Aliyekataliwa kusimamia timu Ligi ya Mabingwa kwa kukosa vyeti, leo anasimamia Timu ya Taifa kwenye AFCON

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,576
217,940
Hii ndio Africa bhana! Da Rosa alipokuwa Simba alikataliwa kufundisha timu hiyo kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa kwa madai kwamba hajakidhi vigezo vya Elimu anayotakiwa kuwa nayo kocha anayesimamia timu kwenye michuano hiyo

Bali leo ameonekana alisimamia timu ya Taifa inayoshiriki michuano ya AFCON hivi Champions League ni kubwa kuliko AFCON?
 
Alikua anaendelea kusoma online class, inawezekana kasha hitimu na sasa ame qualify kufundisha rank hizo za league
Nakumbuka kipindi kile wakati Simba wanamchukua Thierry Hitimana ambaye ni kocha mwenye leseni A ya CAF kusimama uwanjani ilisemekana Da Rosa alikua anapata lesen yake itakayomuwezesha kukidhi vigezo vya kusimama akiwa kocha mkuu, kabda au ifikapo January

Mauritania waliona madini ndani ya Didier Gommes na wakaamua ku risk kumchukua. Nadhani atakua amekalisha online course yake ya kupata Leseni husika
 
Hii ndio Africa bhana ! Da Rosa alipokuwa Simba alikataliwa kufundisha timu hiyo kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa , kwa madai kwamba hajakidhi vigezo vya Elimu anayotakiwa kuwa nayo kocha anayesimamia timu kwenye michuano hiyo

Bali leo ameonekana alisimamia timu ya Taifa inayoshiriki michuano ya AFCON ! hivi Champions League ni kubwa kuliko AFCON ?
Proudly African
 
1642055881355.png
 
Simba waliachana nae sio kwa sababu ya vyeti, ni kwa kushindwa kuivusha timu kuingia Groups stage ya Champions league. Hayo yalikuwa ni mashart ya mkataba wake na Simba.
na hasa baada ya kushindwa kumlipa maana mpunga uliokuwa unategemewa ni ule wa CAF
 
Hii ndio Africa bhana! Da Rosa alipokuwa Simba alikataliwa kufundisha timu hiyo kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa kwa madai kwamba hajakidhi vigezo vya Elimu anayotakiwa kuwa nayo kocha anayesimamia timu kwenye michuano hiyo

Bali leo ameonekana alisimamia timu ya Taifa inayoshiriki michuano ya AFCON hivi Champions League ni kubwa kuliko AFCON?
Alisoma online akapata cheti December
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom