Yanga kucheza na timu ya taifa ya Somalia

mpiga vichwa

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
2,051
3,297
Baada ya kuchapwa na Rivers utd ya Nigeria nyumbani na ugenini kwa jumla ya magoli 2 ,0 na kuondoshwa katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika miezi kadhaa iliyopita, kesho tarehe 12/3/2022 timu ya Yanga itashuka uwanja wa Azam complex huko chamazi kucheza na timu ngumu kabisa ya taifa ya somalia kwa mjibu wa maelezo ya Haji Manara.

Mchezo huo unatarajiwa kuwa mgumu na wa kusisimua. Ikumbukwe Yanga hawana mechi yoyote ile ya kimataifa kwa musimu huu.

Je, Yanga wataweza kuwagalagaza wasomali hao?
 
Unajua mashabiki wengi wa yanga hawana taarifa kuwa timu yao inakipiga kwenye hii weekend?

Mawazo yao yote yako kwa simba na berkane jumapili, na ndio maana walianza kuwapokea berkane na kuwasahau wageni wao wasomali

Afu sijajua mechi yao inachezwa muda gani ila utakuta nao wameiweka mchana kama kikwazo ili kuwakomoa wasomali wasipate upinzani mkali

Yote kwa yote naitakia yanga ushindi dhidi ya mechi hiyo, na hiyo ndio itakuwa kipimo cha kuwajuza wana timu ya namna gani kwenye level za kimataifa though sijajua somali wanaupinzani wa namna gani
 
Simba nao wameoña wacheze mechi ya kirafiki na Mbeya city kwa sharti la Paul Nonga kutojumuishwa kikosini
Baada ya kuchapwa na Rivers utd ya Nigeria nyumbani na ugenini kwa jumla ya magoli 2 ,0 na kuondoshwa katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika miezi kadhaa iliyopita , kesho tarehe 12/3/2022 timu ya Yanga itashuka uwanja wa Azam complex huko chamazi kucheza na timu ngumu kabisa ya taifa ya somalia kwa mjibu wa maelezo ya Haji manara .

Mchezo huo unatarajiwa kuwa mgumu na wa kusisimua.Ikumbukwe , Yanga hawana mechi yoyote ile ya kimataifa kwa musimu huu.

Je , Yanga wataweza kuwagalagaza wasomali hao?
 
Simba naskia mnamuwania Hamis Kiiza awasaidie kwenye mechi za Shirikisho baada kutupwa nje Klabu bingwa
Unajua mashabiki wengi wa yanga hawana taarifa kuwa timu yao inakipiga kwenye hii weekend?

Mawazo yao yote yako kwa simba na berkane jumapili, na ndio maana walianza kuwapokea berkane na kuwasahau wageni wao wasomali

Afu sijajua mechi yao inachezwa muda gani ila utakuta nao wameiweka mchana kama kikwazo ili kuwakomoa wasomali wasipate upinzani mkali

Yote kwa yote naitakia yanga ushindi dhidi ya mechi hiyo, na hiyo ndio itakuwa kipimo cha kuwajuza wana timu ya namna gani kwenye level za kimataifa though sijajua somali wanaupinzani wa namna gani
 
Simba naskia mnamuwania Hamis Kiiza awasaidie kwenye mechi za Shirikisho baada kutupwa nje Klabu bingwa
Naona unalenga kupotezea ishu ya Rivers utd. Lakini ukumbuke tu kwamba hiyo ni rekodi ilishawekwa na haitafutika katika vichwa vya kizazi hiki na kijacho
 
Jamaa umeandika kimaandazi sana,, kwanza we ulete taarifa hii ni kama nani wakati ww ni Kolo tu kama Makolo wenzio.
Sasa tunawaambia mechi ya Yanga inaenda kusimamisha nchi zaidi ya hyo kimeo chenu mnachoenda kuinamisha tena kwa mara ya pili..
 
Hapana mkuu . Hii Habari haijaandikwa kishabiki kama unavyofikiria. Imeandikwa kwa kufuata taratibu zote za ki u Wana michezo kwa maslahi mapana ya soka la Tz
 
Jamaa umeandika kimaandazi sana,, kwanza we ulete taarifa hii ni kama nani wakati ww ni Kolo tu kama Makolo wenzio.
Sasa tunawaambia mechi ya Yanga inaenda kusimamisha nchi zaidi ya hyo kimeo chenu mnachoenda kuinamisha tena kwa mara ya pili..
Mara ya mwisho Yanga kucheza mechi za kimataifa ni septemba 2021 . Kwahiyo sitoshangaa Yanga kusimamisha nchi.
 
Sisi ni next level, mnatuhitaji sisi ili mjulikane kimataifa

We dont need you but you need us

Huko ulaya wanajua east africa kuna timu moja ya mpira, the rest ni vikundi vya wahuni tu
ule urafiki wao na sevilla uliishia wapi maana kila mpinzani wa simba kimataifa wanalazimisha urafiki
 
Upuuzi tu huko utopoloni. Somalia? Bora wangeomba mechi na timu ya kombaini ya Mkoa wa Simiyu
We acha tu
IMG-20220311-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom