Wadau, hasa wale wa mambo ya urembo hv vitu viwili nimekuwa nikivisikia sana na mpaka leo sijajua utofauti mkubwa ni upi maana Kuna mama mmoja aliwahi kunionesha Pete zake 2 akanambia moja ni English Gold na nyingine na gold Ila nilizicheck yaaan zinafanana sana ung'aaji wake na vitu kibao...