tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. DStv wadaiwa kupandisha bei za vifurushi kisa tozo

    Wakati tozo za benki zikiwa bado moto, tozo za ving'amuzi inaanza rasmi Septemba 1 kwa Dstv kutangaza gharama mpya ya vifurushi. Hakika hatupumui. PIA SOMA - BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya king'amuzi. Yataka 'Free chanels' zisiwepo ili Serikali ikusanye zaidi --- DStv Wapinga na kutoa...
  2. Kwa maswali haya sina imani na sensa tena

    Mpaka sasa sijahesabiwa ila kwa maswali haya sitaki kumwona karani nyumbani kwangu 1. Unalipa kodi au umepanga,kama ni kodi unalipa sh ngap? Swala la kodi linamuusu nini? 2. Mmachinga au mlipa kodi? Dah!!! Ndoa yenu ina amani au mgogoro?
  3. Congo DR yatangaza Ebola kurejea tena nchini humo

    Wiki moja baada ya kufanya uchunguzi wa chanzo cha kifo cha mwanamke aliyefariki katika mji wa Beni, Serikali nchini humo imetangaza kurejea tena kwa ugonjwa huo hatari katika jimbo la Kivu Kaskazini. Taarifa hii inakuja ikiwa ni mwezi mmoja tangu ilipotangazwa kumalizika rasmi kwa ugonjwa huo...
  4. Tulivyoachana aliniambia mtoto siyo wa kwangu, ameachwa tena anataka nimrudie

    TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE. Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie. "Nilikuwa na mpenzi wangu nilikuwa naishi nae ingawa tulikuwa bado hatujaoana ila tulikuwa tunaishi pamoja kama...
  5. D

    Msaada: Nikibadili kozi kwa chuo kile kile ili nichaguliwe chaguo la pili, nalipia tena?

    Nisaidien mawazo kwa anaejua ,jaman sijachaguliwa first selection naulizia je nikirudia kuomba course nyingne tofaut na nilizoweka mwanzo lakn vyuo vilevile second selection nalipia Tena hela au
  6. Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

    Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli! Mwanzon kabisa it was great. We had so much in common...we shared the same taste in everything music, movies, she loves karaokee though she’s bad at singing, she likes art and i love arts, we were the perfect...
  7. S

    Ukweli Mchungu: Utitiri wa TOZO, PAYE kubwa n.k, wa kulaumiwa ni sisi Watanzania wenyewe

    Sasa hivi mitandaoni ni kilio cha tozo na hii ni kwasababu tozo imetugusa wote na si kundi moja katika jamii, otherwise kilio kingekuwa si kikubwa kiasi hiki na huu ndio ujinga mkubwa wa sisi watanzania. Kwanini nasema hivi? Wakati wa Mwendazake, watumishi ambao walikuwa ni wafaidika wa Bodi...
  8. Haji Manara Awachokoza tena TFF

    Shirikisho la Mpira Tanzania linatakiwa kuchukua hatua kali zaidi kwa @hajismanara kwasababu ameendelea kukiuka adhabu aliyopewa ya kufungiwa miaka miwili. Hii ni dhihaka kubwa kwa chombo chetu cha kusimamia mpira nchini na kwa Wizara ya Michezo kwa ujumla wake, lakini inavuka na kudhalilisha...
  9. Msako wa mifuko ya Plastiki kuanza upya Dar es salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametangaza operesheni ya kukamata mifuko ya plastic iliyokatazwa huku akiwataka wananchi kujiepusha na matumizi ya mifuko hiyo. RC Makalla ametangaza operesheni hiyo leo Ijumaa Augusti 19, 2022 wakati wa kikao kazi na wazalishaji wa mifuko mbadala...
  10. N

    Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

    Naaam mambo ni bull bull , hii meseji ya kuboresha vifurushi nafikiri maana yake inaeleweka vizuri, safi sana nasemaaaajeee safi sana Tanzania bado ni ya 6 afrika kwa vifurushi vya bei nafuu ,kwa nini gb moja isiwe tshs 5000? Labda ikifika GB 1 kwa tshs 8000 ndipo tutashuka na kushika nafasi...
  11. INAUZWA Hakuna kupigwa tena. Flash orijino na za uhakika kutoka Japan hizi hapa kwa bei ya tupate wote

