tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Zitto huwa haeleweki yeye ni maslahi tu hata ACT akiona haina maslahi tena atasepa

    Bahati nzuri ikulu imemuumbua kwamba yeye anatetea hata kitu Cha kijinga ilimradi kina maslahi ndani yake. Hilo swala la figure kukosewa yeye ameshakuwa msemaji wa serikali na kuona ndo ukweli wenyewe. Hayuko tofauti sana na Pascal mayala
  2. Spika Ndugai ni mzigo kisiasa, CCM wasikubali kuubeba mzigo huu, amesababisha migogoro mingi sana, hana mvuto tena

    Sasa ni wazi kabisa kwamba Ndugai ni mzigo kisiasa kwa CCM, amekuwa akiichafua CCM na viongozi wake Kila mara. Ametumia vijana wake akina Humphrey lakini wakachemka, wengine akina Mangula na Bashiru wanaichafua CCM kichinichini. Wanaunda kundi la warundi wa Geita wanawaita sukuma gang wakiwa...
  3. CCM kwa sasa siyo tena chama cha siasa bali kikundi kilichoshika mateka uhuru wa kutoa maoni na hakitaki mwenyekiti akosolewe.

    Ni mambo ya hovyo sana, na yalianza awamu ya tano na awamu ya sita wanayatenda. Kwao mwenyekiti kwanza, then chama halafu masilahi ya nchi na wananchi baadae. Kimekuwa chama cha hovyo kinachokumbatia na kuabudu ukuu wa mwenyekiti wa chama kuliko utaifa wetu. Chama hiki hakina tena tofauti na CCP...
  4. Rais Samia kakubali Tume Huru ya Uchaguzi. Sasa ole wenu mtoke nje tena wakati wa Majadiliano

    Salaam Wakuu, Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote. Yaani mnasusia nyani Shamba la mahindi? Rais Samia Kasikia Kilio chenu cha Tume huru ya Uchaguzi. Siku taratibu...
  5. Mvua zilipogoma Kunyesha tulimlilia mno Mungu, je, ni lini tutahimizana tena Kupiga Magoti mbele yake Kumshukuru kwa hizi Mvua?

    Binadamu ni Watu Wanafiki mno yaani tunamkumbuka na Kumlilia Mwenyezi Mungu pale tu tukiwa na Shida zetu ila tukifanikiwa tunamsahau ghafla.
  6. Mlio-overspend jana, karibuni tena mtaani

    Kwa wote mlio-kula bata mpaka mkamaliza akiba yote, vipi mnaendeleaje. Hizi sikukuu zipogo na zitaendelea kuwepo zisikufanye uwehuke.
  7. Hakuna Cha mitano tena

    Naunga mkono hoja
  8. Kwa bahati mbaya hatujawahi kupata Mzanzibar aliyepigiwa kura kuwa Rais wa Tanzania Bara, hatutegemei hili litokee tena

    Kipindi anaingia Mwinyi sikuwa bado nimezaliwa ila niliskia kwamba aliingizwa kwa kiasi kikubwa na Nyerere aje kutawala huku. Rais Mheshimiwa wa sasa pia anafanya kazi yake vizuri lakini nae kaingia madarakani baada ya Magufuli kufariki ikabidi arithishwe urais kwa mujibu wa katiba. Ingefaa...
  9. R

    Udikiteta sio dili tena. Wanaccm Kwa haya mapigo saba(7) mna la kujifunza?? Msipokuwa makini mtapata magonjwa ua akili.

    Habari za Mchana huu. Tukiwa tunafunga wiki kuelekea wikendi hebu tutafakari kidogo. Nimegundua udikteta sio ishu tena kwenye ulimwengu unaostaarabika. Dunia ya Sasa madikteta wa zamani wapo lakini hawa wapya wanaoibukia kishamba hakuna nafasi tena kwao. Dunia inapambana na hawa wachache...
  10. S

    Simba wadhamiria kukamilisha uwanja wao, Mo Dewji achangia Bilioni 2

    Nimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili. Naomba Bodi ya Simba kukaa na kuja na utaratibu wa haraka ili jambo hili lianze utekelezaji. Kwa...
  11. Wanaoitwa wahuni Mungu alishawakataa. Kama nchi hatuwezi kurudia tena makosa yale -- never!

