tetemeko la ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Asimulia alivyojifungua kwa upasuaji katikati ya tetemeko la ardhi

    Maria Florida ameeleza furaha yake baada ya kujifungua salama mtoto wake wa nne kwa njia ya upasuaji wakati tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 likitikisa eneo la Nusa Tenggara Mashariki mwa Indonesia. Tetemeko hilo lilitokea Agosti 15, 2026 na kuleta madhara makubwa mashariki mwa Indonesia...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tetemeko kubwa la ardhi latingisha Colombia — zaidi ya watu 100 wafariki

    Tetemeko kubwa la ardhi lenye nguvu ya 7.4 limeikumba sehemu ya magharibi mwa Colombia, likisababisha uharibifu mkubwa wa majengo na vifo vya zaidi ya watu 100. Tetemeko hilo lilitokea Jumatatu, Agosti 10, 2026, huku kitovu chake kikielezwa kuwa karibu na San José del Palmar, katika eneo la...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Watu wengi Wahofiwa kukwama baada ya Jumba la Biashara kuporomoka kufuatia Tetemeko la ardhi Japan

    Watu Wengi Wahofiwa Kukwama Baada ya Jumba la Biashara Kuporomoka Kufuatia Tetemeko la Ardhi Nchini Japani, Maafisa Wasema Waokoaji walikuwa katika mbio dhidi ya wakati kuwatafuta watu na kuzima moto baada ya tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.8 kwenye kipimo cha Richter kupiga mkoa wa...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mbwa shujaa aokoa maisha ya mtoto wakati wa tetemeko la ardhi Venezuela

    Katika matukio ya kutisha yaliyotokea wakati wa tetemeko la ardhi nchini Venezuela, mtoto mdogo anayejulikana kama Mateo anaripotiwa kunaswa chini ya vifusi baada ya majengo kuporomoka. Katika giza nene na hali ya hofu, rafiki yake wa karibu, mbwa aina ya Golden Retriever aitwaye Max...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Venezuela: Idadi ya vifo yafikia 188, huku 1,500 wakiripotiwa kujeruhiwa kufuatia matetemeko makubwa mawili yaliyofuatana

    Watu wasiopungua 188 wamefariki na zaidi ya 1,500 wamejeruhiwa kufuatia matetemeko makubwa ya ardhi yaliyofuatana nchini Venezuela, kwa mujibu wa taarifa za hivi punde. Waokoaji wanatafuta kwenye vifusi huko Caracas na katika jimbo la La Guaira, ambapo Umoja wa Mataifa (UN) unasema zaidi ya...
  6. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi limeipa muda huu Geita, eneo la Masumbwe katika Wilaya ya Mbogwe

    Muda huu tetemeko limepita na inaonesha ni la kiwango kikubwa kiasi kulingana na mtetemo niliousikia. Sijafuatilia maeneo mengine ila kupitia uzi huu tunaweza kuhabarishana zaidi.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Takribani watu 800 wamepoteza Maisha na 2,500 kujeruhiwa na Tetemeko la Ardhi Afghanistan

    Kwa mujibu wa taarifa zilizotelewa na vyombo vya habari Al Jazeera na Reuters kumetokea tetemeko la ardhi Afghanistan usiku wa kuamkia September 1, 2025 lenye ukubwa wa Ritcher 6.0 na kusababisha idadi ya vifo takribani 800 na majeruhi zaidi ya 2,800. Idadi hiyo imekuwa ikiongezeka zaidi ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi la magnitude 5.5 limerekodiwa Iran karibu na fordow nuclear site

    Tetemeko la ardhi lime tokea Iran siku ya leo majira ya saa tatu asubuhi lenye ukubwa wa magnitude 5.5 kwenye jimbo la Qom ambalo lipo karibu na Fordow nucleur site. Hakuna ripoti ya majanga japo inahisiwa kuna kitu kilikuwa kinajaribishwa Mnamo mwaka 2017 korea kazkazini walijaribisha Atomic...
  9. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Mungu mkubwa mtetemeko Istanbul Hujaleta maafa

    Mungu ameweza kuwaepusha wataruki na maafa baada ya mtetemeko mkubwa kuikumba Leo jiji Lao kubwa la Istanbul. Cha kumshukuru Mungu hakuna kifo Bali majeruhi hasa watu waliokuwa wakijirusha kutoka ghorofani kuofia kuangukiwa Na majengo. Syria kaska Licha ya kutokuwepo na maafa pia serikali ya...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Video: Tetemeko kubwa la ardhi la ukubwa wa 7.7 latikisa Myannmar na Thailand na kuporomosha jengo la ghorofa 30

