timu ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lyrics Master

    Kama Mbeya ingekuwa ni nchi, kwenye football hii ndio ingekuwa first eleven yake

    Kama Mbeya ingekuwa ni nchi, kwenye football hii ndio ingekuwa first eleven yake. 1. BENNO KAKOLANYA- simba sc 2. DAVID KAMETA DUCHU- geita gold 3. BENJAMIN ASUKILE- tanzania prisons 4. LUSAJO MWAIKENDA- azam fc 5. DAVID MWANTIKA- dtb fc 6. AZIZ ANDAMBILE - mbeya city fc 7. JIMMSON MWANUKE-...
  2. John Haramba

    Morrison akasirika, alalamikia timu ya taifa “Mnaita wachezaji wa Azam FC wakati timu yao inafungwa na Simba”

    Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameshutumu maamuzi yanayofanyika katika kuita wachezaji wa timu ya taifa lake la Ghana kwa madai kuwa kuna ubabaishaji mwingi na wanatana kwa kujuana. Morrison amesikitishwa na kitendo cha kuonekana anadharaulika wakati amecheza katika klab kadhaa kubwa...
  3. GENTAMYCINE

    Chama wa Simba SC ameitwa Timu ya Taifa ya Zambia; Je, akina Mayele na Bangala nao wameitwa Timu ya Taifa ya Congo DR?

    Kuna Mkongo mmoja Rafiki yangu mno aliwahi kuniambia kuwa kwa Vipaji vilivyopo Kwako Congo DR hata wakihitajika Wachezaji 100 wa Kuunda Timu yao ya Taifa bado akina Mayele na Bangala hawatoweza Kuitwa labda kidogo atakayebahatika Kuitwa ni Beki wa Simba SC, Henock Inonga Baka kwakuwa ana Akili...
  4. mpiga vichwa

    Yanga kucheza na timu ya taifa ya Somalia

    Baada ya kuchapwa na Rivers utd ya Nigeria nyumbani na ugenini kwa jumla ya magoli 2 ,0 na kuondoshwa katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika miezi kadhaa iliyopita, kesho tarehe 12/3/2022 timu ya Yanga itashuka uwanja wa Azam complex huko chamazi kucheza na timu ngumu kabisa ya taifa ya...
  5. Roving Journalist

    Timu ya Taifa ya Pooltable yaifunga Kenya 13 – 9, mashindano Afrika Nchini Zambia

    TIMU ya Taifa ya Pooltable Waanaume imeanza vyema mashindano Afrika kwakuwafunga majirani Kenya 13-9 katika mchezo wake wa kwanza wa mashindano hayo yaliyoanza leo Nchini Zambia. Mashindano hayo yameanza kwa makundi A na B ambapo kundi A ni Tanzania, Kenya Uganda na Zimbabwe wakati kundi B ni...
  6. Melubo Letema

    Kambi ya Timu ya Taifa ya Riadha kuanza Mapema

    Mashindano ya Jumuiya ya Madola yanatarajiwa Kufanyika Birmingham,Uingereza na Mashindano ya Dunia Kufanyika Oregon, Marekani Mapema Julai Mwaka Huu. Hivyo, Baraza la Michezo Tanzania (BMT) wakishirikiana na Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) wameanza kusaka maeneo ya kuwaweka Wanariadha wa...
  7. Kitimoto

    Aliyekuwa kocha wetu akiwa anaifundisha timu ya Taifa ya Mauritania

    Mafanikio ya aliyekuwa kocha wetu wa Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara timu ya Simba SC akiwa anaifundisha timu ya Taifa ya Mauritania kwenye mashindano ya Afcon 2021. Timu imecheza mechi 3, Imefungwa mechi zote 3, Imefungwa magoli 7, haijafunga goli hata 1 na imeshika mkia kwenye...
  8. Erythrocyte

    Aliyekataliwa kusimamia timu Ligi ya Mabingwa kwa kukosa vyeti, leo anasimamia Timu ya Taifa kwenye AFCON

    Hii ndio Africa bhana! Da Rosa alipokuwa Simba alikataliwa kufundisha timu hiyo kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa kwa madai kwamba hajakidhi vigezo vya Elimu anayotakiwa kuwa nayo kocha anayesimamia timu kwenye michuano hiyo Bali leo ameonekana alisimamia timu ya Taifa inayoshiriki michuano...
  9. SubTopic

    Maoni: Tuwape Wachambuzi wa soka wafundishe timu ya taifa

    Tanzania tuna wachambuzi wa soka wazuri sana na inavyoonekana mpira wanaujua vizuri tu,sasa kwanini tusiwape timu ya taifa ili waifundishe?Maana ukiwasikiliza baada ya mechi wanakueleza kocha alikosea wapi na kama angetumia mbinu Fulani angepata matokeo chanya. Naamini kwa pamoja wakiunganisha...
  10. Greatest Of All Time

