tovuti

  1. Sajo

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Ndugai: Bunge ladaiwa kufuta taarifa kwa umma ilizochapisha katika tovuti yake na ukurasa wake wa Twitter

    Kufuatia kuibuliwa mahakamani kwa barua ambayo inadaiwa iliandikwa na Job Ndugai aliyekuwa spika wa bunge kwenda kwa Katibu wa Bunge ikimtaarifu kuwa anajiuzulu uspika kuanzia tarehe 06.01.2022, bunge la JMT limefuta taarifa kwa umma iliyozitoa tarehe 07.01.2022 kukiri kupokea nakala ya Barua ya...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Hong Kong: Uhuru wa Habari waendelea kuzorota. Tovuti ya Citizen News yatangaza kufunga shughuli zake

    Tovuti ya Citizen News imetangaza kufunga shughuli zake kuanzia Januari 04, ikitaja kuzorota kwa mazingira ya Vyombo vya Habari kama sababu. Hatua hiyo imekuja baada ya Polisi kuvamia Kituo cha Stand News wiki iliyopita, ambapo watu kadhaa walikamatwa kwa tuhuma za uchochezi. Sheria mpya...
  3. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

    Jamani habari nimekua nikitafuta kampuni bora ya matangazo ambayo ingenilipa vizuri kama google adsense hii ni baada ya kukataliwa na google adsense kutokana content language ambayo ni kiswahili nimejiunga mingi ila ambayo niliipenda ni ADSTERRA huyu alikuwa wa moto mpaka naearn my first $1...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Darasa huru: fungua website / tovuti yoyote iliyofungiwa, ni njia rahisi ya moja kwa moja.

    Leo natoa somo kwa jamii ya watu wanapatwa na changamoto ya kutumia websites zilizofungwa, hususan kundi lile la watu wanaosafiri nje ya nchi na kukumbana na tatizo la kushindwa kufunguawebsites muhimu zilizofungwa na nchi hio...... - Download Opera browser - Ingia kwenye menu - Ingia...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaanzisha duka la kitaifa kwenye tovuti ya JD.com ya China yenye watumiaji milioni 700

    Ubalozi wa Tanzania nchini China umetia saini makubaliano na kampuni ya JD.com ya China, ambapo Tanzania itaanzisha duka la kitaifa kwenye tovuti ya JD.com, na kuuza bidhaa zake bora kwa wateja wa China. Hii ni hatua nyingine ya China kuzisaidia nchi za Afrika kuongeza mauzo ya bidhaa zao nchini...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tovuti ya wizara elimu haifanyi kazi na haipo kabisa?

    Kuna kitu kimoja nimekuwa najiuliza kwa mda mrefu hivi kwanini tovuti ya wizara ya elimu tanzania kwanini haifanyi kazi? Kuna nini wanaficha? Hii wizara ilikuwa active for past years lakini baada ya kuingia ndalixhaxko tumona hakuna updates yeyote ambayo unaweza ukaipata kutoka tovuti ya...
  7. tzhosts

    JamiiForums Tanzania Nini ni kazi ya tovuti kwa mjasiriamali?

    Watu wengi huwa wanapenda kuwa na kurasa za mitandao ya kijamii kwa ajili ya biashara zao kama vile,FB,twitter,Whatsap n.k. Wengine hujiongeza na kuwa na blogs,na hata kuwa na website kabisa.Hii yote ni katika jitihada za kutaka kuwafikia wateja wengi. Kitu watu wengi wanasahau ni kwamba bidhaa...
  8. Bullshit

    JamiiForums Tanzania Katika harakati za kusaidia jamii ya Afrika

    Habari za majukumu wanaJF Leo ningependa kutambulisha tovuti zangu Katika harakati za kusaidia jamii ya kiafrica kujiajiri au kutumia mitandao kujipatia kipato, niliamua kuanzisha tovuti mbali mbali ili kusaidia jamii ya africa kujiari, lengo langu kubwa ni watu kutumia mitandaon kujipatia...
  9. AA TANCH TRADING COMPANY

    JamiiForums Tanzania Tovuti 10 zinazoongoza kwa mauzo ya simu za iphone Tanzania. Kwa bei nzuri na uhakika

    Mauzo ya simu kwa sasa yameongezeka sana. Kutokana na uwepo wa ushindani mkubwa katika soko. Pia tukiangalia na kazi ya simu za mkononi. Zipo kukurahisishia upatikanaji wa taarifa. Na upatikanaji wa huduma nyingine nyingi ambazo zinatuwezesha. Kuongeza ufanisi katika kazi zetu na masomo yetu...
  10. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania #COVID19 Tovuti /Kanzidata ya waliochanjwa iwepo.

