tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda haraka sana, Mbowe kama anaurudia ufalme wake wa anga

    Juzi juzi kila mtu alishuhudia Mwenyekiti wa Chadema akiwa ameshuswa kutoka angani na muda wake mwingi alikuwa akiumalizia Segerea akitumia ndoo kwa matumizi ya msingi. Mfalme huyu wa anga ambaye alikuwa na uwezo wa kubadirisha gia angani hata malaika walikuwa wanashangaa. Wote tulishuudia...
  2. JamiiForums Tanzania Je, CCM aliyoiacha mwlimu Nyerere itarudi tena?

    Ni swali gumu sana kwa kipindi hiki kupata majibu. Wakati wa Mwalimu Ccm ilikuwa ni chama ya watu. Wapenda binadamu wenzao. Wenye uchungu na taifa lao. Hawakubagua watanzania kwa elimu, ukabila au umaarufu. Ccm ya mwalimu ilikuwa makini maana ilijua wazi kiongozi ni mtu mwenye madaraka katika...
  3. JamiiForums Tanzania Hii kasi ya ujenzi wa ofisi za CHADEMA Nchi nzima tena kwa michango ya kawaida ya wanachama wao ni ya kupongezwa

    Ni kasi na mwitikio wa ajabu! Kusini hadi Kaskazini,Mashariki hadi Magharibi jamaa wanajenga kwa kujitolea kabisa tena ofisi zenyewe ni za kisasa kabisa. Jambo hilo si tu linashtusha bali pia ni muhimu lipongezwe!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wizi, udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani

    Ndugu wana JF, Wizi na udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani. Ndugu wananchi tuwe makini na ulinzi binafsi wa nyumbani. Sungusungu mtaani. Ikiwezekana tufanye mazoezi ya kutosha ili mwizi akiingia Chanel zako unammaliza kimya kimya kuna mzee hapa kaibiwa katoka na kitambi anahema...
  5. JamiiForums Tanzania Freemam Mbowe: Tumekataa ruzuku na nafasi 19 za Wabunge. Tunataka vitu vya haki

  6. JamiiForums Tanzania Nimelikoroga tena, natakiwa kuanza PEP leo

    Wakuu, nimeuza mechi jana usiku asubuhi nikaamua kumpima huyu mdau, majibu yemekuja positive kwake na mimi negative ingawa niliwahi kumla huyu mtu mwezi wa nne kavu pia ila hatukupima. Baada ya majibu kutoka positive kwake na mimi negative tukaamua kwenda hospitali, wamerudia vipimo, kwangu...
  7. JamiiForums Tanzania Mzee Yusuf amepatwa na nini tena?

    Wanaojua watueleweshe
  8. B

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua Mkewe wa kwanza, Amuua Mke pili Tena na kufungwa miaka minne

    Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha kwenda jela miaka minne Lameck Essau Meza mkazi wa Sikonge mwenye umri wa miaka 38 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia mkewe Dafroza Paul. Akisoma hukumu hiyo Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora...
  9. JamiiForums Tanzania Ufisadi Nchini Tanzania. "Tujishikilie Vizuri Wameanza Tena"

    Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja. Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini. Akalia...akabembelezwa na kurudi...
  10. JamiiForums Tanzania Natangaza vita mpya na kila mwanamke, sitaki mahusiano tena

    Habari wana Jamii Forum, na poleni na majukumu. Ilikuwa jioni fulani hivi baada ya mihangaiko ya siku nzima mida kama ya saa 12 jioni. Niliamua kuchukua pikipiki ya rafiki yangu japo nipige pige vichwa kuisogeza jioni. Yaani boda boda. Kama zali la mentali tu navuta hatua kadhaa napata mteja...
  11. JamiiForums Tanzania Babu Tale, Comming 2 America ipi tena jamani?

    Meneja wa Daimond Platnumz Babu Tale ameandika kwenye ukurasa wake kwamba wimbo wa Haleluya wa msanii huyo japo ulikataliwa na basata lakini umetumika kwenye filamu ya Coming to America 2 Hata hivyo filamu hiyo nimeiangalia sijaona popote ambapo wimbo huo umetumika na hii ni orodha ya soundtrack...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia ataenda tena kujitambulisha wapi? Sijasikia akizindua hata mradi mmoja

    Akiwa nchini Kenya, Rais Samia alieleza kuwa nia ya kuizuru Kenya mapema sana ilikuwa kujitambulisha kwa majirani kwa kuwa alikuwa "mpangaji mpya"! Leo akizungumza na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" amekariri tena ya kuwa ataendelea kuzuru nchi mbalimbali akitoa sababu ileile ya...
  13. JamiiForums Tanzania Amkeni, amkeni wamekuja tena. INFINIX HOT 10T. Imekuwa launched

    Kuna jamaa yangu ananishawishi namu ninunue anadai zinakaa sana na charge na best Camera. 48 mega pixers 4GB Ram Memory 64 GB Battery yake 5000 Mah Bei tsh 380,000 wadau wa simu tushauriane. Mimi nimekuwa nikitumia sana Huawei na Samsung. But jamaa kwa kigezo cha Battery kukaa nadhani kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Ninauza maziwa ya ng'ombe wa kienyeji, yaliyoandaliwa kwenye mazingira safi Sana

    Ndugu zangu wapendwa, nawasalumu nikiwa naanini kuwa wengi mu wazima wa arya njema sana. Dhumuni la uzi huu, ni kuwaombeni mnisaidie niinuke. Waswahili husema kupeana ni kikoa, na hisani huanzia nyumbani. Baada ya kimya kingi nikiwa porini Lusako, Kalabaka Kijiji cha Fukatose Bagamoyo, hatimaye...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi ya mwakani tukiwa na Rais mwingine na akaja na sababu zake za kutoongeza mshahara,watumishi wa umma watapaswa kusubiri tena?

    Kwakuwa hakuna aijuae kesho kwa maana leo unaweza kuwa mzima na kesho ukatangulia mbele za haki au kupata ulemavu wa Kudumu, n.k, ni sahihi kuishi kwa kutegemea matakwa au fadhila za binadamu mwenzako hasa kwa mambo sensitive ya ktaifa kama hili la haki na masilahi ya watumishi wa umma? Swala...
  16. JamiiForums Tanzania Hatimaye Mahasimu wa Muda Mrefu Jay Z na Nas wamekutana tena kwenye Album ya Dj Khaleed

    Wimbo unaitwa SORRY NOT SORRY. Mpaka sasa nimeskiliza kipande cha Nas tu, navuta pumzi nimsikilize Jay. Licha ya bifu lao au mgongano kuisha toka miaka ya 2006 lakini hadi leo hii, wapenzi wa utamaduni na muziki wa Hip Hop hawaishi kuongelea msuguano huu uliotokea kwenye Album ya Nas...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kurudi tena kwenye biashara yangu ya ukangomba

    Kuwa Kangomba siyo dhambi kama wachache walivyokaririshwa! Kangomba ni rafiki wa mkulima, kangomba anatoa pembejeo kwa wakulima, kangomba anatembelea wakulima wake, kangomba anatoa chakula kwa wakulima wakati wakisubiri wavune, kangomba ni bwana shamba mwenye faida, kangomba ni benki ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu 'Wanajeshi' si tulishakubaliana kuwa hii tabia ya 'Kuua' Wake zenu kwa 'Wivu' wa Kimapenzi isijirudie tena?

    Askari JWTZ Mbaroni kwa Kuua Mke kwa Kumchoma na Kisu kwa kile kinachodaiwa ( na ambacho GENTAMYCINE nina uhakika nacho ) kuwa ni Wivu tu wa Kimapenzi. Chanzo: Habari Leo Ukurasa wa 3 Sasa nyie Marafiki zangu ( Wajeda ) mnakuwa na Wivu hivi kwakuwa 'mnamegewa' sana Wake zenu mbona na nyie...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa hasara ya shirika la Ndege ATCL, ni wapi tena penye ufisadi wa serikali ya awamu ya tano?

    Hivi, ufisadi wa JPM Ukiondoa zile hasara zilizosababishwa na ufufuaji wa shirika changa la Ndege ATCL ni wapi tena palipofanyika ufisadi mithili ya kipindi cha awamu ya nne! Na Kwa nini ufisadi wake umechuja Kwa Kasi ya ajabu kutajwatajwa mitandaoni ili Hali bado tunakumbukia Lichimondi, EPA...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena CCM waliiweka rehani Zanzibar Oktoba, 2020. Mara hii ilikuwa too much

    Ilikuwa ni Zanzibar tena kwenye hesabu kali za kuvurugwa na kuvurugika. Mara hii hesabu zilikuwa kali kuhakikisha kinatumika kivuli cha uchaguzi ili kuivuruga Zanzibar na mwelekeo wao wa kudai haki kwenye Muungano na usawa. Kazi ya CCM kwenye hili haijawahi kuwa na makosa tokea kuundwa kwake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…