tigo

  1. kavulata

    Beberu wa Waingereza hapa amenibadilisha mawazo na kunikumbusha kuwa kila taifa lazima liwe na mila zake

    Nilikuwa miongoni mwa watu ambao wanaupiga vita mwenge wa uhuru na baadhi ya mila zetu za kitaifa, lakini huyu beberu wa waingereza hapa amenibadilisha mawazo na kunikumbusha kuwa kila taifa lazima liwe na mila zake hata kama hazina maana kwa wakati huu.
  2. luangalila

    tiGO mnanikwaza sana

    Nime recharge kifurushi hapa nicheki balance naambiwa niko na 3 GB za Boomplay ... Boomplay itasaidia nini sasa ? Ondoeni huu upuuzi wa kuni convert Mbs zangu na kuzifanya za Boomplay
  3. Kumar Singh

    Msaada jinsi ya Kuactivate ofa ya simu iliyonunuliwa Tigo shop

    Habari wakuu. Mwezi uliopita nilinunua simu Tigo shop redmi 10 A na nikaungwa na ofa zilikua GB 5 Kwa ajili ya mwezi uliopita na muhudumu akaniambia kuwa ofa ni ya mwaka mzima na kila mwezi nitakua napata GB kadhaa sasa Leo ni tarehe 1 ila Naona patupu. Naomba msaada Kwa anejua jinsi ya...
  4. S

    MB za Tigo zinakimbia sana au ni kwangu tu?

    Mambo vipi wadau, MB za tigo zinayeyuka sana. Kitendo cha kuunga bando tu, baada ya dakika chache wanakutumia ujumbe umetumia 75% ya kifurushi chako! Hivi ni kwangu mimi tu au ni kwa wote?
  5. kitonsa

    Tigo nitoleeni tangazo lenu haraka sana

    Niende kwenye mada. Kama Kuna muhusika wa kampuni ya tigo humu ndani anifikishie amri yangu kwa mtu anayeusika, kuwa sitaki kusikia tangazo lao la karibu dakika mzima wakati napiga simu. Yaani unatumia dakiki nzima kusikiliza vijielezo vyenu nikasajili simu wakati nimesha sajili? Mwisho wa...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    Huduma za Tigo pesa sasa zinapatikana kwenye Zantel

    Baada ya tigo na zante kuungana, sasa huduma za tigopesa zinapatikana kwenye zantel. Yaani iko hivi, wewe kama mteja wa Zantel unaweza kuweka na kutoa hela kupitia wakala wa TigoPesa. Hivyo, ukiwa Zantel yako unapata huduma za tigo pesa bila ongezeko la gharama yoyote ile.
  7. M

    TiGO mnatukwaza wateja kuweka matangazo tunapopiga simu

    Toka juzi tukipiga simu mnaweka matangazo then ndio muito wa simu unafuata, hatujapiga kusikia matangazo, what if napiga simu kwa doctor kama imetokea dharula?,what if nimevamiwa nataka msaada kwa haraka? Fanyeni utaratibu mzuri, tunawapenda ila mnakwaza.
  8. Adriel Vin

    Tigo Bima wananifanyia huu uhuni

    Miezi mitatu nyuma nilipokea simu kutoka kwa mdada aliyejitambulisha anatoka kampuni ya tigo Bima (Milvik) Akanielezea sana kuhusu huduma zao, nilikua nazifahamu zote ila huwa sipendi kumkatisha tamaa mtu yoyote wa marketing anapokua ananielezea kuhusu bidhaa yake…(i know how hard it is to...
  9. ESCORT 1

    Aliyewahi kutumia huduma ya Tigo business (Post Paid)

    Nimepita huko kwenye ukurasa wao, nikakuta vifurushi vipo hivyo, je huduma ipoje kwa aliyewahi kuitumia njoo utujuze, maana naona kidogo itakuwa nafuu.
  10. Frustration

    Mtandao wa Tigo kinaanza kuisha kifurushi cha leo badala ya cha jana.

    Mm ni mpenzi wa bando la wiki na natumia mtandao wa Tigo. Mara nyingi huwa sipendi kukatiwa salio na ilikuepukana na hili napenda kujiunga siku 3 au mbili kabla ya kufikia deadline. Maajabu ninayokuta na nilichelewa kuchunguza ni kuwa kifurushi kipya kinaanza kutumika na kile ambacho ulikuwa...
  11. Mdadamwema.

