tetemeko la ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Victor Mlaki

    Tetemeko la ardhi limeipa muda huu Geita, eneo la Masumbwe katika Wilaya ya Mbogwe

    Muda huu tetemeko limepita na inaonesha ni la kiwango kikubwa kiasi kulingana na mtetemo niliousikia. Sijafuatilia maeneo mengine ila kupitia uzi huu tunaweza kuhabarishana zaidi.
  2. R

    Takribani watu 800 wamepoteza Maisha na 2,500 kujeruhiwa na Tetemeko la Ardhi Afghanistan

    Kwa mujibu wa taarifa zilizotelewa na vyombo vya habari Al Jazeera na Reuters kumetokea tetemeko la ardhi Afghanistan usiku wa kuamkia September 1, 2025 lenye ukubwa wa Ritcher 6.0 na kusababisha idadi ya vifo takribani 800 na majeruhi zaidi ya 2,800. Idadi hiyo imekuwa ikiongezeka zaidi ya...
  3. S

    Tetemeko la ardhi la magnitude 5.5 limerekodiwa Iran karibu na fordow nuclear site

    Tetemeko la ardhi lime tokea Iran siku ya leo majira ya saa tatu asubuhi lenye ukubwa wa magnitude 5.5 kwenye jimbo la Qom ambalo lipo karibu na Fordow nucleur site. Hakuna ripoti ya majanga japo inahisiwa kuna kitu kilikuwa kinajaribishwa Mnamo mwaka 2017 korea kazkazini walijaribisha Atomic...
  4. The Mongolian Savage

    Mungu mkubwa mtetemeko Istanbul Hujaleta maafa

    Mungu ameweza kuwaepusha wataruki na maafa baada ya mtetemeko mkubwa kuikumba Leo jiji Lao kubwa la Istanbul. Cha kumshukuru Mungu hakuna kifo Bali majeruhi hasa watu waliokuwa wakijirusha kutoka ghorofani kuofia kuangukiwa Na majengo. Syria kaska Licha ya kutokuwepo na maafa pia serikali ya...
  5. ChoiceVariable

    Video: Tetemeko kubwa la ardhi la ukubwa wa 7.7 latikisa Myannmar na Thailand na kuporomosha jengo la ghorofa 30

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 limetikisa Myanmar leo na Thailand na kusababisha hali ya dharura kutangazwa katika nchi zote mbili. Hadi sasa watu elfu Moja wamefariki huko Mynmar na wengine wengi Bado wamenasa kwenye vifusi. Jijini Bangkok, jengo la ghorofa lililokuwa likijengwa...
  6. Sifi Leo

    Ukishangaa ya Magufuli njoo uyaone ya Mbunge Musukuma na Kituo cha Polisi

    Kwa kweli nalilaani tetemeko la ardhi lililotokea Bukoba na kusababisha vifo vya baba, mama, bibi, anko, shangazi na wadogo zangu. Pia ninalaani vikali wale waliotumia rambi rambi zilizochangwa na ndugu na jamaa wema kwa wahanga wa tetemeko kutumika kuboresha magereza mkoani Kagera. "Hivi...
  7. Sun Zu

    Tetemeko la ardhi Iran labainika halikuwa la asili bali majaribio ya silaha za kinyuklia

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 4.6 lililohisiwa katika sehemu mbalimbali za Iran linaibua wasiwasi kuwa huenda lilikuwa jaribio la silaha za nyuklia. Kituo cha kugundua mitetemeko cha Armenia kiliripoti kutokuwepo kwa mitetemeko midogo ya baadae, na tukio hilo la kitetemeko, ambalo lilitokea...
  8. Yoda

    Russia yakumbwa na tetemeko la ardhi

    Russia imekumbukwa na tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.2 huku tahadhari ya tsunami ikitolewa.
  9. Ushimen

    Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora

    Nipo mapumziko mkoani Tabora wakuu, tetemeko ndio kwanza limemalizika kupita hapa mkoani Tabora. Vipi huko kwenu hali ipoje, na hakuna madhara..? Pia soma: Tetemeko kali la Ardhi latikisa Mkoa wa Songwe Tetemeko kali la Ardhi latikisa Mkoa wa Songwe Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani...
  10. F

    Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi majira ya saa 7:21 mchana

    Majiria ya saa saba na dakika ishirini na moja hivi (7:21) leo tarehe 5 June 2024 limepita tetemeko dogo la ardhi hapa Moshi vijijijji maeneo ya Kilema (haijajulikana maeneo mengine). Mtikiso huo uliodumu kwa sekunde moja hivi haukuwa na madhara yoyote na hata hivyo kuna uwezekano kuwa watu...
  11. L