    Kuna vitu viwili vinatukera sisi Kunonu Teknolojia kwenye jamii yetu ya Kitanzania kwenye matumizi ya teknolojia ya flash kwa matumizi ya nyumbani au ofisini. Mosi ni kwamba watu wanauziwa 'flash feki' hivyo zinawafia haraka zikiwa na vitu vyao muhimu. Pili, wengi wanauziwa 'flash' kwa bei za...
  12. Ihefu aanza vibaya tena ligi kuu

    Leo mbungi ilikua inapigwa kule ubaruku kati ya ihefu na ruvu shooting. Kama ule msimu aliopanda daraja mechi ya kwanza alipigwa na mnyama na leo tena ruvu wamembonda tena hukohuko ubaruku. Aisee mwanzo mbovu kabisa, mechi ya kwanza tena nyumbani na unabutuliwa. Ila wamejitahidi kadri ya...
  13. Man United mambo magumu EPL, yapigwa tena 4-0 Agosti 13, 2022

    Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Manchester United, ndivyo ilivyo kwa kocha mpya wa timu hiyo, Erik ten Hag, ni baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-0 dhidi ya Brentford, leo Agosti 13, 2022. Huo unakuwa ni mchezo wa pili mfululizo kwa timu hiyo kupoteza katika Premier League msimu huu, ambapo...
  14. Ushuhuda wangu kuhusu RADI (my own testimonial)Nimeshuhudia RADI! Mara mbili, Ni kweli RADI ni kuku kabisa! Tena jogoo anaevutia haswa!

    Naam, Kumekuweko na speculation nyingi kuhusu RADI. Nyingi zikihusisha radi katika makundi mawili, ambayo ni radi kisayansi,kama umeme asilia na Radi kiimani. Wengi wakiihusisha na ushirikina. Binafsi ziko katika upande wowote Kati ya hizo pande mbili hapo juu, bali naeleza kile nilichopata...
  15. Auwiiiiiii kumekuchwa narudia tena kumekuchwa EPL MAN UTD KAFA HUKO!!😂😂

    Mwanitesa united a.k.a manyua au maarafu kama man utd imekumbana na kitu kizito kichwani leo hii baada ya kulwamba magoli 2-1 hi timu ni mbovu mnoo inaleta stress, inaleta magonjwa ya moyo kila siku ni huzuni juu ya huzuni!
  16. NHIF yazusha taharuki tena licha ya tamko la Waziri, wateja walalamika kutolewa katika huduma

    Maboresho yanayoendelea kufanywa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), yameibua malalamiko na taharuki kwa wanachama, hasa baada ya baadhi ya wategemezi wakiwamo wazazi, kuanza kuondolewa katika mfumo wa matibabu. Taharuki hiyo imeibuka siku moja tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuagiza...
  17. Mke wa mtu anapenda hili neno "kunyandua" yaani nilimtamani lakini basi tena!

    Kwenye haya mambo hakuna haja ya salamu! Mke wa Ngosha mmoja mweny asili ya kimanga mchanganyiko na wayao alinivutia Sana siku za mwanzo. Kadri tulivyozidi kuwa karibu mdomo ukachemsha. Matamsh yalimdharaulisha
  18. M

    Kibajaji naye analiwa timing harudi Tena bungeni 2025

    Mzuka wanajamvi! Mdomo na ulimi usipouchunga utakuponza. Za chini chini na duru za uhakika kutoka kwa accomplices na associates wenzangu jikoni wanadai Kibajaji analiwa timing na atakatwa kichwa na kuchinjiliwa mbali kwenye kura za maoni 2025. Hii ni kwasababu za kauli zake mbaya na madharau...
  19. L

    Buddha Lucana aonekana tena baada ya ukarabati nchini China

    Buddha Lucana ameonekana tena kwenye Mapango ya Longmen baada ya ukarabati mkubwa nchini China.
  20. Utumishi wamesitisha kuita watu kwenye usaili?

    Kuna kazi Utumishi walitangaza kwanzia mwezi wa nne na nyingine mwezi wa tano ila sasa tupo wa nane na bado hawajita watu kwenye usahili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…