    Mwongozo wa uwakala wa M-pesa na Tigo pesa

    Salaam kwenu wakuu, ninaomba mwongozo wa namna ya kupata uwakala wa mpesa na tigo pesa.
  12. mangosongoo

    Tigo mnatunyonya sana na MB zenu...

    Tigo Tanzania mmezidi kutunyonya na bando zenu, hawa jamaa wana calculate vip hizi MB? Haiwezekani hata robo saa haijaisha GB1 imeisha..! Hivi tatizo nini hii kitu imeanza kujitokeza wiki sasa, Tigo embu jitafakarini bwana...
  13. P

    Kama Magufuli angekuwepo tusingechezewa hivi na Tigo

    Umeme umekata ghafla, giza, joto unaamua kununua umeme kupitia tigo, 30,000/= cash, unasubiriiiii weeee hakuna token zinatumwa, unawapigia unasikilizishwa mzikiiii weeee nusu saa ndio wanapokea, unawaeleza shida yako kwa utulivu ili angalau waKusomee hizo token uendelee kufanya biashara ni usiku...
  14. aise

    PATAPATA! Nitazuia vipi hizi sms kutoka Tigo?

    Habari wakuu… Mama anaupiga mwingi kuelekea golini kwake. Sasa Wakuu mimi sijajiunga na huduma zozote tigo kuomba hizi sms. Cha ajabu kila baada ya dakika kadhaa natumiwa sms "PATAPATA" Nimeajaribu kublacklist lakini sms hazina namba imeniwia vigumu.
  15. stanleyRuta

    Tigo kuhama kutoka Derm complex kwenda pssf towers

    Hatimaye skyscraper hili refu nalo litapata mpangaji kidogo wa maana ,asee linatia huruma kwa sasa.
  16. R

    Ombi kwa makampuni ya Simu, Tigo, Vodacom, Airtell, Halotel etc: Kama mnaweza tutengenezee VIBUBU vya kwenye simu/Mtandao

    My point is this: Tumezoea kuweka hela kwenye VIBUBU vya mbao ambavyo ikifika muda uliojipangia unakibomoa. SASA, ni imani yangu kuwa you can design a programme ambayo mtu anaweza akawa anaweka pesa zake (kama tunavyoweka kwenye M-pesa, Tigo pesa etc) na kuzitoa muda aliopanga ambapo kabla ya...
  17. makilo

    TIGO wamenitapeli? Hakikai sitokubali.

    Kheri ya ijumaa kuu kwa wote. Siku ya tarehe 23 mwezi wa 3,nilifanya malipo kwa njia ya mtandao nililipa ticket ya bus Dar to Mwanza. Malipo yangu hayakufanikiwa nikawasiliana na huduma kwa wateja wakaniambia kuna tatizo la kimtandao kwa hiyo fedha zangu zitarudishwa baada ya siku 3. Kila...
  18. M

    Rostam kanunua tiGO kwa Tzs Bil 230, wakati thamani ya 25% ya kampuni ya Voda ni TZS Bil 470, so thamani ya Voda ni mara 20 ya tiGO?

    Hivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam. Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya, wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua hisa 25% kwa bilioni 480, halafu Hisa zenyewe haziuziki...
  19. Linguistic

    Rostam Aziz mmiliki mpya wa tiGO Tanzania na Zantel

    Tajiri Rostam Azizi ndio Mmiliki wa Sasa wa Kampuni za Tigo na Zantel Pia, soma=>Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialism economy
  20. F

    Hizi tigo pesa,mpesa, airtel money kiwango cha mwisho kuweka kwa siku ni shilingi ngapi?

    Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na hizi mobile money watuambie kiwango cha mwisho ni kiasi gani? Je inawezekana kwenye line moja kuweka milioni 5 kwa siku. Na ukamtumia mtu hiyo milioni 5 kwa muamala mmoja na yeye akapokea bila shida? Kwa mteja wa kawaida tu sio wakala. Je anaweza kuweka...
Back
Top Bottom