Ninauza maziwa ya ng'ombe wa kienyeji, yaliyoandaliwa kwenye mazingira safi Sana

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,831
Ndugu zangu wapendwa, nawasalumu nikiwa naanini kuwa wengi mu wazima wa arya njema sana.

Dhumuni la uzi huu, ni kuwaombeni mnisaidie niinuke.
Waswahili husema kupeana ni kikoa, na hisani huanzia nyumbani.
Baada ya kimya kingi nikiwa porini Lusako, Kalabaka Kijiji cha Fukatose Bagamoyo, hatimaye nimeanza rasmi kukamua, na ninauza maziwa ya ng'ombe wa kienyeji, yaliyoandaliwa kwenye mazingira masafi Sana.
Bei kwa mtindi Lita 5 ni 15'000/-
Lita tatu ni 10'000/- free delivery in Dar.
Pia nina maziwa fresh, Bei ni 12'000/- kwa Lita tano
8,000/- kwa Lita tatu.
Karibuni sana, napatikana kwa simu zifuatazo:-
0657992994 na 0692151868
 
Back
Top Bottom