Habari za majukumu ndugu zangu, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu napenda kuuliza bei ya control box ya gari tajwa hapo juu maana gari yangu iliingia kwenye maji ikapiga shot So nataka kununua mpya..
Naomba kuwasilisha kwenu
Sijui nani amemcopy nani, ila kuna chuma nimeiona mitaa ya matajairi bwana, inaitwa Toyota Century 2023. Kwa mbali nikajua ni Rolls Royce Cullinan kumbe ni mali ya Wajapan aisee.
Hii chuma ni SUV, engine 3.5L 2GR V6, model code yake ni G70, (sedan yake ndio G60). Unaweza angalia picha jinsi...
Wakuu, naamini wengi Gari inakuvutia kwanza muonekano, then ndio unaanza kufuatilia kujua engine, fuel consumption, spare etc hadi unaamua kuinunua.
Sasa kuna gari apa naona kabisa zilikua designed na aliens. Yaani sio za generation hii kabisa.
1. Toyota Will VI
Hili gari nikiliona uwa...
Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA.
Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA.
Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine?
Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi...
NAOMBA USHAURI KUHUSU TOYOTA LAND CRUISER ZX.
Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND CRUISER ZX or VX series 202. Ipi bora na bei zake used zikoje kulingana na mileage za around 100,000.
Naomba ushauri pia kuhusu mafuta na spare zake. Shukrani.
Jaman naitaji Toyota crown athlet ya mwaka 2011
Iwe namba E
Ikiwa Rangi nyeupe au black no problem
Price yangu ni milion Tisa
Niko dar es salaam
Kama kuna mtu anayo please ndm
TOYOTA KLUGER
Mil 20.5 NATOA BOX 5
INA SUNROOF
MODEL
ENGINE 2AZ CC 2360
KM.91930
FULL DOCUMENTS
NEW TIRES
COLOR BLACK
LOCATION DAR ES SALAAM
0714787795
Nimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia.
Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.