Forbidden technology, supressed science, covered history special thread

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
1,996
5,054
Hello bosses uzi huu ni maalum kwa ajili ya kufahamishana technology mbalimbali ambazo kwa njia moja ama nyingine zimezuiwa au kufichwa au kuruhusiwa kutumika tu na watu au taasisi fulani pekee.

1)THE CURE OF ALL DISEASE BY Dr ROYAL RIFE
Tuangalie kwanza Kiufupi wasifu wa Royal Rife. Royal Rife ni kati ya wanasayansi na wagunduzi Genius zaidi kuwahi kutokea duniani lakini hauwezi kumsikia kama haufatilii sayansi kiundani kwa sababu ni kati ya forgotten scientists kwa kuwa ugunduzi wao ulikataliwa na kuwa supressed kwa sababu ya figisu mbalimbali. Kwa wale wanaomjua NIKOLA TESLA kwa upande wa umeme, naweza kusema Royal Rife alikua ni Nikola Tesla wa upande wa medics.

Royal Rife aligundua 'MORTAL OSCILATORY RATE' ya vijidudu mbalimbali vinavyosababisha magonjwa(pathogens). Kwa kutumia hio rate basi kila mdudu ambae angekua vibrated kwa mortal oscillatory rate yake basi angekufa, hii ni kumaanisha kwamba tungeweza kuua vijidudu vyote vinavyosababisha magonjwa ikiwemo virus, bacteria, amoeba etc..... Kwa kutumia hio technology yake Pia kila ugonjwa ungeweza kutibiwa kiurahisi kwa kuua tu vijidudu vinavyosababisha hayo magonjwa iwe HIV, Cancer au gonjwa lolote lile.

Kwa meneno mengine tunawezasema jamaa aligundua tiba ya magonjwa yote "THE CURE OF ALL DISEASES".

Lakini sasa Dr Royal Rife alisahau kwamba "CURING ALL DISEASES IS NOT GOOD FOR BUSINESS".

Baada ya Dr Royal Rife kusubmit technology yake kwa American Medical Association" Alipingwa vikali mno, kitu ambacho kilifanya hata hio technology ishindwe kuendelezwa

BAADA YA KIFO CHAKE MAMBO YAKAHARIBIKA ZAIDI: hii ni kwa sababu miaka kadhaa baada ya kifo chake kuna mwandishi aliandika kitabu kuhusu hio technology yake na kuwafanya watu wengi waifahamu na kuna baadhi ya waliochukulia hio kama opportunity wakaanza kuhuza Fake cancer curing machines walizozipa jina la "Rife machines" na machines hizo zilipata soko lakini zikaishia kufanya wagonjwa wa kansa waliozitumia kufariki. Hii ilifanya technology hio ipate sura mbaya mbele za umma na inasemekana hii yoe ilikua ni plot ya kuonyesha kwamba idea ya Royal RIfe haikua sahihi na ndio ukawa mwisho wa hio technology kuendelezwa.

Pia zipo technology mbalimbali ambazo aidha zimezuiliwa au mtu wa kawaida/taasisi/ kampuni hairuhusiwi kutumia bali zinatumiwa na mabeberu tu kama vile NASA etc....... Tuzazidi kufahamishana kwenye huu uzi.




More content to come........

Kali Linux
Peace.....!
 
Fufua huu uzi mkuu!
JamiiForums-935695326.gif
 
Back
Top Bottom