tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya pesa/mali, ni kivutio au kigezo kipi kinachofuatia pale mwanamke anapomuangalia mwanaume?

  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kuna daladala ya Kinyerezi inatoza nauli tofauti na iliyopangwa na LATRA

    Hili gari linatoza nauli tofauti na kilichoandikwa hapo, abiria ukilalamika wanasema mafuta yako juu, kwani sisi wananchi sauti zetu tuzipaze wapi? Kinyerezi hadi Mlimani City abiria unakatwa shilingi 1,000 wakati ticket inasoma 900, hili gari konda na dereva wake wanajiona LATRA. Pia soma ~...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa

    Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!! 1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili ambae ametumika kuitibu na kuikinga jamii dhidi ya mabalaa mbalimbali kwa maelfu ya miaka...
  4. JamiiForums Tanzania Dogo kaniuliza nini tofauti kati ya WANT na NEED, nimemtumia hii picha natumaini kaelewa

    NEED👇. WANT👉 Kuna vitu unavyovihitaji na kuna vile vitu unavyotaka.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unahisi kukija kuwa na maandamano mengine makubwa ni kipi kitabadilika kuwa tofauti na October 29 ?

    Kwa upande wako unaona ni kipi kinaweza kubadilika
  6. JamiiForums Tanzania DNA inaonesha hawa mapacha wana baba tofauti, inawezekanaje?

    Dr Seran na dr dosho12 what happened here?
  7. JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mdogo shuleni nilifundishwa kuwa.. kumbe siku hizi ni vitu tofauti!?

    PUSSY ilikuwa ni CAT/PAKA SEX ilimaanisha GENDER/JINSIA BITCH ilikuwa FEMALE DOG/MBWA JIKE DICK ilikuwa ni NAME/JINA BANG ilikuwa SOUND/KISHINDO CHA SAUTI RUBBER ilikuwa ERASER/KIFUTIO ASS alikuwa ANIMAL/MNYAMA PUNDA SCREW ilikuwa TOOL/ZANA HEAD ilimaanisha PART OF BODY/SEHEMU YA MWILI BALLS...
  8. JamiiForums Tanzania Ukishaona utu, logic na reasoning umemzidi haina haja kuendelea kubishana naye tofauti na hapo unapambana uige fikra tasa zake au unakaribia kuwa yeye

    Mnawafahamu humu waimba pambio wa upande ule kama wanahaga haga kama kuku aliekatwa kichwa. Wamejawa matusi maana hawana facts. Wamejawa maandishi ya kutunga maana itikadi zao na waliowatuma wenyewe ni wa kutunga. Mnawajua wako radhi kuchagua dini dhidi ya uhai wa watu. Watasapoti chochote...
  9. JamiiForums Tanzania Kuamini CCM itaboresha hali ya kisiasa 2029/2030 tofauti na ya 2024/2025 ni kujipa matumaini hewa

    Sehemu yoyote ile duniani haijawahi kutokea walioshika madaraka ya kisiasa wakakubali kuyaachia au kudhibitiwa(checked) tu bila uwepo wa mifumo huru, upinzani wa nguvu, shinikizo kali kuwaonyesha kwamba wao kuendelea kung'ang'ania hayo madaraka itakuwa ni gharama zaidi kuliko faida. Tukirijelea...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Miliki apartments hizi kwa kianzio kidogo tofauti na unavyofikiria

    APARTMENTS ZINAUZWA, LOC MSASANI BEACH. Mango tree residence ni mradi mpya unaojengwa hivi sasa eneo la Msasani beach nyuma ya nyumba ya mwalimu nyerere mikocheni. Mradi huu ni mradi mpya utakaokuwa na apartment za kisasa (Luxury apartments) Ni mradi Blocks 5 zenye gorofa 17 kila blocks Mradi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tumbili na Ngedere - Ni wanyama tofauti!

    Tumbili na Ngedere mara nyingi huchukuliwa kama wanyama sawa, lakini kwa lugha ya kawaida ya Kiswahili, Ngedere (Vervet monkey) anajulikana kwa uso mweusi wenye manyoya meupe kando, huku Tumbili (kwa ujumla) akijumuisha aina mbalimbali za kima wenye rangi tofauti. Wote ni jamii ya kima...
  12. JamiiForums Tanzania Tofauti ya “Vijana wa Subaru & Crown” na “bodaboda” haipo!

    Kufuatia ajali ya vijana wawili wenye Subari Pichani wakishindana na Crown , sasa ni rasmi “bodaboda akili zao ni sawa kabisa na vijana wa Subaru/Crown” Ajali imetokea Morogoro, wakipiga ligi na wakakutana na chuma Uso kwa uso. Ukiangalia Barabara za TANROAD , hakuna ya kuendesha zaidi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimeingia Sirari Kenya, tofauti ni kubwa sana, Watanzania bado tupo fofofo

    Wakuu, Narudia tena watz bado tupo fo fo fo Hivi karibuni niliamua nikazuru boda nikacheki maana sijawai toka nje ya nchi. Nikaamua kwene Border ya kenya na Tz. Nililala Sirari aisee pale ni kijiji, hamna chochote cha kusema kuna maendeleo, ni barabara moja na vumbi pande zote. NILIVYOVIONA...
  14. JamiiForums Tanzania Tafiti;waliopo kwenye ndoa wanaishi maisha marefu yenye sonona tofauti na walioko singo?

    Marriage license ==== Fahamu Zaidi Tafiti: Waliopo kwenye ndoa, huishi maisha marefu zaidi tofauti na waliopo 'singo'!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Tofauti za vyama ziachwe, viongozi wanaponadi sera waachane na kauli za kutugawa

  16. JamiiForums Tanzania TFF tofautisheni ligi yetu na zile za Ulaya kwa mengi, mazingira ni tofauti

    Masaa 72 ya Ulaya na masaa 72 ya Tanzania ni tofauti kabisa. Think globally Act locally. Masaa 72 ya kucheza baina ya mechi yamezingatia vitu mbalimbali ambavyo Tanzania havipo. Baadhi ya vitu hivyo ni pamoja na: 1. Ubora wa viwanja vyao: Wachezaji hawaumii sana mara kwa mara kwasababu za...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na tofauti zetu, ikitokea Trump kasema anakuja Tz kufanya alichofanya Venezuela au Iran watanzania wengi tutaungana kumpinga

    Tunaweza kuwa na tofauti zetu lakini kuna mstari ukivukwa lazima utauona umoja wa watanzania hata wanaotofautiana Trump akithubutu kutuletea mambo yake aliyofanya Vendezuela na sasa Iran, atajutia uamuzi huo maana sio kwa aibu atayopata. Tanzania, Tanzania! Nakupenda kwa moyo wote Nchi yangu...
  18. JamiiForums Tanzania Nawezaje pata/calculate square meter kwa eneo lenye pembe 4 lenye urefu tofauti?

    Mfano eno lina 15m, 18m, 21m na 10m tafadhali wataalamu nipeni squre meter..
  19. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Wairani na Wengine

    https://youtu.be/m3fqRcRvPEw
  20. JamiiForums Tanzania Tofauti na Binadamu, Siafu pia wanajishughulisha na kilimo

    ‎kuna aina ya siafu, wale ambao unawaona wanasafiri kwa msafara huku wamebeba majani. hawa huwa hawakai tu katika makoloni makubwa, wanajishughulisha na kilimo kitu ambacho kwa muda mrefu kilidhaniwa kuwa ni sifa ya binadamu pekee. ‎ ‎Siafu wa kundi la Leafcutter ant wamekuwa wakilima fangasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…