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 limetikisa Myanmar leo na Thailand na kusababisha hali ya dharura kutangazwa katika nchi zote mbili. Hadi sasa watu elfu Moja wamefariki huko Mynmar na wengine wengi Bado wamenasa kwenye vifusi. Jijini Bangkok, jengo la ghorofa lililokuwa likijengwa...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ukishangaa ya Magufuli njoo uyaone ya Mbunge Musukuma na Kituo cha Polisi

    Kwa kweli nalilaani tetemeko la ardhi lililotokea Bukoba na kusababisha vifo vya baba, mama, bibi, anko, shangazi na wadogo zangu. Pia ninalaani vikali wale waliotumia rambi rambi zilizochangwa na ndugu na jamaa wema kwa wahanga wa tetemeko kutumika kuboresha magereza mkoani Kagera. "Hivi...
  12. Sun Zu

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi Iran labainika halikuwa la asili bali majaribio ya silaha za kinyuklia

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 4.6 lililohisiwa katika sehemu mbalimbali za Iran linaibua wasiwasi kuwa huenda lilikuwa jaribio la silaha za nyuklia. Kituo cha kugundua mitetemeko cha Armenia kiliripoti kutokuwepo kwa mitetemeko midogo ya baadae, na tukio hilo la kitetemeko, ambalo lilitokea...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Russia yakumbwa na tetemeko la ardhi

    Russia imekumbukwa na tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.2 huku tahadhari ya tsunami ikitolewa.
  14. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora

    Nipo mapumziko mkoani Tabora wakuu, tetemeko ndio kwanza limemalizika kupita hapa mkoani Tabora. Vipi huko kwenu hali ipoje, na hakuna madhara..? Pia soma: Tetemeko kali la Ardhi latikisa Mkoa wa Songwe Tetemeko kali la Ardhi latikisa Mkoa wa Songwe Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi majira ya saa 7:21 mchana

    Majiria ya saa saba na dakika ishirini na moja hivi (7:21) leo tarehe 5 June 2024 limepita tetemeko dogo la ardhi hapa Moshi vijijijji maeneo ya Kilema (haijajulikana maeneo mengine). Mtikiso huo uliodumu kwa sekunde moja hivi haukuwa na madhara yoyote na hata hivyo kuna uwezekano kuwa watu...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Tetemeko kali la Ardhi latikisa Mkoa wa Songwe

    Ndugu zangu Watanzania, Nikiri wazi kuwa Tangia nimepata fahamu vyema mpaka hapa nilipofika sijawahi kushuhudia Tetemeko kali la Ardhi kama nililoshuhudia usiku huu wa manane. Ni Tetemeko kali,,kubwa na la ajabu sanaa kuwahi kushuhudia.limetetemesha na kuitikisa nyumba mpaka nikaona mlango...
  17. Faana

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita muda huu 18.03.2024 saa 16:16

    Hali ikoje huko uliko? Hapa Moro limepita tetemeko la ardhi na dakika kadhaa kabla yake wamesikika kuku, mbwa wakitoa milio iliyoashiria kuwepo kitu kisicho cha kawaida.
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania China: Tetemeko la Ardhi laua Watu 116

    Tetemeko la Ardhi lenye ukubwa wa 6.2 Richa limesababisha vifo vya Watu 105 katika Jimbo la Gansu, vifo 11 katika Jimbo la Qinghai na kujeruhi wengine 250. Imeeleza kuwa Nyumba 4,782 zimeathirika na zoezi la uokoaji linaendelea. Mamlaka za Serikali zimetoa angalizo kuwa mitetemeko zaidi...
  19. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Afghanistan yakumbwa na tetemeko la ardhi la tatu ndani ya wiki moja

    Tetemeko jipya la ardhi limekumba magharibi mwa Afghanistan - siku kadhaa baada ya mitetemeko miwili mikubwa katika eneo hilo kuua zaidi ya watu 1,000. Shirika la Utafiti wa Jiolojia la Marekani (USGS) linasema kuwa tetemeko hilo la ukubwa wa 6.3 lilipiga karibu na mji wa Herat. Ilikuwa katika...
  20. Faana

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita kati ya saa 12:31 - 12:32 mchana

    Nipo mitaa ya 88 mji kasoro bahari mida hii 12:31 - 12:32 Pm limepita tetemeko la ardhi japo kipimo chake hakijajulikana, labda mamlaka husika zitasema. Enjoy your day guys Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi majira ya saa 7:21...
Back
Top Bottom