Mnada wa tovuti za Ecommerce

tzhosts

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
380
468
Je wewe unatamani kumiliki duka la Mtandaoni?Je tayari unayo fremu ya duka?Je Tayari unazo kurasa za mitandao ya kijamii?Kama Jibu ni Ndio basi huu ni wakati wako.

Mnada maalum wa tovuti za E commerce kwa vigezo na mashari yafuatayo:
  1. Uwe unauza bidhaa za aina moja mfano kama ni nguo ni nguo tu,kama ni vyombo ni vyombo tu,kama vitabu vitabu tu,kama computer basi computer tu kama vifaa vya ujenzi basi ni hivyo hivyo.
  2. Uwe na orodha ya bidhaa pamoja na picha za bidhaa zisizopungua 20
  3. Uwe na kursa za mitandao ya kijamii.
Ukishatimiza vigezoh hivyo basi wasiliana nasi ili uweze kupata huduma hii kwa bei kitonga kabisa.

Mawasiliano ni sales@tzhosts.com

lets build your website.png
 
Aise kesho au ndani ya wiki hii nitaweka ecommerce yangu public saivi namaliza kufanya testing. Just imagine una pata online store, free store blog, product sponsored, selling method ina include auction, fixed price, pia seller anweza ku offer salles discount, seller panel, logistics kutokea pickup from seller to handover tuna handle sisi kupitia logistics campaign etc in one single website
Screenshot from 2023-09-18 17-14-17.png
 
Vigezo gani kupata kama hiyo selcom?me ninayo natumia lipa tu
 
Vigezo gani kupata kama hiyo selcom?me ninayo natumia lipa tu
Sijaelewa swali lako mkuu,Tayari una ecomerce site unahitaji kufanya payment integration tu ama unataka kufahamu vigezo vipi?Cha msingi ni kukidhi vigezo vya KYC vya Service Provider na Kama kuna gharama zozote basi uzilipie.Uless sijaelewa swali lako.
 
Aise kesho au ndani ya wiki hii nitaweka ecommerce yangu public saivi namaliza kufanya testing. Just imagine una pata online store, free store blog, product sponsored, selling method ina include auction, fixed price, pia seller anweza ku offer salles discount, seller panel, logistics kutokea pickup from seller to handover tuna handle sisi kupitia logistics campaign etc in one single websiteView attachment 2769195
Good Project,All the best.
 
Back
Top Bottom