: Toyota Wish New Model Nimeziona hizi gari natamani kufahamu ubora na mapungufu yake. Ninahitaji gari ndogo kwa mizunguko ya town na safari za Dar Morogoro. So iwe inatumia mafuta vizuri na pia comfortable kiasi flani. Nina gari kubwa ambayo safari za kila weekend na foleni ya kuanzia...
  4. Blasio Kachuchu

    Mshindi wa kampeni ya SimBanking akabidhiwa gari aina ya Toyota Crown

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Kimweri (mwenye kanzu) akimkabidhi mshindi wa kampeni ya Benki ni SimBanking, Mayani Yahaya Hassan mkazi wa Dodoma funguo ya gari baada ya kuibuka kidedea katika droo iliyochezwa mapema mwezi huu. Wengine pichani ni wafanyakazi wa Benki ya CRDB ambao walishiriki...
  5. U

    Kisa cha kweli: Tarimo alimlipa Measha Toyota Stout baada ya fumanizi

    Wadau hamjamboni nyote? Hiki ni kisa cha kweli ambacho kilitokea Moshi. Tarimo na Mwasha walikuwa marafiki wakubwa na wote ni wafanyabiashara, japo Mwasha tajiri zaidi. Mke wa Tarimo ni Daktari Serikalini. Tarimo akamtongoza mke wa rafikiye. Mke akamwambia mumewe kuhusu jambo hilo na fumanizi...
  6. Mus_musa

    Nataka kununua Toyota Crown Althele

    Habarini Wakuu, Nataka kununua Toyota Crown Althele ya 2005-6 nataka kujua fuel consumption na Services. Na Kusafiria Dar-Moshi inaweza kucost pesa ngapi kwa Fuel
  7. S

    Natafuta Toyota Corolla Old 1996-2001 ya kununua

    Iwe na Engine 4A, 5A na Automatic Gearbox (manual tutaongea) Iwe imetunzwa vizuri hasa body liwe limenyooka Namba yeyote lakini bora zaidi kuanzia B, C, D Iwe popote tanzania iweze kufika Dar hata kwa gharama yetu Bei ni makubaliano kulingana na hali ya gari
  8. Oscar Lyrics

    Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda. NB: Ni kwa ajili ya kutembelea...
  9. H

    Nahitaji ushauri juu ya Toyota Corona

    Naombeni ushauri kwa wale wanaozijua gari za Toyota corona, maana kuna mtu anaiuza na ni namba B, nipo kweny process ya kuilipia na kuifanyia matengenezo mdg mdg.
  10. profesawaaganojipya

    Nichukue ipi kati ya ALLEX au RUNX zote 1500cc

    Wadau,wazoefu na mafundi,kwa kipato changu cha kawaida nichukue ipi kati ya ALLEX au RUNX zote 1500cc,vigezo 1.ulaji mdogo wa mafuta 2.upatikanaji na unafuu wa spare 3.uimara wa gari rafu road 4.uimara wa vipuri.
  11. G

    Toyota Alpha niongeze vifaa vipi ili isiwe inatikisika ikipaki.

    Hello wanajukwaa. Nina Toyota Alpha huwa natoka nayo mara kadhaa niki Huwa ni my choice hasa pale napoenda sehemu na watoto ila huwa wanapenda kuruka ruka hasa pale nikiwa nimepaki kwenye foleni, kwenda kuwanunulia juice dukani, n.k. Hali ya kuruka ruka kwao inaleta mgandamizo na kuifanya...
  12. profesawaaganojipya

    Toyota Raum, tatizo ni nyota au?

    Wadau, naomba kujua, kwanini toyota raum 1490cc watu hawazichangamkii sana? zina madhaifu gani? Vipi kuhusu 1. Uimara na uvumilivu rafu rodi 2. Ulaji wa mafuta 3. Upatikanaji na bei ya spare parts. 4. Kuilinganisha na allex, runx ni sawa? je kati ya model hizi ipi nzuri kwa ulaji kidogo wa mafuta?
  13. Mamujay

    Nini cha kufanya unaponunua gari kwa Mara ya Kwanza toka showroom?

