Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.
Nimeona yanga kwenye mechi ya coastal union nimejiridhisha kwamba msimu huu wamepania kufanya jambo ktk kuupigania ubingwa waliopoteza misimu 3 iliyopita, kuna kauli nazisikia zikisema yanga ilizidiwa umiliki wa mpira na coast lakini asiyeelewa ni kwamba yanga walikwenda mkwakwani wakijua ni...
Yanga ndiye bingwa wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania bara NBC Premier League amechukuwa ubingwa huo mara 27 katika makala hii niitajibu maswali yote yanayohojiwa hapa jukwaani kuhusu rekodi hizo. Katika orodha hiyo hapo chini ukihesabu ubingwa wa Yanga kwa LIGI KKUU TANZANIA BARA TU Yanga...
Nakupongeza Mh. Rais kwa kulipa umuhimu swala la mikataba. Mikataba kwa nchi hii iliturudisha nyuma hivyo ni muda sahihi kuirejea hata kama tulishakosea hapo mwanzo. Waswahili husema kutenda kosa si kosa ila kurudia kosa, ni sahihi kabisa kujirekebisha kwa maslahi mapana ya nchi hii.
Mh. Rais...
Nimeifuatilia hii timu ya wanawake kwa mda mrefu lakini naona viongozi ni Kama vile wameitelekeza, awaweki nguvu kuakikisha hii timu inakuwa stable kiushindani, aiwezekani timu inakuwa inafungwa tu kiholela na simba kila wanapokutana karibia msimu wa 4 sasa akuna mbinu mbadala ya kujinasua na...
1. Henock Inonga
Nakiri ni Beki mzuri sana na nimekuja Kugundua pia kuwa kumbe ni Versatile na kwamba anaweza hata kucheza vyema tu Namba 6, Namba 8 na hata Namba 2.
Mchezaji huyu tokea aicheze vyema ile Kariakoo Derby na kupata Sifa nyingi nae ameshajaa Upepo kiasi kwamba sasa anajiona ndiyo...
Naomba kumuuliza Mhe. Zitto kama ameshiriki kuunda hii timu iliyotajwa na Msajili au Msajili Kwa namna alivyoona inafaa ndiye kaja na wajumbe wake? Mwenyekiti wa timu hii kweli tunaamini ni mtu wakumleta kwenye hoja nyeti wakati alishatoa kauli mbili tofauti juu ya uchaguzi uliopita? Ana kauli...
Timu za Tanzania hasa Yanga, Simba na Azam zimejiimarisha sana kusajili wachezaji nyota kutoka nje ya nchi. Ingawa kwa kufanya hivyo kumeichangamsha sana ligi ya NBC mwaka huu, kinachosikitisha sana ni kwamba hali hiyo pia inadidimiza sana vipaji vya ndani, hivyo kuifanya Taifa Starts ibaki...
Bila kuwa Na makubaliano kuhusu namna ya kugawana mapato yatakayotokana Na uwanja uliojengwa Na wanachama Na mashabiki kwa michango yao ya mifukoni itakuja kutokea vurugu kubwa sana huko mbele ya safari.
Lazima mgawanyo wa faida itakayotokana Na uwanja kwa wanahisa ifahamike kabla watu...
Hivi wakuu ni kawaida kurudia kuangalia goli moja siku nzima?😁😁😁
Hili goli haliniishi hamu.Yaani narudia kuliangalia hadi simu inaisha chaji kisha nachaji tena simu narudia kuangalia tena hadi chaji inaisha tena😂😂
Haya mambo ni kawaida au nimewehuka wakuu?😁
Tanzania tuna wachambuzi wa soka wazuri sana na inavyoonekana mpira wanaujua vizuri tu,sasa kwanini tusiwape timu ya taifa ili waifundishe?Maana ukiwasikiliza baada ya mechi wanakueleza kocha alikosea wapi na kama angetumia mbinu Fulani angepata matokeo chanya. Naamini kwa pamoja wakiunganisha...
• Ni mashindano ya Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
• Timu 8 kupewa vifaa ili kushiriki.
Jumanne,November 30. Kampuni ya michezo Na burudani SportPesa leo imetoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 kwa timu ya Bunge ambayo inatarajia...
Baada ya mechi za Simba au Yanga kufanya vizuri mechi zinazofuata timu ndogo hazifanyi vizuri, zinafungwa na timu ndogo wenzao. Hii inatokana na makocha au wachezaji wenyewe wa timu ndogo kwa sababu zao kutumia nguvu nyingi sana kupita kiasi kutaka kulazimisha kuzifinga Simba na Yanga kwa...
Kwa muelekeo ninaouna
✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi...
✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya Namungo...
✓ Mechi zote Simba alizoshinda MOYA BILA ( according to Mwnyi Zahera), Yanga anakwenda...
Umefika wakati wa kuhesabu nani ana wachezaji wengi mataifa mbalimbali
Haya hatua ya pili Caf Word cup qualifiier imepita
draw ya kupanga yale mataifa 10 bora itafanyika December 18 2021
mechi zitaanza march 2022
Kutoka ligi yaNBC
watawakilishwa na
1. Diarra (Hata kama anakaa sub lakini si...
Jana kulipigwa mechi ya DR Congo dhidi ya Benin ya kufuzu kwa michuano ya kombe la dunia kwa bara la Africa.
Jana DR Congo wamefanya sub mara nne badala ya tatu kisheria hivyo wapo katika balaa la kuchukuliwa hatua, endapo itathibitika kuwa walifanya kosa hilo, Benin anaweza akafuzu kwa point...
Je,....
1. Ufalme wa Mbwana Samatta unamtesa?
2. Anataka kutuonyesha kuwa Mbwana Samatta ni cha Mtoto tu Kwake?
3. Huamua Kumsusia Timu Kimakusudi Mbwana Samatta?
4. Hampendi Mbwana Samatta?
5. Usimba na Uyanga umewaathiri kwakuwa Msuva ni Yanga SC na Samatta ni Simba SC?
6. Anataka...
Hivi kama tu Wachezaji wa Kikongo ambao Kutwa tunawaimba, tunawasifu na Kuwakuza mno akina Yanick Bangala, Fiston Mayele, Ducapel Moloko, Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Herritier Makambo na Shaaban Djuma hawapati namba, hawaitwi, hawajulikani na hata wakiitwa wanachoma tu Mahindi Benchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.