    Friends and Enemies, Let us pray,dear our heavenly father we thank you for this precious gift of life,we thank you that we are very alive and still breathing. Amen.. Katika maisha epuka sana kujiona kuwa upo juu ya wanadam wenzako na kuwadharau hususan unapopata mamlaka juu yao,au ukwasi kuzid...
  12. TFF funikeni Kombe mwanaharamu apite la sivyo mtaumbuka tena

    TFF Hamuiwezi Simba wala Yanga nchi hii, Hapa yenyewe mnasubiri viingilio hivi mpige pesa! Bila simba na Yanga nchi hii mtakufa njaa nyie.. Oneni mpaka viingilio mnapanga ninyi.. Yanga waligomea Twiga mwekundu, Mwaka huu huu game iliahirishwa na mpaka leo Sio simba wala Yanga aliyewajibishwa...
  13. Wale wazee wa tuma kwenye hii namba wamerudi tena

    Halotel ndio uchochoro wao
  14. A

    Hata mkague mabegi hamtakuta tena ARV’s, kuna sindano siku hizi

    Maendeleo ya tiba ni kuwa unaweza kuchomwa sindano itakayo dhibiti wadudu humo mwilini na huhitaji kubugia yale madonge kila siku. Taarifa hii imetolewa rasmi siku ya lile gonjwa 01/12/ ya kila mwaka. Maendeleo haya yako kule wanakotutumia ARV’s kwa msaada.
  15. Rais Samia karibu tena Mbeya

    Wakati unakuja kuomba kura kwa awamu ya pili ya uongozi wenu 22/09/2020, nakumbuka ahadi nyingi ulizotuahidi, najua kipindi hicho 2020 ulikuwa Makamu wa Rais mtarajiwa, najua ulitoa ahadi kutoka moyoni za nini utatufanyia wana MBEYA tukiwachagua, najua ulijua mtashinda uchaguzi na mulishinda kwa...
  16. Asante kwa Rais Samia kwa kuruhusu binti huyu aote tena

    Kabla nawe hujageuka mchawi, tazama video niliyokuwekea halafu usiwe mgumu wa kuelewa. Aliyeruhusiwa kuota tena ni binti wa Kitanzania, popote pale alipo. Nazungumzia binti yeyote ambaye sasa ameruhusiwa kurudi shule (Kuota tena) kupambania ndoto yake baada ya kukukosea na kupata ujauzito...
  17. Siku zinavyozidi kwenda ndivyo Watanzania wanavyozidi kupoteza ari ya mapambano

    Nini kimetokea? Ni mfumo wa elimu au vyakula? Kwenye shule za sekondari watoto wamekuwa kama vikundi vya walokole, hakuna migomo, hakuna vurugu, wanasukumwa kama kundi la kondoo! UDSM hakuna tena 'kunji', sijui hata kama 'revo square' bado ipo. Vijana wanakwenda tu kama kondoo. Wamachinga...
  18. Google pixel Fold Haitoki tena

    Kutoka katika vyanzo vya kusambaza material na utengenezaji wa simu za Google Pixels, kwa supply na order za sasa, inaonekana Google imefanya maamuzi ya kusitisha kuzitengeneza simu za Pixel Fold ambazo zilitegemewa kutoka mwaka huu. Mabadiliko hayo yatapelekea Pixel Fold isitoke mwisho wa...
  19. Kuingia na note book Kizimbani haikuwa ishu. Jaji Alikuwa ameishaifunika akaendelea na mambo mengine. Kibatala atabwaga tena

    Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala. Jumatatu mahakama haikukumbuka ata si kuianzia tu maana ndipo walipoishia. Pia nikiamini pingamizi Hilo...
  20. T

    Tangu vuguvugu la Mzee Lowassa hatuoni wala kusikia tena wimbi la wanaccm kuhamia CHADEMA. Tatizo nini?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kabla ya uchaguzi wa 2015 ilikuwa kawaida sana kwa CHADEMA kupokea mamia ya wanaccm waliokuwa wakieleza wazi kuwa aidha wameichoka CCM au wamevutiwa na CHADEMA. Hali hiyo kwa sasa haipo kabisa badala yake kila mara tunatangaziwa wanachama wa CHADEMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…