Marvel Cinematic Universe special thread

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,584
2,000
Karibuni kwenye uzi maalumu kwa wale wapenzi wa Comics (Super heros) hasa kwa mashabiki wa DCEU movies na MCU movies.

Mimi ni mshabiki wa Marvels hasa Doctor Strange upande wa DC nampenda Joker tu.

MCU ilianza mwaka 2008 ambapo Kevin Feige,Victoria Alonso na Louis Despocito waliungana kutengeneza hizi muvi na kufanaikisha kutoa muvi 22 mpaka leo hii. (IRON MAN TO SPIDERMAN FAR FROM HOME).

Muvi za Marvel zimegawanywa katika phase 4. Mwakani tunaanza phase 5.

Karibuni tujuzane taarifa mbalimbali zitakazokua zinatokea kwenye muvi hizi au Studio hizi za Marvel studios.
Ratiba ya phase 5 hii hapa.

Film[14]U.S. release dateDirectorScreenwriter(s)Producer(s)Status
Black WidowMay 1, 2020[12]Cate Shortland[17]Jac Schaeffer and Ned Benson[18][19]Kevin FeigePost-production
The EternalsNovember 6, 2020[12]Chloé Zhao[20]Matthew K. Firpo & Ryan Firpo[21]Filming
Shang-Chi and the Legend of the Ten RingsFebruary 12, 2021[12]Destin Daniel Cretton[22]David Callaham[23]Pre-production
Doctor Strange in the Multiverse of MadnessMay 7, 2021[12]Scott Derrickson[3]Jade Bartlett[24]
Untitled Spider-Man: Far From Home sequelJuly 16, 2021[16]TBAChris McKenna & Erik Sommers[25]Kevin Feige and Amy Pascal
Thor: Love and ThunderNovember 5, 2021[12]Taika Waititi[26]Kevin Feige
 

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,584
2,000
Kwa upande wa Black widow itakua ni muvi ambayo itakua inaturudisha nyuma mpaka mwaka 2016 baada ya avangers kupigana wao kwa wao hivo Japo Black widow kashakufa ila tutamuona pia Tony Stark japo kafa pia atakuwemo.. So msishangae watu wakatumia Time Travelling kutoka 2024 (kwa upande wa marvel wao wako 2023) kwenda 2016 kumrudisha Tony au Black widow... nawaza tu
 

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,584
2,000
Kwa upande wa Doctor strange in multiverse of Madness Doctor strange ataungana na Wanda maximanof (Scarlet witch). Kutakua na maadui (Vilain) watatu...Pia itakua sio fantasy au Sci-Fiction bali itakua Horror. Itakua muvi ya kutisha ya kwanza kutengenezwa Marvel
 

Tony-stark

JF-Expert Member
Jul 20, 2019
955
1,000
Ngoja tusubiri 2021 tuone maana huo mwaka kuna muvi nyingi nzuri zinatoka. Ila sijapenda kumtumia Angelina Jolie kucheza kama main actor kwenye the Eternal
Binafsi nimevutiwa,
Pia nahisi wametumia ukongwe wake ili kuvuta watu wengi zaidi.
 

Cybergates

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
378
1,000
Wana marvel ni noma lakini DG nao ni kisanga,

Marvel wamenikosha hapa
1. Doctor stranger
2. Thor: Ragnarok
3. Captain America: Civil war
4. Iron man 3
5. Avengers: Infinity war

Walipo kuja kuniboa
1. Black Panther
2. Ant-man & the wasp
3. Deadpool 2
4. Thor: The dark world
5.Venom
6. Karibia series zao zote
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom