tenda

Construtora Tenda S.A. or Tenda, until 1994 Tenda Engenharia S.A, is a Brazilian construction company founded in 1969 in Minas Gerais with its headquarters being located in São Paulo. The company is listed on the São Paulo Stock Exchange where it raised 603 million reais ($345 million) in an initial public offering in 2007. In 2008, Gafisa bought 60% of shares of the Tenda, to becoming in a subsidiary.

View More On Wikipedia.org
  1. Trillion 1.3 Makampuni Yatakayopewa Tenda Yatangazwe Rasmi

    Baada ya serikali kupokea mkopo wa IMF wa Trillion 1.3 Tshs itapendeza zaidi kuona makampuni yatakayopewa tenda ya ujenzi ama ku supply vifaa yatangazwe rasmi kwenye magazeti. Hii itasaidia wananchi kufahamu uwezo wa makampuni hayo katika kufanya kazi hizo. Waziri Mkuu ametangaza kamati...
  2. Wananchi bado tunaomba uchunguzi mkali mradi wa stiglers/SGR, huko ndiko kuna vikampuni vya mzee na vifaranga wake waliopeana tenda

    Hii miradi ndio kichaka ambacho mzee alikitumia kupiga mamilioni ya mabilioni, bado tunaomba uchunguzi ufanyike! Kimkakati, katika hizi wizara aliweka watu wa "nyumbani" watunze siri japo na wao wana vikampuni vyao ndani ya miradi Waliacha bomba la gesi wakaanzisha miradi ya dili Mh. Samia...
  3. P

    Rais Hakainde Hichilema amuapisha askari aliyemtendea wema akiwa gerezani kuwa naibu kamishna wa Magereza

    Njia ya Mungu ni fumbo RAIS HAKAINDE HICHILEMA AMUAPISHA ASKARI ALIYEMTENDEA WEMA AKIWA GEREZANI KUWA NAIBU KAMISHNA WA MAGEREZA. KUNA SOMO LA KUJIFUNZA Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ameteua Bwana Kuyomba Bwalya kuwa Naibu Kamishna Jenerali wa magereza "Zambia Correction Service"...
  4. Tenda wema uende zako

    Wafanyakazi wa posta walishangazwa kuona barua yenye anwani inayosomeka “Kwenda kwa Mungu, Baba SLP, Mbinguni”. Baada ya kujiuliza pa kuipeleka wakaamua kuifungua na kuisoma, ilikuwa imeandikwa “ Kwako Mungu Baba Mimi ni mjane kikongwe kuna vibaka wameniibia shilingi laki moja, mwezi huu sina...
  5. Kipanya apewe tenda ya kuchora matumizi sahihi ya vifaa hivi

    Nimezaliwa Kwamtogole, choo cha passport size. Leo nikienda Uwanja wa Taifa na Mloganzila ninakutana na makitu haya.
  6. Uhitaji wa ajira na tenda isiwe chanzo cha utapeli na kuingizana gharama zisizokuwa na msingi

    Wasalaaaam wakuu, Nina imani ninyi wote ni wazima wa afya, bila kupoteza muda niende kwenye mada tajwa hapo kama inavyojieleza, katika kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wengi wakiume na kike katika nchi yetu la kutafuta ajira na tenda mbalimbali na hili linasababishwa...
  7. K

    Tenda ya Bandari Bagamoyo itangazwe upya kwa uwazi

    Hatutaweza kupata mkataba mzuri kama mwekezaji anajua yuko peke yake! Tunachotaka tunajua na mradi utangazwe kama tenda ili wadau wengine na mashirika mengine nayo yaweze kuleta tenda zao. Kuna watu serikalini na wanasiasa wameshawekwa mfukoni na China kwa kupewa visafari na visemina vya kijinga...
  8. Vijana mliopewa teuzi mkatende haki, muepuke "Usabaya"

    Hakika yule aliyewahi kusema "Madara yanalevya, madaraka makubwa yanalevya zaidi" hakukosea Ukuu wa wilaya unahitaji mtu mbunifu, ukirizika na nafasi uliyoteuliwa utaishia kuishangaza jamii na kuzalilisha vijana wengine wengi hata kupelekea wasiaminiwe tena. Kiongozi kijana, umepewa wilaya...
  9. M

    Kwanini zabuni ya kuonesha Ligi Kuu Tanzania Bara haikutangazwa, kapewa Azam moja kwa moja?

