tetemeko la ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watu 2,000 waripotiwa kufariki kwenye Tetemeko la Ardhi nchini Afghanistan

    Serikali ya Taliban imetoa taarifa hiyo baada ya Matetemeko Matatu yenye kipimo cha Richa 6.3, 5.9 na 5.5 kupiga upande wa Magharibi wa Nchi hiyo, umbali wa Kilomita 25 kutoka jiji la Herat Tetemeko la kwanza lilipiga Jumamosi ya Oktoba 7, 2023 na kufuatiwa na mengine mawili ambapo awali Umoja...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Licha ya tetemeko la ardhi, Waarabu wa Sudan waendelea kuchinjana, hamna kuachia

    Hawa watu huwa na roho ngumu sana, yaani tetemeko linapiga na kusababisha maafa na majanga ila wao wanawindana na kupigana, hawana muda wa kusklizia kwanza au wasubiri hali itulie. Wanalipuana utadhani hamna kesho, hawa hawa ndio wamiliki wa dini yao aisei, na ndio lugha yao huwa tunaambiwa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kijiji kizima chafutwa kwa tetemeko la ardhi nchini Morocco isipokuwa majengo mawili tu ya Msikiti

    Tetemeko la aridhi nchini Morroco limeua zaidi ya watu 5000, kuna kijiji kimoja cha mlimani chote kimefutwa na tetemeko isipo kua majengo mawili tu, hayo majengo mawili ni msikiti wa kijiji na nyumba ya huyu alio jenga huo msikiti, hiivi hili lina uhusiano wote na Imani au ni ecological force...
  4. Boqin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwanaume mmoja aokolewa kutoka kwenye kifusi miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi nchini Uturuki

    Picha moja iliyosambaa mtandaoni – ikiwemo hapa JamiiForums – inamuonesha mwanaume mmoja akiwa katika hali mbaya ya kiafya. Maelezo katika picha hiyo yameandikwa kwa lugha ya Kiarabu yakieleza: “Kutoka tetemeko la ardhi la Februari 6, leo ametolewa chini ya vifusi huko Antakya, Uturuki hai na...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mikoa 11 iliyoko hatarini kukumbwa na Tetemeko la Ardhi

    Mikoa 11 inayopitiwa na ukanda wa Bonde la Ufa la Afrika Mashariki imetakiwa kuhakikisha inazingatia viwango halisi vya ujenzi vinavyojumuisha ushauri wa kitaalamu wa jiolojia ya eneo husika, na kuepuka ujenzi wa nyumba katika miinuko yenye mawe na mipasuko ya miamba. Ushauri huo umetolewa na...
  6. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania HAARP mfumo wa Marekani uliosababisha tetemeko la ardhi Uturuki na Syria

    Tangu tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.8 liikumbe Uturuki na Syria tarehe 6 Februari, na kuua zaidi ya watu 44,000, kumekuwa na mamilioni ya machapisho kwenye Twitter yakishiriki habari, picha na video za maafa hayo. Lakini imgegundulika kwamba baadhi ya machapisho hayo yameilaumu kwa njia...
  7. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania TANZIA Christian Atsu apatikana ndani ya kifusi Uturuki akiwa amefariki dunia

    Christian Atsu amepatikana ndani ya kifusi siku 12 baadaye baada ya tetemeko la ardhi kuikumba Uturuki na Syria. Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na wakala wake anayeitwa Nana Sechere Pia soma - Mchezaji wa kimataifa kutoka Ghana anaswa kwenye vifusi nchini Uturuki ==== Nana Sechere...
  8. USSR

    JamiiForums Tanzania Burundi yatuma kikosi cha waokoaji Uturuki, nimejifunza kutoa ni moyo

    Moja ya mawaziri wanaoamliwa mambo ya wizara na makatibu wa Ikulu ni huyu mama kule jeshini walisema ni mpole sana huku zamani tuliambiwa Wizara ya Ulinzi inafaa wapole. Kule SADC nguvu ya Kabudi ndio ilimbeba alipotoka mama Tax abakia mweupe kabisa, ishu za peace keepers nje ya nchi na hasa...
  9. Logikos