    Nietafakari umuhimu wa kuwa na Kanzidata au Tovuti yenye taarifa za waliochanjwa chanjo ya UVIKO19. Kwa kuwa chanjo Ni Hiari na si Lazima Kuna Ambao watachanjwa na wengine hawatachanjwa. Kwenye familia Kuna maamuzi ya kifamilia lakini pia ya kibinafsi. Kuna Uwezekano wa kusalitiana. Endapo...
  11. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzuia website za XXX ni kuingilia uhuru wa wananchi wake

    Habari wadau! Binafsi sio muangaliaji wa hizo picha wala video huko nilishapita zamani na nimeoa nina familia ila mara moja moja huwa naingiaga ili kufanya review ya mapigo mapya ya kupractice katika yalee mambo yetu ya mshedede. Nasikia S/kali imezuia hii mitandao ya XXX binafsi nipo na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

    Nasikia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana. Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi maana wameathirika wengi kisaikolojia. Nashauri...
  13. Reginald L. Ishala

    JamiiForums Tanzania Ni zipi tovuti za america na ulaya zenye muonekano mzuri, na language ipi imetumika?

    Habari zenu wakuu wa mambo! Ninahitaji kumiliki tovuti kwa ajili ya biashara, Naomba mnisaidie ni tovuti zipi za Ulaya na America zenye muonekano mzuri lakini hata Languages zilizotumiwa katika uundwaji wa tovuti hizo. NATANGULIZA SHUKRANI.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Muda muafaka wa kuanzisha tovuti ya ongea na Rais Samia

    Habari wakuu, Napenda kumshauri mama yetu Samia Hassan, ikimpendeza anzishe tovuti maalumu ya kuweza kupokea malalamiko, maoni na ushauri kutoka kwa wananch wake. Hii itasaidia kubaini tatendaji wabovu,manyanyaso na uonevu katika jamii moja kwa moja, tovuti hiyo ikishakusanya maoni, awepo mtu...
  15. Sarius

    JamiiForums Tanzania Tatizo la tovuti ya Uhamiaji limekua sugu, njia mbadala inahitajika haraka kuwasaidia wasafiri

    Habari wakuu, Kumekua na tatizo la kutopatikana website ya ETD tangu tarehe 15 mwezi wa 6, imepelekea kukwama kwa safari za watu kwenda nnchi za nje kwa wanaotumia hati za dharura hasa madereva na wajasiliamali. Tunaomba vyombo husika viangalie njia mbadala ya kuwapatia hati za safari raia ili...
  16. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mara yako ya mwisho kutumia tovuti hizi ni lini, nini unakumbuka?

    Kwa wale wazee kidogo tutakumbuka kipindi hicho kuna tovuti tulizitumia sana mfano 👉Waptrick 👉Toxicwap 👉Redwap Na nyingine nyingi. Kitu gani ukikaa unakikumbuka?😂 Ipi ulipendelea zaidi kutembelea.
  17. babu M

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mitandao ya kijamii, tovuti za Serikali na vyombo vya habari zaathiriwa na kukatika kwa mtandao

    Multiple outages hit social media, government and news websites across the globe on Tuesday morning, with some reports pointing to a glitch at U.S.-based cloud computing services provider Fastly. Reuters could not immediately confirm the issue affecting the sites. Fastly said it was...
  18. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Tovuti ya Serikali ya 'Wananchi' hivi inafanya kazi kweli?

    Hii tovuti wananchi.go.tz inaendeshwa na iko chini ya Wizara ya habari, utamaduni na michezo. Lengo lake kubwa ni kwa kila mwananchi mwenye kero, malalamiko, maoni, ushauri, kutoa ripoti za uhalifu, rushwa nk kuandika kero au taarifa yake kwa maandishi na wao wizara wanaipokea na kisha...
  19. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Trump afungua jukwaa lake la mawasiliano

    Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump ameanzisha tovuti yake ya mawasiliano kwa lengo la kuchapisha taarifa “moja kwa moja kutoka mezani kwake.” Trump, ambaye alifungiwa katika mitandao ya kijamii kwa kudaiwa kuchochea vurugu katika Jengo la Bunge la Marekani Januari 6 mwaka huu, anatumia...
  20. Cute_Emmy

    JamiiForums Tanzania Zijue tovuti za kusoma Simulizi na Chombezo

    Zifuatazo ni tovuti bora ambazo zitakuwezesha kusoma tovuti bure au kwa gharama 1. Jamiiforums Tembelea tovuti ya Jamiiforums kisha nenda katika jukwaa la Sports & Entertainment halafu chagua jukwaa la Entertainment Katika jukwaa hili utaweza kusoma simulizi na chombezo mbalimbali bure...
Back
Top Bottom