tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Tujuzane: Maisha Lugalo MATC yakoje, ni ya kishuleshule au kichuochuo, nifanye maamuzi sahihi

    Maisha ya kila siku Lugalo MATC yakoje? Ni kama sekondari? Maana naona joining instructions kama za sekondari! Nisaidieni nifaye maamuzi sahihi, sitaki maisha ya kishule shule, ki- sekondari tena. Mara uniform, mara ufagiio, mara kudeki bweni, mara kengele ya kula, kulala, kuoga etc etc...
  2. Lile kaburi limeshajengewa kwa heshima, halijazungukwa tena na mabati

  3. Hodii. Mjomba wa Wajomba amefika na huku tena

    Ni mjomba wa wajomba, Mwenye kulonga kwa wahenga na wakunga, mjini na vijijini, anagonga hodi hapa kujenga na kujengwa.
  4. Ni Tanzania tena Kimataifa! Shirika la Ndege la Kimataifa la Uswisi lazindua safari zake kuja Tanzania

    Hii ni moja ya sababu iliyonifanya niipende Serikali ya Awamu ya Sita! Hawana kelele sana wala propaganda ni vitendo tu na matokeo yanaonekana. Baada ya Serikali iliyopita kudharau Sera ya Mambo ya nje jambo lililopelekea Tanzania kutofaidika na Sera Bora ya Mambo ya Nje, Sasa Mabadiliko ya...
  5. CCM msituletee tena Rais kama Hayati Magufuli

    CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele. Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli. Hafai. Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza...
  6. C

    Simba cement kuongeza idadi ya wadhamini ligi kuuu, kitanuka tena kwa hakika

    Hawa jamaa siyo tu wataambiwa wabadili rangi simba awe wa njano ila watapigwa mkwara waweke hata swala wataulizwa ushawahi kuona simba na mambo ya cement wataambiwa kama vipi iteni hata Dar es salaam cement
  7. WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Au tatizo hili ninalo mimi tu? ---Update---
  8. P

    Tatizo la LUKU limerudi tena

    Ni siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao. Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza kasi kumbe mambo ni yale yale...
  9. Baada ya miaka hamsini, tutampata tena Mwalimu Julius Nyerere, Edward Moringe Sokoine na Daktari John Pombe Magufuli

    BAADA YA MIAKA HAMSINI;TUTAMPATA TENA MWALIMU JULIUS NYERERE,EDWARD MORINGE SOKOINE NA DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI. Leo 18:00hrs 03/10/2021 Ni nadra sana kupata viongozi wanaoibadili dunia kutokana na falsafa zao na misimamo yao,katika kada mbalimbali ikiwemo siasa, biashara,taaluma,dini na...
  10. Nimerudi tena

    HABARI Wadau muwazima Ni kitambo tumekosana humu mjengoni maana hizi pilikapilika za maisha acha tu bwana zimeniendesha mpk basi niliwamiso sana hasa wale wadau wa enzi zile akina Bujibuji Asprin Madame B snowhite Husninyo Mtambuzi KakaKiiza Khantwe lady general na wengine wengi mpaka...
  11. Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

    Habari za asubuhi JF people? Mimi ni Dalali wa Viwanja Magari Nyumba & Co. Kuna pesa huwa naipata gjafla kutokana na shughuli zangu za u middle Nimeamua kuanza kukopesha. Watu ninaoanza nao ni waaminifu sana nawafahamu. Kwa kuanza tu nimeamua kuwapa mkopo wa masharti haya: Kwa kila shilingi...
  12. M

    Huko nyuma tulionya kuwa Rais Samia alindwe sana na Wanaume mkasema Wanawake wanaweza, mbona hivi sasa Wanaume mmewajaza tena?

    Siwadharau na wala siwapuuzi Walinzi wa Kike ila tuacheni Masihara kuwaweka mbali Walinzi wa Kiume mwanzoni ilikuwa ni Hatari japo wengi tuliohoji na kulipinga hilo hapa JamiiForums tulipuuzwa. Asanteni sana USP kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi wa Bi. Hangaya n hasa hasa kwa Kuamua Kuwarudisha...
  13. RC Ally Happi usirudie tena utovu wa nidhamu, ulitaka Mzee Makamba atwangwe bure

    Kama taifa tukifikia pabaya sana, yalijitokeza makundi awamu ya 5 yanaongeza hivyo hovyo bila kujali utu wala heshima na utii kwa waliowazidi umri. Ilikua ni kutukana na kuwatisha wazee wa watu bure pale walipotoa maoni yao. Mmojawapo ni huyu RC wa Mkoa wa Mara ndugu Alli Happi kipindi cha...
  14. Hapa hamna kisingizio tena

    Yohana 3:23 Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji tele; na watu wakamwendea, wakabatizwa. kama watu walisafiri kutafuta ubatizo wa maji mengi, ni hakika kuwa ubatizo wa Mengi ndo ulio ubatizo sahihi kibiblia
  15. DPP ana ushahidi mzito tena usio na shadi ya Mbowe 👮‍♀️

  16. D

    SoC01 Je, UKIMWI sio janga tena kama ilivyokua mwanzo?

    UKIMWI sio neno geni kwa watu wengi Tanzania. Watu wengi wameufahamu ugonjwa huu kutoka mashuleni, kwa ndugu au jamii kiujumla. Hali hii imefanya hofu juu ya ugonjwa wa UKIMWI kupungua kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka ya 1980 ambapo ugonjwa huu ndio ulikua unaingia nchini na watu hawakua...
  17. M

    Simba SC kuelekea Derby na Yanga SC naona mnalirudia tena Kosa lile lile ambalo niliwaonya huko nyuma, tukifungwa mtatukoma Mashabiki

    Magori, Salim, Kocha Matola, Somo na Mkuu wa Itifaki Makoye ni mara ngapi mnataka niwe nawakumbusha hili ambalo huwa mnalipuuza kama siyo Kulisahau kila tukicheza na Yanga SC na Wanatufunga? Nilishawaambia kuwa hata kama Timu yetu sasa inaendeshwa Kisasa (Professionally) ila kwa Utamaduni wa...
  18. iPhone 13 imeshaingia, 11 si habari ya mjini tena

    Kama ulikua unajiandaa kununua iPhone 11 basi fahamu kuwa 13 sasa hivi imeshatoka.
  19. Lema, Lissu, kulikoni tena mbona Rais Samia anaenda Marekani?

    Wanaukumbi. Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Samia hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia mataifa ya Ulaya na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu. Kulikoni tena...
  20. Wafuasi nguli wa CCM waanza kunyukana humu jukwaani kuna nini tena?

    Kama umefuatilia kesi ya mbowe humu JF ,utaona wazi wafuasi nguli wa CCMccm humu jukwaani wameanza kunyukana wao kwa wao,Je hii inamaana gani? Je, Mnyukano huu huenda upo ndani hata ya NEC ya Ccm? Hakika mwamba Aboubakar Isike Mbowe siku moja ya kesi umewanyoosha hawa akina USSR YEHODAYA na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…