    JamiiForums Tanzania Uturuki ni Earthquake Prone

    Baada ya kuona wadau wanaanza kuleta habari za mwisho wa dunia na wengine kusema huenda kuna mabomu / silaha zinazosababisha haya majanga, naomba tujikumbushe kwamba Matetemeko kwa Uturuki sio jambo la ajabu na on record yalishatokea hata miaka ya 1900 na kuua zaidi ya watu laki mbili. Kwahio...
  10. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

    UPDATE, FEBRUARY 13: VIFO VYA #TURKEYEARTHQUAKE VYAFIKIA 36,257 Vikosi vinaendelea kuokoa walionusurika kwenye Vifusi vya majengo yaliyoangushwa na Matetemeko mawili ya ukubwa wa Richa 7.8 na 7.6 wakiwemo Watoto 2 wa miaka 10 na 13 waliotolewa kwenye Kifusi baada ya kusubiri kwa saa 183. Hadi...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi laua watu 46 China

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa magnitude 6.8 limetokea katika Jimbo la Sichuan, China na kuua watu 46. Baadhi ya barabara, nyumba na miundombinu ya mawasilian iimeharibika. Eneo hilo limekuwa na kawaida ya kutokea tetemeko hasa maeneo ya Magharibi ambapo kuna milima. --- Earthquake in...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Taliban waomba msaada uzunguni baada ya tetemeko la ardhi Afghanistan

    Tetemeko hatari sana limefanya uharibifu na kusababisha vifo vingi hadi Taliban wameomba msaada. ============= At least 920 people have been killed and 600 injured after an earthquake struck eastern Afghanistan early on Wednesday, authorities said. The 6.1 magnitude quake hit in Paktika...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi laua takriban watu 1500 nchini Afghanistan

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.1, kwa kipimo cha richa, limetikisa maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo na kudaiwa kusababisha vifo 130 nchini humo, mamlaka ya kudhibiti majanga nchini humo zimesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka Inaelezwa kuwa, tetemeko hilo lilipiga takriban kilomita 44...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi Kintinku

    Taarifa mitandaoni zinaeleza kuwa leo tarehe 10 Mei, 2022 saa 9:22 mchana limetokea tetemeko la ardhi Kusini mwa Kintinku. Tetemeko hilo lilikuwa na ukubwa wa 4.30 kwenye kipimo cha Ritcher. Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi...
  15. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi limetokea Katavi na Mpanda

    Tetemeko LA ardhi limeutikisa mji wa Mpanda,katavi muda huu. Tupate taarifa zaidi please. ===== Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 4.6 katika vipimo vya Ritcher, limeyakumba maeneo ya Katavi na Mpanda. Bado madhara ya Tetemeko hilo hayajafahamiaka.
  16. support wpn

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetemeko la ardhi Kigoma leo alfajiri

    Kuna tetemeko dogo limepiga Leo kigoma wilaya ya buhigwe alfajiri
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Pakistan: Tetemeko la Ardhi laua takriban 20 na kujeruhi zaidi ya 200

    Ripoti za awali zinasema takriban watu 20 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa kufuatia tetemeko la ukubwa wa 5.7 lililotokea mapema leo Kusini mwa Pakistan. Imeelezwa, idadi kubwa ya waliopoteza maisha ni Wanawake na Watoto ambao walikuwa wamelala. Majengo kadhaa yakiwemo ya...
  18. Malaika Gabrieli

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi Arusha, kuna mwingine alilihisi?

    Habari wanafamilia wa JamiiForums. Muda 3:48 am kishindo cha kasi sana/ tetemeko la ardhi limepita maeneo ya Arusha. Je, kuna yeyote aliyepo Arusha amelisikia?
Back
Top Bottom