Habari wadau, naona website ya ORS BRELA, kila siku nikiingia haifanyi kazi, mara inachelewa kufunguka. Je, inazidiwa matumizi au wadau wanafaidika kwa kufanya hivi? bado sijaelewa kabisa.
FAIDA KUU TATU ZA KUMILIKI WEBSITE AU TOVUTI
zama hizi za uwazi na technolojia , watu wengi wamekuwa wakimiliki website bila kujua faida zitokanazo na website lakini pia wengine wamekuwa wakitamani kumiliki website bila kujua nini faida ya kuwa na platform hiyo.
Nini maana ya website?
Hii kwa...
Ofcom imesema kujitambulisha kwa umri, mbinu za kulipa mtandaoni ambazo hazihitaji mtu kuwa na umri wa miaka 18, kama vile kadi ya benki, au masharti ya jumla.
Tovuti zinazoonyesha maudhui ya ponografia(Video za ngono) zinaweza kulazimika kutumia ukaguzi wa kadi ya Benki na kulinganisha...
Je wewe unatamani kumiliki duka la Mtandaoni?Je tayari unayo fremu ya duka?Je Tayari unazo kurasa za mitandao ya kijamii?Kama Jibu ni Ndio basi huu ni wakati wako.
Mnada maalum wa tovuti za E commerce kwa vigezo na mashari yafuatayo:
Uwe unauza bidhaa za aina moja mfano kama ni nguo ni nguo...
https://www.youtube.com/watch?v=Y8ALXkIaiow
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa shughuli ya Uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Dkt. Salim Ahmed Salim, leo Septemba 30, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Maktaba hiyo ya...
Bainisha madhumuni na maudhui ya tovuti yako. Fikiria hadhira lengwa na muundo na mpangilio wa jumla ambao ungependa kufikia.
Chagua jina la kikoa: Chagua jina la kipekee na la kukumbukwa la kikoa ambalo linaonyesha madhumuni ya tovuti yako. Hakikisha umeangalia ikiwa kikoa unachotaka...
Wanajukwaa kwema? kama kichwa cha uzi kinavyosema, ni muda kidogo sijatembelea tovutu ya serikali yetu ya Tanzania, ikiwa na domain tanzania .go.tz.
Lengo la uzi nikutaka cha kwanza kupongeza muonekano mzuri wa tovuti kwasasa tofauti na hapo awali, pia kama mdau wa TEHAMA ni kukufahamisha kuwa...
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na kilio juu ya kuwepo kwa udhaifu mkubwa wa kiusalama kwenye tovuti nyingi na mifumo mingine ya TEHAMA ya taasisi za umma.
Ni mara nyingi tu yametokea matukio ya mashambulio ya kimtandao na udukuzi kwenye tovuti hizi ambayo yamekuwa yakiliingizia taifa hasara...
Edogun Mzalendo ni kijana wa miaka ishirini na minne, muhitimu wa stashahada ya sayansi ya kompyuta na mmiliki wa steshenari ndogo inayopatikana mjini Kahama.
Ni miaka miwili tu imepita toka afungue steshenari yake hiyo lakini amejizolea umaarufu mkubwa sana kutokana na kipaji chake cha...
Naibu Spika wa Bunge Thomas Tayebwa ameiomba serikali kuzuia tovuti zote za ngono ambazo alisema zinawaweka watoto kwa taarifa nyingi zisizofaa.
"Watoto wetu wanakabiliwa na katuni za unyanyasaji; vijana wetu wanakabiliwa na ponografia. Katika nchi za Kiislamu, ponografia imezuiwa. Niambie ni...
TCRA tunaomba mfanye jambo maana leo kuna takwimu nimezifuata lakini kiunga kuelekea kwenye communications statistics hakifikiki
Japo muonekano ni mzuri lakini tatizo hili ni kubwa kwa sisi watumiaji wa takwimu kutoka kwenu,
Hili nalo mkaliangalie
Uzi tayari
Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) Ni Idara ambayo inamajukumu ya kukusanya, kuchunguza na kuchambua Taarifa na shughuli zote zinazohusiana na Usalama wa Taifa. Ikiwa ni pamoja na kubaini matishio yote dhidi ya Tanzania lakini pia kushauri wizara zote juu maswala ya ulinzi na Usalama...
Ndugu zangu watanzania wenzangu katembeleeni tovuti za vyuo vikuu vyetu vya umma anzia na UDOM, nenda Nelson Mandela uje uniambie kama utapata taarifa unazohitaji. Ndio maana watanzania wa kawaida wanawadharau wasomi wetu.
Unafungua tovuti ya UDOM ukitegemea upate programme lists, programme...
TCRA napenda kuwashauri kuhusiana na tovuti hasa zinazo onesha maudhui yasiyo faa. Napenda kuwashauri kuwa hakuna haja ya kufungia tovuti za ngono kwasababu tovuti hizo haziwafuati watumiaji na wala hazilazimishi watumiaji kuzifuata bali ni watumiaji ndio wanaozifuata.
Kitendo cha TCRA...
Ni mda mrefu hata sasa waalimu wa shule za msingi na sekondari wanatumia njia ya kutuma ripoti ya matokeo au karatasi yenye matokeo ya Mwanafunzi, Shule baadhi waalimu huwakusanya wanafunzi na kuanza kuwasomea matokeo yao kuanzia mwanafunzi wa nafasi ya kwanza mpaka kwa mwanafunzi aliyepata...
Je, biashara yako IPO Mtandaoni?
Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo.
Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
aina
akili
biashara
company
fahamu
fursa
gharama
gharama nafuu
jinsi ya
kuanzisha
kuhusu
kutengeneza
kutumia
mfumo
miaka
microfinance
mtandao
nafuu
pamoja
pesa
saccos
server
shule
tovuti
usimamizi
website content optimization
website design
websites
yako
zaidi ya
Attention all business owners! Are you looking to establish a strong online presence for your brand? Look no further than our website design services at KIKIWEB LTD! Our team of expert designers and developers will work closely with you to create a stunning website that reflects your brand...
biashara
business
design
kuunda tovutitovuti
website
website content optimization
website design companies in tanzania
website design in arusha
website designing
yako
Manamba hayapatikani wiki nzima, yakipatikana yanaita weeee bila kupokelewa.
Hivi Huwa mnaweka namba za ofisi, au zamtu binafsi ila anachoka kuwasaidia Watanzania?
Mnakera sana wapuuzi nyinyi. Mtu Unahitaji msaada muhimu sana ,,lakini manamba hayapatikan wiki nzima?
Mnakula tu Jasho la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.