Ad network bora zaidi kwa walio kataliwa na googleadsense katika tovuti au blog zao instant aproval

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
4,085
8,453
Jamani habari nimekua nikitafuta kampuni bora ya matangazo ambayo ingenilipa vizuri kama google adsense hii ni baada ya kukataliwa na google adsense kutokana content language
ambayo ni kiswahili nimejiunga mingi ila ambayo niliipenda ni
ADSTERRA
huyu alikuwa wa moto mpaka naearn my first $1 niliona mafanikio
uzi huu nimeuleta kwa ambao hawajapata matangazo katika blog au tovuti
SIFAZAO:
NO MINIMUM VISITORS yan hata ukiwa na views 0 safi tu
INSTANT APROVAL yan hapo hapo unapojiunga unakubaliwa
link ya kujiunga hiii apo

kwa ambao hawana blog nitapaste link hapo badae mtakapo itaji mjifunze kutengeneza.
 
Shukran
 
Asante bro
 
Adcash usipo andika two days wanaondoa matangazo alafu unaanza moja washawahi nifutia ads wakati Kuna pesa,, ila wapo vizuri

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Adsterra cpm ndogo sana

Mimi ninebadili lugha za content na site kwa ujumla nimeapply adsense ndo nangojea majibu tu

Vp unaweza share link ya tovuti yako nikaitembelea
 
Nataka kuset muonekano wa picha maana hazionekani vizuri kwa baadhi ya browser itabidi nichange themes

Back
Top Bottom