    TFF na AZAM TV zimeingia mkataba wa kudhamini ligi ya soka Tanzania Bara bila ya kutangaza Tenda na Pia hakuna mikataba mirefu kama huubwa miaka kumi.Huu ni ukiukwaji wa utaratibu wa kuonyesha mechi za mpira wa miguu nchini. Duniani kote Tenda zinatangazwa na kila kampuni inatoa ofa lakini...
  10. LATRA ichunguzwe na mamlaka katika mfumo mzima wa tenda za kufunga Ving'amuzi (VTS), Kuna shida mahali

    KUNA MENGI YA HOVYO YANAENDELEA KWENYE HII TAASISI, TUNAJIULIZA KAMA MH. WAZIRI MKUU AMEWAWAJIBISHA MENEJA WA TANESCO NA WATU WAKE KWA TATIZO LA KUPATIKANA KWA LUKU. JE HAWA WATU WA TEHAMA WA LATRA WANAAACHWAJE KWA UBABAISHAJI WA KWENYE MFUMO WA ONLINE TICKETING NA KUTUSABABISHIA WENGINE HASARA...
  11. T

    Natafuta tenda kwenye kampuni, shirika au kiwanda

    Habari za leo jamani mimi ninakuja na suala lingine tofauti, nimekosa wapi ninaweza kupata msaada, nilikuwa natafuta kazi/ajira imekuwa ngumu kwajili ya kipindi hichi cha corona na hali ngumu ya kimapato. Kwa bahati nzuri nimepata gari ya aina Nissan Serena ipo kama Toyota Alphad natafuta...
  12. TANESCO kujenga bwawa la kufua umeme mto Malagarasi litakaogharimu bilioni 330 kwa ufadhili wa Benki ya Afrika

    Baada ya kupata ahadi ya ufadhili wa kifedha wa mradi wa bwawa la kufua umeme mto Malagarasi, shirika la umeme nchini limetangaza tenda ya kumtafuta mshauri kukamisha mradi huo. Mradi huu wenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 144 utajengwa kwenye maporomoko ya Igamba kwenye mto...
  13. Tenda: Anahitajika mtu mwenye uelewa wa masuala ya ndoa ya serikali

    Habari wakuu. Anatafutwa mtu mwenye uelewa wa masuala ya ndoa za serikali kwa ajili ya kumsaidia mdau aliyeko nje ya nchi. Unaweza kuwa mkoa wowote lakini ukiwa Dar au karibu na Dar itakuwa bora zaidi. Compensation benefits zitatolewa kwa atakeyepata tenda. Kwa maswali na zaidi tuwasiliane PM.
  14. J

    Madiwani wa Upinzani walikuwa na uwezo wa kuchanganua mambo tofauti na wale wa CCM ambao husaka tenda!

    Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au Mawakala wa wafanyabiashara. Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote yamejaa kijani. Tujiandae kusikia tozo na ushuru za kila dizaini kama alivyosema rip Komba pale...
  15. GE2020 Wasimamizi wa Vituo vya Uchaguzi dhambi mliyotenda itawamaliza pamoja na vizazi vyenu

    Niko hapa nimekutana na "jamaa" yangu aliyekua msimamizi mkuu wa kituo. Daah! Yani nna hasira kweli kweli! Hivi inakuaje mmekula kiapo tena kwa kushika biblia alafu unarudi kituoni mnafanya dhambi? Watendaji wa kata/vijiji inakuaje mnaamuru kura za upinzani ziharibiwe? Nyie wasimamizi...
  16. GE2020 Dkt. Magufuli: Sio hongo, mimi bado ni Rais, natangaza tenda ya barabara za mjini Itigi KM 10

    Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida. Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad...
  17. The Saga Of Subcontracted Hit Men For Hire Who Outsourced Murder: Mtandano wa wauaji wa kukodisha waliouziana tenda ya kutisha kiasi cha Dolla 282,600

    The Saga Of Subcontracted Hit Men For Hire Who Outsourced Murder: Mtandano wa wauaji wa kukodisha waliouziana tenda ya mauaji kiasi cha Dollar 282,600. Ndugu zangu watanzania, hii story ni fupi sana ukilinganisha na story zingine nilizowahi kuziweka humu JF, lakini inatoa funzo moja kubwa na...
  18. GE2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

    SEPTEMBA 5: CHAUMA KUFUNGUA RASMI KAMPENI MANZESE, DAR Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe ametangaza kufungua rasmi kampeni za chama chake viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese Dar es Salaam, Septemba 5 Awali chama hiko kilipanga kufungua kampeni zake mkoani Mara, zoezi ambalo...
  19. Wapi nitapata Tenda za kutengeneza samani (furniture)?

    Jamani, mimi ni mwanafunzi nimehitimu chuo ila naufundi wa furniture nilikuwa nahitaj msaada wa mawazo jinsi gani unaweza pata tenda sehemu mbalimbali mana naona soko ni gum kiasi chake kupitia ABC na uzoefu naweza kuimprove.
  20. Natafuta tenda ya ujenzi au decorations

    Habari wadau, Nina kampuni ambayo inafanya kazi za ujenzi na decoration imesajiriwa kisheria kwa jina la Lumona Decorators and building Contractors tangu 2009 ikiwa na leseni ya class five (5). Tunafanya ujenzi wa majengo ya aina yote hata nyumba ndogo ndogo, magodown, tailling dams...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…