tour

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

    Iko hivi, Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100% Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani. Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dondoo muhimu 10 kuelekea uzinduzi wa filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania ya Royal Tour

    DONDOO MUHIMU 10 KUELEKEA UZINDUZI WA FILAMU YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YA ROYAL TOUR USIKU HUU. Na Bwanku M Bwanku. Usiku wa Leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kuanzia Majira ya Saa 8 na nusu Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki, Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaweka historia kubwa...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Royal Tour inatupa deni tusiloliweza

    Kama mitaa ya nchi ni michafu sana, demokrasia ya uchaguzi bado hatuna, vilio vya katiba havijakoma na wasiojulikana bado hawajakamatwa, je, tunadhani kuwa watalii hawana akili? Je, wananchi, madereva, waongoza watalii, polisi na watoa huduma kwa watalii wana ufahamu na ujuzi kuhusu watalii...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nimesikia eti ni Royal Tour imeiva ila itaozea South

  5. J

    JamiiForums Tanzania CCM: Taarifa Kuhusu ROYAL TOUR 2022

    Taarifa ya CCM Kuhusu Uzinduzi Royal Tour Jumatatu, April 18, 2022 #ChamaImara #KaziIendelee
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!

    Wanabodi Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana. Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!. Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7...
  7. JF Member

    JamiiForums Tanzania Royal Tour na Vita vya Kiuchumi

    Kwanza naomba nitoe declaration. Mimi ni mtanzania haswa ninaependa kuona maendeleo ya hii nchi. Nirudi kwenye mada, hii royal tour ni deal sana hasa kwa namna inavyotarajiwa na watanzania wengi. Sote tunaamini Tanzania itafunguka na tutapata pesa kwa ajili ya mradi. Lakini pia Mimi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tulitegemea uzinduzi wa Royal Tour uwe mubashara kwenye TV kubwa kubwa

    Wizara husika ongezeni ubunifu; tumezoea kuona screen kubwa mtaani zikionyesha matangazo mbalimbali ya biashara. Kwa kuongeza uelewa wa Watanzania na ownership ya agenda ya royal tour Kila Mkoa ungefunga screen kadhaa maeneo yenye watu wengi watu wawe sehemu ya mashuhuda wa tukio la uzinduzi...
  9. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania The Royal Tour, nini Faida zake?

  10. 42774277

    JamiiForums Tanzania Yes, Tunazindua Filamu ya Royal Tour. Lakini kwa mambo ya aibu kama haya hatufiki popote.

    Nmeamka asubuhi asubuhi hii Tanzania is trending on twitter. Baada ya kuingia nimekuta huyo dada mnaijeria anaitwa Zainab amesimulia kisa chake cha kutaka kubakwa pamoja na kuibiwa pesa zake. Unaweza kusoma kisa chake hapa 👇🏾👇🏾 Hiki kisa kimetokea mwaka mmoja uliopita lakini amekisimulia...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Filamu ya Royal Tour hazikutumika fedha za Watanzania

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya mahojiano na Wasafi TV na hii ni sehemu ya nukuu zake kuhusu filamu ya Royal Tour ambayo inatarajiwa kuzinduliwa Aprili 18, 2022 Nchini Marekani: Sababu za Wamarekani kupewa tenda "Ile filamu uzinduzi wake ni Tarehe Aprili 18 na utafanyika mara...
  12. Stroke

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Royal Tour Ingezinduliwa Tanzania Badala ya Marekani kuepuka gharama

    Tunaambiwa kwamba filamu ya Royal Tour yenye kupromote Utalii imegharimu Shilingi za Kitanzania Bilioni tisa. (9). Leo tunaambiwa Rais ana safari ya kikazi yeye na delegation yake marekani na moja wapo ya mambo atayoyafanya ni kuzindua filamu ya Roya Tour. Kwakua hizo kazi nyingine atazofanya...
  13. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mwanza: Watu watoa shukrani zao kujumuishwa kwenye FOA World Tour ya Diamond Platnumz

    Baada ya msanii namba moja Africa Diamond Platnumz kutoa part one ya FOA WORLD TOUR na kujumuisha mkoa wa Mwanza, watu mbalimbali wamejitokeza na kutoa shukrani kwa heshima aliyowapa watu wa Mwanza. Nimetoka Mwanza hivi juzi kila kona kuanzia Bwiru, Ilemela, Igoma, Nyegezi na maeneo yote...
  14. M

    JamiiForums Tanzania USA WORLD DEMOCRACY TOUR: MH!!!!!!!

  15. J

    JamiiForums Tanzania Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

    Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani, Starling wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan. Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba ubora wa Royal Tour utaikosesha waangaliaji?

    Watu wamedis ubora wa film ya Royal tour hasa kwa namna picha zinazoonekana kwenye nyasi zilivyomweka mbali na upeo wa sura yake halisi. Wengine wanadis driving na matendo haviendani au havionyeshi reality, mixing ya issue it's like aliyefanya Hana uzoefu ni kipi kinapatikana Tz. Utalii na...
  17. MBWARI

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro: Royal Tour ya Rais Samia yaanza kuzaa matunda kwa kuleta wawekezaji

    SHUGHULI za Royal Tour zilizokuwa zikifanywa kwa mara ya kwanza nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan za kutangaza vivutio vya Utalii, Biashara na Uwekezaji nchini zimeanza kuzaa matunda kwa wawekezaji kuanza kujitokeza kuwekeza hoteli za kisasa ndani ya hifadhi...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Royal Tour yaanza kuonekana kwa kasi ya kutisha, Hongera Rais Samia

    Leo gazeti za Citizen limeripoti mawakala wa Utalii kutoka Nchini Marekani wameingia Tanzania kujionea vivutio vya Utalii vilivyopo hapa nchini Kwa ajiri ya kuwaleta Wamarekani. Hii ni wiki chache tu tangu Rais Samia Suluhu Hassan afanye kipindi maarufu duniani kinachohusiana na utalii na fursa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa ndani ya DW akieleza sababu za Rais Samia kurekodi makala ya Royal Tour

    Katika kipindi cha Kinagaubaga cha Idhaa ya Kiswahili ya DW cha nchini Ujerumani, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa ameeleza kiundani sababu za Rais Samia kurekodi Makala Maalum itakayoonyeshwa katika kipindi cha Royal Tour ambayo itatangaza Utalii, fursa za uwekezaji zilizopo nchini...
  20. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya pili duniani kwa vivutio asilia vya utalii, tulikwama wapi?

    Kila mwaka duniani kuna wastani wa watalii 1.5 bilioni wanatafuta ni wapi waende kutali au kula bata || ||Sisi Tanzania ni nchi ya Pili kwa vivutio vingi vya asili duniani lakini tunaambulia watalii chini ya 2m kwa mwaka hapa kunajuhudi zinahitajika Sehemu, === Niseme kidogo kuhusu Rais Samia...
Back
Top Bottom