    Tetemeko kali la Ardhi latikisa Mkoa wa Songwe

    Ndugu zangu Watanzania, Nikiri wazi kuwa Tangia nimepata fahamu vyema mpaka hapa nilipofika sijawahi kushuhudia Tetemeko kali la Ardhi kama nililoshuhudia usiku huu wa manane. Ni Tetemeko kali,,kubwa na la ajabu sanaa kuwahi kushuhudia.limetetemesha na kuitikisa nyumba mpaka nikaona mlango...
  12. Faana

    Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita muda huu 18.03.2024 saa 16:16

    Hali ikoje huko uliko? Hapa Moro limepita tetemeko la ardhi na dakika kadhaa kabla yake wamesikika kuku, mbwa wakitoa milio iliyoashiria kuwepo kitu kisicho cha kawaida.
  13. JanguKamaJangu

    China: Tetemeko la Ardhi laua Watu 116

    Tetemeko la Ardhi lenye ukubwa wa 6.2 Richa limesababisha vifo vya Watu 105 katika Jimbo la Gansu, vifo 11 katika Jimbo la Qinghai na kujeruhi wengine 250. Imeeleza kuwa Nyumba 4,782 zimeathirika na zoezi la uokoaji linaendelea. Mamlaka za Serikali zimetoa angalizo kuwa mitetemeko zaidi...
  14. Messenger RNA

    Afghanistan yakumbwa na tetemeko la ardhi la tatu ndani ya wiki moja

    Tetemeko jipya la ardhi limekumba magharibi mwa Afghanistan - siku kadhaa baada ya mitetemeko miwili mikubwa katika eneo hilo kuua zaidi ya watu 1,000. Shirika la Utafiti wa Jiolojia la Marekani (USGS) linasema kuwa tetemeko hilo la ukubwa wa 6.3 lilipiga karibu na mji wa Herat. Ilikuwa katika...
  15. Faana

    Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita kati ya saa 12:31 - 12:32 mchana

    Nipo mitaa ya 88 mji kasoro bahari mida hii 12:31 - 12:32 Pm limepita tetemeko la ardhi japo kipimo chake hakijajulikana, labda mamlaka husika zitasema. Enjoy your day guys Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi majira ya saa 7:21...
  16. BARD AI

    Watu 2,000 waripotiwa kufariki kwenye Tetemeko la Ardhi nchini Afghanistan

    Serikali ya Taliban imetoa taarifa hiyo baada ya Matetemeko Matatu yenye kipimo cha Richa 6.3, 5.9 na 5.5 kupiga upande wa Magharibi wa Nchi hiyo, umbali wa Kilomita 25 kutoka jiji la Herat Tetemeko la kwanza lilipiga Jumamosi ya Oktoba 7, 2023 na kufuatiwa na mengine mawili ambapo awali Umoja...
  17. MK254

    Licha ya tetemeko la ardhi, Waarabu wa Sudan waendelea kuchinjana, hamna kuachia

    Hawa watu huwa na roho ngumu sana, yaani tetemeko linapiga na kusababisha maafa na majanga ila wao wanawindana na kupigana, hawana muda wa kusklizia kwanza au wasubiri hali itulie. Wanalipuana utadhani hamna kesho, hawa hawa ndio wamiliki wa dini yao aisei, na ndio lugha yao huwa tunaambiwa...
  18. C

    SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

    Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force...
  19. Boqin

    SI KWELI Mwanaume mmoja aokolewa kutoka kwenye kifusi miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi nchini Uturuki

    Picha moja iliyosambaa mtandaoni – ikiwemo hapa JamiiForums – inamuonesha mwanaume mmoja akiwa katika hali mbaya ya kiafya. Maelezo katika picha hiyo yameandikwa kwa lugha ya Kiarabu yakieleza: “Kutoka tetemeko la ardhi la Februari 6, leo ametolewa chini ya vifusi huko Antakya, Uturuki hai na...
  20. BARD AI

    Mikoa 11 iliyoko hatarini kukumbwa na Tetemeko la Ardhi

    Mikoa 11 inayopitiwa na ukanda wa Bonde la Ufa la Afrika Mashariki imetakiwa kuhakikisha inazingatia viwango halisi vya ujenzi vinavyojumuisha ushauri wa kitaalamu wa jiolojia ya eneo husika, na kuepuka ujenzi wa nyumba katika miinuko yenye mawe na mipasuko ya miamba. Ushauri huo umetolewa na...
Back
Top Bottom