    Wadau huu uzi ni wetu, wake kwa waume mabibi na mabwana, Pindi unaponunua gari Toka showroom kwa Mara ya Kwanza Nini Cha kufanya. Wake wataalamu tunawasikiliza. Mimi sio mtaalamu Sana wa magari
  14. profesawaaganojipya

    USHAURI: Toyota Corona Vs Allex VS Carina TI ninunue ipi?

    Wakuu njia yangu ina rafu rodi kama km 7 baada ya hapo ni lami safi, kipato changu cha kawaida, safari yangu kwenda na kurudi home ni km 110, kati ya hizo, Corona,Carina Ti na Allex nichukue ipi? Kipimo ni uvumilivu rafu road, ulaji kidogo mafuta, uimara wa gari, upatikanaji spea.
  15. Exorcist

    Mwenye ‘Brake Booster Assembly’ (ABS Actuator) ya Toyota Brevis naomba tuwasiliane, inahitajika

    Dukani bei yake si rafiki, kama kuna mtu anayo labda nyumbani kwake au kwenye gari lililokatwa screpa naomba tuwasiliane , pengine naweza kuipata kwa bei rafiki zaidi kuliko dukani inakopigwa AC na kulipiwa kodi kila mwezi 😂😂
  16. system hacker

    Kwa mwelekeo wa uchumi Tanzania 'Toyota Aqua' mbioni kudondosha soko la 'Toyota ist'

    Aqua anaweza kukupa km 35 kwa lita 1. Toyota ist anaweza kukupa km 18 kama kajitahidi sana. Aqua ni hybrid inatumia umeme mwingi. Toyota ist sio hybrid. Miaka mingi sana ist alitawala soko akiwa kama central attacker huku vitz akitokea pembezoni mwa uwanja kama winga. Kutokana na mabadiliko...
  17. BARD AI

    Bosi wa Toyota ajiuzulu kupisha mabadiliko ya kampuni kuingia kwenye Magari ya Umeme

    CEO na Rais wa Toyota Group ametangaza kuachia nafasi yake ya kuisimamia Toyota. Akio Toyoda ni mjukuu wa muanzilishi wa Toyota - Kiichiro Toyoda. Akio amekuwa President na CEO tangu mwaka 2009 hivyo amekuwa kiongozi mkuu wa kampuni hiyo kwa miaka 14. Akio alikuwa Man of Year wa mwaka 2012...
  18. Concoo

    2008-2009 Toyota Crown Hybrid the Next trending Car in TZ

    Hili gari origin yake ni crown majesta, engine 3.5Ltr 😬😬lakini Usiiogope 😄😄maana ni HYBRID, mfumo wake ni CVT yaani kiufupi ulaji wake wa mafuta ni kama wa 2.0Ltr engine cars😋😋 kwa average ni 15km/ltr . Hii ni premium Edition ya crown iliyotengenezwa miaka iyo na kama tujuavyo kwa Majesta ndio...
  19. Msolid1990

    Msaada: Rim/Tyre size na Tyre Pressure kwa Toyota Premio

    Wakuu, Nina Toyota Premio f niliagiza kutoka Japan mwaka jana mwishoni. Gari imekuja na rim size 14 na nikipita barabara ya vumbi kuna wakati inagonga sana chini, kwenye mlango wa dereva kwa pembeni kuna hizi options zimeandikwa kama inavyoonekana kwenye picha niliyoambatanisha hapa(Pamoja na...
  20. JituMirabaMinne

    Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

    Hizi engine za kisasa za toyota ambazo zimekuja na Aluminium block ni nzuri ikiwa haijawahi pata shida ya kuchemsha. Ila kama ikitokea ikachemsha halafu ukarekebisha bado matatizo ya kuchemsha yakaendelea, nakushauri achana kabisa na hiyo engine sababu vinginevyo hakuna rangi utaacha kuona...
Back
Top Bottom