Timu ya Taifa ya Tunisia wakopi jezi ya Simba Sc

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,701
45,034
Hapa kuna jezi ya Tunisia ya mwaka 2019-2020 na kuna jezi ya Simba 2021-2022.

Jezi ya Tunisia imetengezwa na kampuni ya Kappa wakati jezi ya Simba imetengezwa na Vunja bei.

Hongereni sana Simba na Vunja bei.

8D44C800-F53A-4CE0-8BFC-41357DAC8887.jpeg


DD975693-7D94-467A-B0C0-697408E5ABA4.jpeg


AC955DE4-0DDA-4ED2-8951-77BF92890581.jpeg
 
mi kwangu sio ishu kukiwa na similarities kwenye jersey kit.. hasa ikiwa kali.. ubaya uige design mbaya, pia naona itokee club bongo waige ile jearsy ya Arsenal ile ya chenga chenga dah kali sana ile..

hata kampun kubwa zinafanya hivyo.. Nike alishawapaga Kaizer chief jearsy yenye mfanano na ya Barca..

Adidas ndo kabisa wanaongoza kwa kutoa identical kit kwa clubs.. wanabadili rangi logo na vikolombwezo kdg tu

kama kwenye magari design zinaigwa sio ishu kwenye jersey maana watu wanavaa zile nenbo za club hasa wala sio rangi au design..

ingekuwa watu wanavaa design Watu wangevaa sana za Arsenal

wakat mwingine unakuta sio kuiga concept zinafanana
 
Back
Top Bottom