Kati ya single maza mwenye chura na mschana mdogo nimuoe nan???

44mg44

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
2,135
2,141
Nipo njia panda,single maza nmempenda sana na ana sifa zote za kuitwa mwanamke!!

Kikwazo ni ndugu wamenambia nioe kwingne ambae hana mtoto!!!!

NB.Single maza kashanzalia mtoto mmoja
wadau naomben msaada wenu wa kimawazo
 
UNA WANAWAKE WAWILI MMOJA SINGLE MOTHER NA MWINGINE HANA MTOTO, ILA SINGLE MOTHER KASHAKUZALIA NA MTOTO LAKINI ANA SIFA ZOTE ZA KUWA MWANAMKE, TAYARI WA PILI ANA SIFA ZA KUWA MWANAUME, KWANINI UNATAKA KUOA MWENYE SIFA ZA KIUME, OA HUYO HUYO UNAYEONA ANA SIFA ZA KUWA MWANAMKE, unasumbua tu watu wakati majibu Unayo.
 
Nipo njia panda,single maza nmempenda sana na ana sifa zote za kuitwa mwanamke!!

Kikwazo ni ndugu wamenambia nioe kwingne ambae hana mtoto!!!!

NB.Single maza kashanzalia mtoto mmoja
wadau naomben msaada wenu wa kimawazo
Umebaki na akili asilimia ngapi kichwani mwako ?
 
Back
Top Bottom