tigo

  1. Thank you Tigo & Airtel

    Of all the people around me only tigo and airtel spent there valuable minutes to say a word about this special day that even Ocean Road hospital had, the hospital I ever known for the first time in my life, NEVER DARED call and ask me "geofrey where are you and how are you doing" Agriiiiiiiii...
  2. Ngoma chapambire moto: Internet ya Tigo post itaweza kumudu huu mziki mpya wa Airtel?

    TIGO POST PAID: 15 GB kwa 15,000 35 GB kwa 35,000 48 GB kwa 40,000 72 GB kwa 60,000 120 GB kwa 100,000 Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa Bando utalochagua utakuwa unaungwa kila tarehe 1 ya mwezi Kila mwezi inabidi ulipie bando unaloungwa...
  3. Hadi sasa sijutii kuwepo tigo postpaid, sioni dalili yoyote ya kuhama labda tu voda supakasi waje na vifurushi vya ziada kwa bei nafuu

    Ni tangu nwezi wa saba nafaidi mema ya internet ya Tigo postpaid. sina haja ya kujibana ama mambo ya kuzima data, natwanga tu. Offcourse kulikuwa na kash kash za speed kushuka usiku ila nilikuja kutatua tatizo kwa kutafuta wifi router naitega sehem yenye network internet speed saf tu. GB 80...
  4. Tigo yaongoza kwa simu za kitapeli Report ya Quarter ya 3 TCRA

    Report ya Quarter ya 3 ya mwaka 2022/2023 yaonesha Tigo kinara simu za kitapeli yaonesha pia TTCL kushuka sana kimapato na internate penetration
  5. Zuku wanajimwambafai sana? Au wameelemewa na wateja? Au ni dharau?Au jeuri?

    Yalianza jana kupitia airtel, muamala wa malipo haukufanyika Sasa leo nawapigia simu zuku ili angalau niwafahamishe kuwa nimeshalipa ni airtel ndio wanachelewesha hela yao weeeee dakika 140 zimeisha Dakika 140 zimeisha bila simu kujibiwa Na sasa hivi nipo raundi ya pili dakika 70 zimekata ni...
  6. Mna Siku 4 tu za Kushangilia Ushindi wenu wa Tigo Pesa wa Jana, ila Jumapili mtajuta Kukutana na Mbabe wa Magoli mengi mengi

    Tunataka tutoe Salamu kwa Wydad Casablanca FC na Mitambo yetu yote na Mbinu zetu zote za Kimafia na Kiuchawi tutazijaribia Kwenu Jumapili tarehe 16 April, 2023 kwa Mkapa. Tukiwakosa GENTAMYCINE nahama rasmi Tanzania na kurejea Kwetu Gisenyi nchini Rwanda.
  7. Miyeyusho: Kwa hii speed ya tigo kuna mtu anaefaidi internet yao?

    Hawa jamaa naona ni zaidi ya miyeyusho, kwa kipindi kirefu hawataki kubadilika. Na hapa ni jioni tu, ukitaka kuijua speed ya kobe subiri ifike saa mbili usiku.
  8. Hii ni sawa TiGO wanachofanya na TCRA wanafanya nini?

    IVI TIGO WANACHOFANYA ni sawa kweli kumuunganisha mteja na huduma bila idhini yake Kisha kumpa kazi ya kujiondoa, nashangaa sana sijui wizara ya tech na habari na mawasililiano na TCRA,WANAFANYA kazi Gani, au ndo wanakazi ya kutetea telecom companies Screen shot iyo hapo chini ya sms waliyonitumia
  9. R

    Vifurushi vya Tigo vurugu tupu

    1. Kila laini ina menu tofauti. Mfano Saizi yako ukiwa say na laini mbili za Tigo, kila laini ina menu tofauti ya size yako interms of every thing...dakika, MB, etc etc. 2. Laini ingine saizi yako ina 50 min tigo tigo, 50 mitandao yote, 50 msm/24/1,000 Na vurugu nyingine nyingi. Takataka tupu
  10. Customer Care wote wa CRDB, NMB, Voda & Tigo - jiandaeni kufukuzwa kazi