    Timu ya Taifa ya DR Congo yafanya sub mara nne jana kinyume na utaratibu

    Jana kulipigwa mechi ya DR Congo dhidi ya Benin ya kufuzu kwa michuano ya kombe la dunia kwa bara la Africa. Jana DR Congo wamefanya sub mara nne badala ya tatu kisheria hivyo wapo katika balaa la kuchukuliwa hatua, endapo itathibitika kuwa walifanya kosa hilo, Benin anaweza akafuzu kwa point...
  11. M

    Timu ya Taifa ya Wanawake imeshinda COSAFA Cup, lakini wametolewa kombe la Afrika na dunia

    Hakuna ubaya kwa timu yoyote ya michezo kupelekwa Ikulu kuzawadiwa ikiwa kuna umuhimu. Cha ajabu TBC wapo live Ikulu wakiwaonyesha mabinti wa timu ya Taifa ya Wanawake walioshinda COSAFA CUP ambapo timu nyingi zilizoshiriki zilikuwa B Teams kwa sababu A teams zilikuwa zinajiandaa na mashindano...
  12. kipara kipya

    Timu ya taifa haina chama, tumuige Zitto Kabwe

    Zitto kabwe nae inaonekana alifanya mazoezi kwa vitendo hapo akiwa na meneja wa staz Nadir haroub canavaro jasho la kwapa machozi na damu lazima stazi icheze qatar world cup!
  13. Greatest Of All Time

    Timu ya Taifa ya Tunisia wakopi jezi ya Simba Sc

    Hapa kuna jezi ya Tunisia ya mwaka 2019-2020 na kuna jezi ya Simba 2021-2022. Jezi ya Tunisia imetengezwa na kampuni ya Kappa wakati jezi ya Simba imetengezwa na Vunja bei. Hongereni sana Simba na Vunja bei.
  14. kavulata

    Msuva awe nahodha wa timu ya Taifa Stars

    Mbwana bado anahangaikia hatima yake, mara Genk, mara Aston, mara Fenabache mara Ubelgiji tena. Nadhani mchango wake kwenye timu ya taifa hautoshi kuendelea kushikilia unahodha wa timu hii. Mchango wa Msuva ni mkubwa sana, anacheza kwa nguvu zake zote akiwa na timu yake ya taifa. kwanini...
  15. Life2

    Tukumbushane Majina (nick names) ya timu za taifa mpira wa miguu

    Sio mbaya leo weekend tukakumbushana majina mbadala ya timu za mpira wa miguu hasa za bara letu la Afrika. Itapendeza Ukataja bila kuzama Google we taja ukikosea watakuja wengine kufanya marekebisho ukitwambia na maana yake itapendeza zaidi,kwa kuwa mfano naanza Mimi. Taifa Stars - Tanzania...
  16. Kipenzi Changu

    Hii ni timu ya Taifa U23, Maajabu hayatakuja kuisha nchi hii

    Tozo ya miamala imepiga mpaka kumbukumbu zimeruka
  17. Numero Uno

    Aymeric Laporte aitwa timu ya taifa ya Hispania

    Beki wa Manchester city Aymeric Laporte mzaliwa wa Ufaransa ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uhispania kitakachoshiriki mashindano ya Euro 2022. Mwaka 2019 beki huyo aliitwa kwenye kikosi cha Ufaransa kwa mara ya kwanza lakini aliondolewa kutokana na majeruhi. Pia nahodha wa timu...
  18. tc_edo

    Benzema aitwa tena time ya Taifa

    Haikuwa kipindi chenye furaha sana kwa Karim Benzema, mchezaji wa Real Madrid na raia wa Ufaransa baada ya kukosa kuitumikia timu yake ya taifa kwa miaka 5 kwa tuhuma za kuhusika kumlaghai mchezaji mwenzake Mathieu Valbuena kwa video ya mapenzi miaka mitano iliyopita. Kocha Didier Deschamps...
  19. Endeleaaa

    Kocha Syllersaid Mziray amefariki dunia, alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa figo

    Imeripotiwa amefariki huko Dar es salaam Hospitali ya Agakhan. RIP Kocha Mziray ========= Marehemu Syllersaid Mziray enzi za uhai wake MMOJA wa makocha wasaidizi wa timu ya Simba, Syllersaid Kahema Mziray 'Super Coach' amefariki.Mziray alifariki jana saa 10 alifajiri katika hospitali ya Aga...
Back
Top Bottom