    Ni swala la muda muda tu , watu wengi wataachishwa kazi kwenye makampuni makubwa, kutokana na kukua kwa teknolojia. Kuna robot anaye-trend huku mtandaoni , anaitwa ChatGPT. Huyu robot anauwezo wa kukujibu swali lolote kwa sekunde 1. Tukija kwenye swala la customer care wetu, mko wengi sana na...
  11. 5G technology: Vodacom Vs Tigo; Tupeane mrejesho nani katisha sana kwenye 'Superspeed' kati ya mitandao hii

    Vodacom na Tigo mitandao yote hii inajisifu kwa kuongoza kuwa na kasi kubwa ya internet 5G. Kwa baadhi ya maeneo nchini na baadhi ya watu wamekwisha jaribu kuona Je! Yaliyomo yamo? Tupe ripoti yako tafadhali.
  12. Tigo hamna special thread lakini nilitaka sema neno

    Kwa Sasa ni mwendo wa kopa weka kopa weka. Tena Sasa ni kopa nyingi weka kidgo najua mnapata sana Inaitwa hakuna namna. Maisha ni magum na lazima yaendelee. Tumuombee Rais Samia, Maisha sio poa. Mimi sio CHADEMA nilisikia wakuongea hiki kitu. Milo ni mi4 Kwa wiki trust me.. Mlo unaliwa saa...
  13. Tigo na Airtel nitawashitaki

    Hizi tabia za kufanya simu zetu kama mabango ya matangazo yanazidi kunikera kwa siku unaweza kupokea hata text 10 za ofa zao wakati wanajua kuwa wanatukera. Nitakuja kuwashitaki.
  14. Tigo mnatuchosha na sms za 'Kopa Simu'

    Asubuhi hata hatujanywa chai, sms inaingia "Kopa Simu" Mchana hata sijaenda kula ugali kwa mlenda na dagaa wenye pilipili kali sms inaingia, Kopa Simu. Usiku najiandaa kubaiolojika, sijaanza mambo vizuri unasikia sms ukiifingua, Kopa Simu. Tigo na Zantel Mnatuchosha jamani, sms zenu za" Kopa...
  15. Tigo Bussiness waboresha bando zao, ujazo mkubwa, gharama nafuu

    Tigo wameboresha Vifurushi vyao vya malipo ya baada kama ifuatavyo. DATA ONLY 15K......15GB 30K......35GB 40K.......48GB 60K.......72GB 100k........120GB COMBO 15K........10GB + dakika 400 30K........25GB +Dakika 1000 40K.......35GB + Dakika 2000 60K........55GB + Dakika 3000 100K......100GB...
  16. Inadaiwa Polisi maarufu kama Tigo, huwabambikia makosa bodaboda na kuwalazimisha kutoa rushwa. Mamlaka iingilie kati

    Polisi wanaotembea na pikipiki maarufu kama (tigo), wanadaiwa kuwafanya bodaboda kama wahalifu kwa kuwakamata ovyo na kuwazungusha bila kuwapeleka kituoni wasipotoa pesa kwa lengo la kumalizana juu juu. Bodaboda wasiolipa pesa hupelekwa kituoni pasipo kujua hatma yao, pikipiki huchukuliwa...
  17. Tigo rudisheni hela yangu

    Wakuu mko vyedi najua, Baada ya vifurushi kuwa patashida, mwaka jana November nilijiunga TIgo Post paid. Nililipia mwezi wa 11 lakini mpaka leo sijaunganishwa. Wakala wao ananiambia zinashunghulikiwa kila siku. Mara aniambie nimeshaunganishwa wakati mimi sioni upande wangu. Kiukweli tigo...
  18. J

    Msaada kuhusu till za Tigo Pesa

    Naomba kuuliza wadau, nawezaje kuangalia tena zile namba za wakala kwenye till yangu ya tigo pesa kama nimezisahau? Naombeni msaada
  19. Nauza laini ya uwakala ya Tigo pesa

    Nauza laini ya uwakala ya Tigo pesa Bei elfu 50 (50,000/=)
  20. Tigo Mnakera Kupita Kawaida

    Wiki nzima mnatuma matangazo tangu asubuhi hadi usiku wa manane ni kama mmeajiri mtu anayemaliza kozi ya kutuma matangazo, anachoweza yeye ni kubonyeza bonyeza tu bila kujua athari anazosababisha kwa wateja Haya ni baadhi ya matangazo mnayotumia wateja wenu wiki nzima kwa kujirudiarudia zaidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…